Shibuda kugombea urais

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
519
John Magale Shibuda ndiye chaguo la chadema kwa mgombea urais kwa 2015 vuguvugu linaloendelea sasa kwenye chama ni kumjengea uwezo wa kuhimili mikikimikiki ya upinzani maana ccm hakuna mikiki kama hii ingekuwepo jk angeufyata asingekuwa na nguvu kwakuwa yuko juu ya chama kwakuwa chama kingekuwa na rungu la kumuondoa madarakani.Big up Chadema na mgombea mnayemuandaa Shibudaaa!!!!
 
Threads kama hizi, hazina haja ya ku-comment, hizi ni za watu wasiopenda umoja wala ushindi wa mabadiliko.
Nawaomba waungwana wa JF muziepuke huu ni mtego wa kutaka tupoteze dhamira ya kufikiria mambo muhimu na tukae kujadiri mawazo ya mtu binafsi.
nawaomba tusimame tusake threads zenye kujenga na sio zenye kutupima akili.
 
huyu anafanya opinion poll juu ya shibuda...kama unataka maoni ndugu uache unafiki. shibuda should be at the end of the line when anything of significance is being had in CHDM
 
Threads kama hizi, hazina haja ya ku-comment, hizi ni za watu wasiopenda umoja wala ushindi wa mabadiliko.
Nawaomba waungwana wa JF muziepuke huu ni mtego wa kutaka tupoteze dhamira ya kufikiria mambo muhimu na tukae kujadiri mawazo ya mtu binafsi.
nawaomba tusimame tusake threads zenye kujenga na sio zenye kutupima akili.
sasa mbona umechangia we kiazi kweli na leo ametangaza rasmi mkutanoni mwanza kuwa ataomba ridhaa ya CDM agombee urais 2015
 
Hivi mtu kugombea urais ni lazima uwe egotistic right? Na inapendeza zaidi ukiwa na ego kubwa kuliko uwezo right?

Maana otherwise watu waliojiuzulu kwa kashfa (Mwini, Lowassa), walioharibu mikataba ya energy (Kikwete) na kuua vyama vya ushirika (Shibida) wasingekuwa hata na nafasi ya kuzungumziwa kwamba watagombea urais, wachilia mbali nafasi ya kugombea na kuwa rais.
 
John Magale Shibuda ndiye chaguo la chadema kwa mgombea urais kwa 2015 vuguvugu linaloendelea sasa kwenye chama ni kumjengea uwezo wa kuhimili mikikimikiki ya upinzani maana ccm hakuna mikiki kama hii ingekuwepo jk angeufyata asingekuwa na nguvu kwakuwa yuko juu ya chama kwakuwa chama kingekuwa na rungu la kumuondoa madarakani.Big up Chadema na mgombea mnayemuandaa Shibudaaa!!!!
Nilipoanzisha huu uzi mlinisosondaaaa sasa maneno yameanza kujiumba yenyeweeee Shibuda huyoo 4 presidency 2015 cdm washaanza mchakato wa kumteua
 
Kwa sheria za nchi hii si vibaya mtu akionyesha kuwa anataka kugombea madaraka fulani hata kama ni urais. Jambo moja ni kuwa Shibuda yuko wazi lakini katiba ya CDM inasemaje?
 
Kwa kauli ya ndugu shibuda ya kutaka kugombea uraisi 2015 si mbaya ila tunachotakiwa kuangalia ni vipi chama kinamzungumzia huyu mtu hasa ukiangalia alitoka kwenye chama ambacho kina upinzani mkubwa kutoka kwa CDM na vilevile jinsi ambavyo huwa anapingana na wenzake hasa ktk suala zima la posho za ubunge lakini tunachotakiwa kuangalia ni je! Viongozi wa chama pamoja na wanachama wanamzungumziaje huyu mtu au je! Katiba ya chama inasemaje?.
 
Sikujua JF inafanya utani hata katika mambo muhimu sana. Shibuda????
 
Back
Top Bottom