PROF TIBAIJUKA: MISSION YA MBOWE HAIJAKAMILIKA!
“Nimemsikiliza huyu Katibu. Sidhani kama anafahamu haja ya kutenganisha Chama Tawala na Chama cha Upinzani. Anaongea kama aliyekariri mambo...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, akiwa Mjini Zanzibar, amekutana na kijana wa kazi, muadilifu sana na kada mtiifu wa Chama hicho Maranja Masese.
Masese na Mbowe wamepata wasaa wa...
Hakuna haja ya kujipiga kifua, kujidanganya na kuhadaa umma eti chadema hakuna mgawanyiko wala mafarakano na vita ya chini kwa chini miongoni mwa viongozi wake wa andaminizi, hasa kambi ya...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Katika mfumo wa kisiasa wa nchi, Mwenyekiti wa CCM amekuwa akichukuliwa kama...
Kesho tukijaliwa Tundu Lissu atafanya mkutano na waandishi wa habari.
Ukumbi wa mkutano utatangazwa baadae.
Ajenda kuu ya kikao chake ataisema kwenye kikao.
Update
Ukumbi ni Mlimani City
Muda...
Kiongozi mwandamizi wa UVCCM Mkoa wa Singida Cde Ng'wigulu SHIGELA amewatoa hofu wanaodanganywa kuwa CCM haijashinda kihalali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,
SHIGELA amesema matokeo ya CCM...
Kesho mida ya saa moja jioni saa za Afrika Mashariki tunatarajia kuona michuano katika ya wagombea wa nafasi ya Urais wa Umoja wa Afrika(AU) kati ya wagombea toka Kenya, Djibouti na Madagascar...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Muleba Kusini na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema kuzuiwa kwa mgombea binafsi nchini kumeifanya Tanzania kuwa na demokrasia ya...
Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele...
John Magale Shibuda ndiye chaguo la chadema kwa mgombea urais kwa 2015 vuguvugu linaloendelea sasa kwenye chama ni kumjengea uwezo wa kuhimili mikikimikiki ya upinzani maana ccm hakuna mikiki kama...
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Njombe Kimefanikiwa kushinda uchaguzi wa serikali za Mitaa katika vijiji 377 kati ya 381 Mitaa 81 kati ya Mitaa 82 na Vitongoji 1819 Kati ya 1832 Vilivyopo mkoani...
Kiongozi wa chama haelewani na kiongozi mwenzake mkubwa wa chama. Kuna ugomvi mkubwa sana.............fuatana nami nukta kwa nukta nawasanua msiyoyajua.
Ipo hivi
Wote walikuwa na mahitaji yao na...
Baada ya miaka mingi sana kupita na kukifanya chama ni mali yake, chama ni kikoba chake hatimaye uvumilivu umemshinda na anataka kuachia ngazi.
Kama kawaida mimi huwa ni mzee wa kuwasanua tu...
Hali si shwari kwa upande wa wenzetu huko mitaa ya ufipa. Kundi la mwenye chama linasema Lissu ana nguvu sana na anatishia kiti.
Kundi la Lissu nalo halipo nyuma Ila wanaogopa kuitwa wasaliti...
Katika mapambano ambayo sio rasmi jakuwa hapo ni hili la mbowe na lissu. Viongozi na Wanachama wa Chadema hadi mashabiki hawajui waende na nani.
Wapo wanaosema pembeni, wapo walioamuaa kukaa...
Waswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Baada ya mvutano wa muda mrefu na wenye chama hatimaye kuna kila dalili Lissu akahamia ACT.
Leo hapa najua kuna wale washabiki watatoa...
Juzi tumeona maendeleo ya ujenzi wa kiwanja cha mpira cha AFCON kule arusha. Lakini, huwezi kuamini, hadi sasa serikali imeshindwa kuhitimisha michoro ya AFCON City kuuzunguka uwanja. Sababu...
Habari!
Ule Utaratibu wa CDM wa kutorudia mgombea Urais ni kama jadi vile inayoendelea,
Ndugu Lissu kuutangazia umma kuwa anataka uenyekiti wa CHADEMA, ajue Moja kuwa nafasi mojawapo ni LAZIMA...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anatamani sana atakapostaafu kama mwenyekiti wa Chadema taifa basi mrithi wake atoke Bawacha.
Source Tanzania Daima
My take; Namuona Halima Mdee...