Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Upinzani na CHADEMA bado kwa kiasi kikubwa inahitajika siasa za harakati ili kurejesha mabadiliko na mwamko mkubwa wa upinzani vilivyopotea baada ya uchaguzi wa mwaka 2020. Kama uchaguzi wa mwaka...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe anaweza kubakia kama Samson akisuniri nywele zianze kuota Ili amwombe Mungu wa mbinguni ampe Nguvu tena awashughulikie Watesi wake Ama Aamue kuwa Mussa na...
0 Reactions
3 Replies
344 Views
2014: Freeman Aikael Mbowe na Ester Matiku walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 789, Matiku kura 20. 2019: Freeman Aikael Mbowe na Cecil Mwambe walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 886, Mwambe...
4 Reactions
7 Replies
750 Views
Ndugu zangu, binafsi nimetafakari kwa kina kile kilichofanyika kwenye kile kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa. Yaliyofanyika ni zaidi hata ya kinachosemwa. Ni hatari kweli kweli. Uchaguzi...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una mambo ya SEBULENI na ya CHUMBANI. Mojawapo ya mambo ya chumbani ni kwamba Rais wa JMT hawezi akatokea Visiwani moja kwa moja. Na kamwe haitokaa itokee Rais...
2 Reactions
5 Replies
619 Views
Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020- 2025, Ibara ya 63(i)(c) imeelekeza Kukamilisha ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi I – Extension (MW 185). Mradi huu sasa...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Alipokuwa akiwaapisha viongozi "wapya" tarehe 10/12/2024, Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan, alisikika akimpongeza Masauni kwa kazi nzuri aliyoifanya akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani! 1...
0 Reactions
1 Replies
468 Views
Bila kuwa mwanachama wa Chadema au ACT Wazalendo, nakiri kwamba Chadema, hawa kina Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Mbowe, na wakati fulani kina Msigwa, Dr. Slaa, Mtikila, Mrema, Dr. Kaborou na wengine...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Sijui kwa ufasaha maana ya chama dola, ila nimeshasikia mara kadhaa CCM ikilaumiwa kuwa ni chama dola! 1. Ni vibaya kuwa chama dola? 2. Katiba inasemaje kuhusiana na hilo?
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, anazungumza na Watanzania muda huu kutoka makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huu...
12 Reactions
69 Replies
5K Views
SMZ IHAKIKISHE INASIMAMIA SHERIA YA UKATILI NA UNYANYASAJI (GENDER BASED VIOLENCE) Ndugu wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru, Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia hali ya uzima wa...
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Tuliokua chini ya utawala wa Mwalimu Nyerere tuliaminishwa kuwa Tanzania ni nchi ya kijamaa. Katiba bado inasema hivyo. Ila kimatendo, sijui kama sisi ni wajamaa, mabepari au political...
2 Reactions
21 Replies
993 Views
WAZIRI KOMBO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA DHARURA WA MAWAZIRI WA SADC ORGAN ZANZIBAR Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Kamati ya Mawaziri wa...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Wanafunzi wa Shule ya msingi Nduweni Kata ya Tarakea motamburu wilaya Rombo wamemshukuru Mbunge wa jimbo la Rombo Prof Adolf Mkenda ambae pia ni Waziri wa elimu sayansi na Teknojia nchini kwa...
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Nakumbuka siasa hizi za kiharakati zilianzia vyuo vikuu vijana wasomi na ma professor wahadhiri haswa wa UD na pale UDOM mambo yalikuwa moto moto sana, Mpango wa vyama vya upinzani haswa CHADEMA...
3 Reactions
8 Replies
668 Views
Just Imagine Msigwa,Heche,Lema na wenzao wangeshinda kwenye Kanda wakamuweka Mbowe mtu kati halafu Lissu akachukua Fomu nini kingetokea? Lialia ya Msigwa,Lema na Heche na yanayoendelea kwa Lissu...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu Leo mimi kama mtanzania mwenye haki ya kutoa maoni, nimekuja kutoa maoni yangu na kuweka sawa historia kuhusiana na swala la michezo pamoja na siasa zetu hapa nchini...
1 Reactions
5 Replies
843 Views
Huo ndio ukweli, Chama wakiachiwa hawa kina Lissu ni suala la muda tu, chalii Chama cha siasa kinahitaji mtu mwenye historia ya kuwa sehemu ya watu waliowahi kuwa kwenye oligarchy ya Tanzania...
9 Reactions
24 Replies
1K Views
Nia na dhamira yake njema ni ya wazi na yenye lengo la kuhakikisha umoja, amani na utangamano miongoni wananchi na Tanzania kwa ujumla, ni imara licha ya utofauti wa mirengo ya kisiasa au kidini...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Kada wa CCM mchungaji Peter Msigwa awataka vijana wote nchini kupuuza propaganda za CHADEMA na Kuiunga Mkono CCM. "Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagomba huko waliko...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom