Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu.. Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha...
34 Reactions
90 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema, kati ya jambo ambalo halipaswi kuchezewa ni Muungano ambao unatakiwa kulindwa na kila mmoja...
1 Reactions
0 Replies
47 Views
Kazi ya polisi kiasili ilitakiwa kuwa kazi takatifu. Kazi ya kuwalinda wanadamu wenzako na mali zao, kazi inayokufanya uteseke, usilale, ili wanadamu wenzako na mali zao, viwe salama, hakika ni...
4 Reactions
2 Replies
63 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema kuwa Serikali imekamata mtu aliyekuwa anaingia na silaha, tumewakamata wengine...
26 Reactions
153 Replies
3K Views
Tundu Lissu amepelekewa mihogo mikavu Mahakamani kama chakula cha mchana wakati wa kuendelea kusikilizwa kwa shauri linalohusu vikwazo vya kumwona katika Gereza la Ukonga. Shauri hilo limeendelea...
22 Reactions
43 Replies
1K Views
My Take Wale wa Bandari imeuzwa wanaitwa huku waone aibu 😆 😂 👇 👇 https://www.instagram.com/p/DaLFTfECNDK/?igsh=MXR1anR4a3ZpbHF0Zw== Mabadiliko ya ushindani wa bandari katika Afrika Mashariki...
3 Reactions
22 Replies
359 Views
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amesafiri kuelekea nchini Ghana kwa ajili ya kushiriki katika mkutano mkuu kuhusu Afya nchini GhanaSource: Millardayo
1 Reactions
8 Replies
160 Views
Msuguri na Mahundi wasingeruhusi huu ujinga wa kuiba kura. Hawa Wazalendo wasingekubali hilo.
7 Reactions
24 Replies
304 Views
Ego ya Mama Samia imezidi hata ya Magufuli ndiyo tatizo kubwa pamoja na rushwa. Magufuli alikuwa na ego za kielimu alithamini sana kwamba alikuwa kipanga lakini Mama kutokana na utamaduni wa...
11 Reactions
11 Replies
270 Views
Kama ishara ya kuridhishwa na kile kinachofanyika, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu amemtaka Makamu Mwenyekiti wake Bw. John Heche kutia bidii zaidi kwenye kile...
12 Reactions
13 Replies
413 Views
Shirika la Fedha Duniani (IMF) limetangaza kuwa limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania ambayo yakipitishwa rasmi, yataiwezesha nchi hiyo kupata takriban dola milioni 441 kwa ajili...
5 Reactions
64 Replies
3K Views
Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri. Anatakiwa achague moja, 1. kumwachia Lissu au 2. kuendelea kumshikilia. Samia...
42 Reactions
106 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa...
1 Reactions
19 Replies
565 Views
Leo ni zamu ya mkuu wa gereza kufanyiwa dodoso, na Mh Tundu Lissu Sasa huyu si atajajijambia jmn? Kwa Nini serikali inaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI WA UMMA?
11 Reactions
17 Replies
477 Views
Kila siku katika maisha yetu ya kisiasa tunahesabu ni siku ya mapambano dhidi ya dola katili la CCM. Tunashinda katika korido za Mahakama kwa kuwa MaCCM hawataki tena kufanya siasa za hoja...
4 Reactions
2 Replies
85 Views
  • Redirect
Sote tunakumbuka enzi za hayati magufuli huyu mwamba alikuwa na mbinu moja mujarabu yaani ili ajue matatizo ya wananchi wake alikuwa anapita kitaa Lakini huyu mwenzetu mbinu anazotumia anajua...
2 Reactions
– Replies
– Views
Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi...
6 Reactions
65 Replies
1K Views
Akiwa Shinyanga juzi Katambi alisikika akisema, wanaotishia kumpeleka Mahakamani ni wapinga maendeleo watashughulikiwa. Awali alisema hatishiki na watu wanaopanga kumpeleka mahakamani kwa vile...
11 Reactions
28 Replies
755 Views
Mkuu wa Gereza la Ukonga, Bwana Andrew Shabani Tamanjiro, amedai kuwa alipofika Ukonga Prison hakukuta utaratibu wa ndugu wa Mwenyekiti kumtembelea gerezani siku ya Jumamosi na wanachama...
12 Reactions
8 Replies
441 Views
Back
Top Bottom