Mwenyekiti wa Chama anataka kuachia ngazi. Imekuwaje huko?

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,173
27,223
Baada ya miaka mingi sana kupita na kukifanya chama ni mali yake, chama ni kikoba chake hatimaye uvumilivu umemshinda na anataka kuachia ngazi.

Kama kawaida mimi huwa ni mzee wa kuwasanua tu yaliyojificha maana wafuasi wake wengi hawaoni(macho wanayo).

Sababu kubwa inayotajwa ni mnyukano ndani ya chama, niliwahi kuwaeleza hili miezi michache iliyopita. Mnyukano huu unatokana na vitu vitatu; Imani, Pesa na familia.

Wapo ambao ni kama wanaona chama hakina muelekeo na hawana Imani na mwenyekiti, mfano watu wake wa karibu walitaka afukuzwe yule aliyekuwa mbunge machachari wa mkoa mmoja wapo nyanda za juu kusini. Mwenyekiti akagoma

Wanamuona kama mwenyekiti amepoteza muelekeo hawajui hata chama kinafanya nini na kinaelekea wapi.

Pesa: hili ni moja ya sababu kumfanya mwenyekiti atake kuachia ngazi. Chama hakina pesa na kila waliloanzisha ili kupata pesa lilifeli, wahisani nao walijitoa.

Familia; familia haitaki tena mwenyekiti aendelee na kazi yake badala yake ajikite kwenye biashara tu na mambo mengine ya kifamilia wanasema muda sasa umetosha. Ni ukweli muda wake umetosha, kwanini yeye tu?

Nauona mwisho wa hiki chama ukiwa umekaribia na itakua siku ya furaha kubwa kwa watanzania wengi.

#kazi inaendelea#
 
Nimecheka kwa nguvu, kila siku mnataka Mbowe Aachie uenyekiti kwani kakaa muda mrefu, cha ajabu anataka kuachia ngazi mnasema chama kitakufa.

Ni hivi, usitake kupotosha chochote, Mbowe alishatangaza 2023 ataachia uenyekiti. Labda kwa matumizi ya proganda unaruhusiwa kuleta haya matapishi.
 
Kupiga ramli unachaji tsh ngapi??
 
Nimecheka kwa nguvu, kila siku mnataka Mbowe Aachie uenyekiti kwani kakaa muda mrefu, cha ajabu anataka kuachia ngazi mnasema chama kitakufa.

Ni hivi, usitake kupotosha chochote, Mbowe alishatangaza 2023 ataachia uenyekiti. Labda kwa matumizi ya proganda unaruhusiwa kuleta haya matapishi.
Mkuu hicho ni kikundi cha wajinga wa JF wenye ID tatutatu wanaposti ujinga na kujijibu.
Wanataka Chadema ife halafu wanatunga jambo eti wakisikitika inakufa.
Usipoteze nguvu zako kuwajibu
 
Hata hivyo ana haki wa kuachia chama maana amepigana sn,mbaya zaidi alio/anaowapigania ndy hao ambao hawana shukrani,kutwa kunitukana mitandaoni

Binafsi kwangu namwona ni shujaa ktk nyakati hzi za kusifu na kuabudu..Wacha akapumzike!!
 
Nimecheka kwa nguvu, kila siku mnataka Mbowe Aachie uenyekiti kwani kakaa muda mrefu, cha ajabu anataka kuachia ngazi mnasema chama kitakufa.

Ni hivi, usitake kupotosha chochote, Mbowe alishatangaza 2023 ataachia uenyekiti. Labda kwa matumizi ya proganda unaruhusiwa kuleta haya matapishi.
Tutamuomba aendelee, ni msikivu.
 
Nimecheka kwa nguvu, kila siku mnataka Mbowe Aachie uenyekiti kwani kakaa muda mrefu, cha ajabu anataka kuachia ngazi mnasema chama kitakufa.

Ni hivi, usitake kupotosha chochote, Mbowe alishatangaza 2023 ataachia uenyekiti. Labda kwa matumizi ya proganda unaruhusiwa kuleta haya matapishi.
Huyo bila fitna hapo hatoki
 
Mkuu habari za Kisarawe , Tunazo taarifa za wizi wa viwanja mnaoufanya , kaeni chonjo , taarifa yenu tunaiachia baada ya sikukuu , msije kumlilia mtu .
Kila mnaloshikilia limefeli. Mdee aanaendelea na ubunge, mwenyekiti anaachia ngazi
 
Baada ya miaka mingi sana kupita na kukifanya chama ni mali yake, chama ni kikoba chake hatimaye uvumilivu umemshinda na anataka kuachia ngazi.

Kama kawaida mimi huwa ni mzee wa kuwasanua tu yaliyojificha maana wafuasi wake wengi hawaoni(macho wanayo).

Sababu kubwa inayotajwa ni mnyukano ndani ya chama, niliwahi kuwaeleza hili miezi michache iliyopita. Mnyukano huu unatokana na vitu vitatu; Imani, Pesa na familia.

Wapo ambao ni kama wanaona chama hakina muelekeo na hawana Imani na mwenyekiti, mfano watu wake wa karibu walitaka afukuzwe yule aliyekuwa mbunge machachari wa mkoa mmoja wapo nyanda za juu kusini. Mwenyekiti akagoma

Wanamuona kama mwenyekiti amepoteza muelekeo hawajui hata chama kinafanya nini na kinaelekea wapi.

Pesa: hili ni moja ya sababu kumfanya mwenyekiti atake kuachia ngazi. Chama hakina pesa na kila waliloanzisha ili kupata pesa lilifeli, wahisani nao walijitoa.

Familia; familia haitaki tena mwenyekiti aendelee na kazi yake badala yake ajikite kwenye biashara tu na mambo mengine ya kifamilia wanasema muda sasa umetosha. Ni ukweli muda wake umetosha, kwanini yeye tu?

Nauona mwisho wa hiki chama ukiwa umekaribia na itakua siku ya furaha kubwa kwa watanzania wengi.

#kazi inaendelea#
Wewe utakua mchawi..yani unafurahi chadema ife..ili wahuni wenzio muendelee kuwanyonya watz bila shida...kwakuwa chama cha kuyasema maovu yenu hakipo.

Chadema ni mpango wa Mungu

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom