Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,791
- 34,792
Hali si shwari kwa upande wa wenzetu huko mitaa ya ufipa. Kundi la mwenye chama linasema Lissu ana nguvu sana na anatishia kiti.
Kundi la Lissu nalo halipo nyuma Ila wanaogopa kuitwa wasaliti. Hata Lissu alipoondoka walishindwa kumsindikiza pale airport Kama ilivyo kawaida yao.
Chama kilishindwa kutoa hata taarifa kwa umma kuhusiana na safari hiyo ya makamu mwenyekiti. Ni vyombo vya habari ndio vilikuja kuujulisha umma. Hii imemuweka pabaya sana Lissu na asijue cha kufanya.
Kuna viongozi wengine wanasema amesusa sababu ya kukosa ushirikiano kipindi amerudi nchini.
Sasa kuna kila dalili inaonyesha anaandaliwa zengwe. Swali la Msingi je Wataweza kumfukuza??