Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama isingekuwa Mungu. Mimi na wengine wengi tusingekuwa na uwezo wa kuishi Hebu angalia tu jinsi mambo yalivyo. Nini kinaendelea? Niambie inakuaje hapa Tanzania bado watu wengi wanapinga...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X. Zitto Kabwe amesema bundi ametua kwa majirani na kuahidi kusuluhisha vita.
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimependa na kukubali sana hatua ya Lisu kugombea uwenyekiti. Anagombea akija na siasa za akina Dr. Slaaa. Anaibuka siku moja baada ya kuwa meza moja na mwenyekiti. Natamani kumwona nani...
0 Reactions
0 Replies
384 Views
Mchakato wa kuwapata waandishi wa daftari la kudumu kwa Mbeya mjini ni wa hovyo kuliko kawaida. Hii ni rushwa ya waziwazi inafanyika. Watu waliomba ajira na waliopita wapo. Kwanini msitoe majina...
1 Reactions
8 Replies
814 Views
Kiwira privatization scandal: THE Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has returned the official file of TANPOWER Resources Limited, the controversial private company set...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wanabodi, Nimekutana bandiko hili humu JF Mnyukano Chadema ,mbunge Aida amkataa Lisu Gazeti la jamhuri la leo limekuja na taarifa inayoelezea majibizano ya Tundu Lisu na mbunge wa Nkasi kupitia...
11 Reactions
105 Replies
6K Views
1. Lisu kwa upumbavu wako umipa CCM ushindi! 2. kulikuwa na haja gani ya kuitisha press? 3. kama ulisema mara 100, kuwa hutagombea Uenyekiti, leo umegeuka Jiwe, ni kuwa HUAMINIKI...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Muleba. Iko dhana kuwa ili Tanzania ipige hatua kimaendeleo inahitaji kiongozi anayethubutu kufanya uamuzi mgumu hasa kuwawajibisha viongozi wabadhirifu na wazembe, lakini Kamanda wa Polisi...
4 Reactions
260 Replies
29K Views
MALALAMIKO YEYOTE DHIDI YA KIONGOZI YEYOTE YAFANYIWE UCHUNGUZI KISHA YAWEKWE WAZI Nilisikika huko ndotoni nikiwa nakoroma kama simba nikaanza: Nakumbuka Aprili 2019, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia...
1 Reactions
0 Replies
326 Views
Kumekucha Twaha Mwaipaya na Yeriko Nyerere wamempongeza Tundu Antipas Lisu kwa kutangaza kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa Boni Yai ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani na Mlinzi wa...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Wakuu, Mnakumbuka yule Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Dodoma ambaye siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa alikimbia na daftari la wapiga kura akidai kuwa kuna hujuma zimefanyika? Inaonekana sasa...
0 Reactions
4 Replies
470 Views
Swali: Kwa mfano, amesema elimu itakuwa ni ya bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu. Lakini pia amesema anauchukia sana umasikini na amechukua makundi ambayo yamebeba idadi kubwa ya Watanzania...
0 Reactions
258 Replies
49K Views
SHEREHE ZA UHURU HAZIPASWI KUFUTWA. SIKU YA UHURU NDIO MSINGI MKUU WA TAIFA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni makosa makubwa na yakimkakati kufuta SHEREHE za Uhuru. Viongozi lazima waelewe...
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa press hii ya Lissu si siri tena kuwa CHADEMA kuna mtufuano wa maana. Yaani Lissu kaamua kuchomoa berti. Kwa hatua hii msituambie kuwa hapa wamapenga, ndani hakuna shida, kwa hizi spana...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Hii Kitu imenishangaza sana kwanini Mtu mmoja awe ndio mtafutaji wa Fedha za Chama na mpanga matumizi! Akina okwi boban sunzu ufafanuzi tafadhali hakuna Idara za Uhasibu Mapato na Matumizi hapo...
1 Reactions
12 Replies
570 Views
Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019. Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani. Licha ya...
65 Reactions
633 Replies
72K Views
MAAZIMIO YA KAMATI KUU Baada ya kutafakari matukio hayo na mengine, Kamati Kuu ya Chama imeazimia mambo yafuatayo; 1. Kamati Kuu inatamka kwamba kilichotokea tarehe 27 Novemba, 2024 hakukuwa na...
22 Reactions
117 Replies
7K Views
Alitangazwa wa Chadema, baadaye usiku akatangazwa wa CCM. Sasa wazee wa kimila Arusha masai wamesema wao hawana polisi, ni wa kwao, Mahakama ni zao, TISS ni yao. Kimbilio lao ni kuvunja chungu...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Kumbukumbu kwamba Mbowe alisema kuwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA mwaka huu hatagombea zipo. Ni lini Mbowe alibatilisha kauli yake hiyo na kusema atagombea nafasi hiyo? Naona kama CCM wananena Kwa...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Serikali imeendelea kuwashika mkono wachimbaji wadogo Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa kununua mitambo midogo mitano (5) ya uchorongaji...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…