Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru. Rais mpole na msikivu Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Takwimu zinaonyesha na ukweli unadhihirisha kwamba vitendo vya kishoga nchini Tanganyika ni vichache kuliko ilivyo nchini Zanzibar, hadi kufikia hatua ya kukemewa na viongozi wa dini wanaokerwa na...
23 Reactions
238 Replies
13K Views
Mtaka yote kwa pupa, hukosa yote, na usiache mbachao kwa msala upitao. Kwa mazingira yaliyopo mpaka sasa, na kwa namna ambavyo hana mpango mikakati wowote wa kushinda uchaguzi huo zaidi ya...
3 Reactions
103 Replies
4K Views
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimekosoa kauli ya Dk. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria; na kusema chama hicho kiko imara na kitaendelea kuishauri Serikali, Bunge na Mahakama...
0 Reactions
1 Replies
411 Views
Laiti Chadema wangeruhusiwa na Serikali kufanya Mikutano basi ingekuwa ni ya kukashifiana na kuleta vurugu tu Kama unabisha jaribu Kufuatilia mzozo wa Wafuasi wa Mbowe na Lisu yaani Chama kina...
6 Reactions
15 Replies
677 Views
Ni muhimu sana Mbowe atoke hadharani na aseme hata gombea vinginevyo mambo yatakuwa mengi mno ,madudu yote watanzania tutayajua, unavyozidi kuchelewa ndio siri nyingi za chadema tutazijua chini ya...
0 Reactions
12 Replies
755 Views
Kwa namna alivyouawa mzee Ali Kibao bila wahusika kujulikana, kutafutwa wala kuchuliwa hatua, ni mwendawazimu pekee anayeweza kujiamini mbele ya makatili na wauaji ambao wameshika kani chini ya...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Lissu aliwasilisha kwa Katibu Mkuu taarifa rasmi ya kuondoa kusudio la kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti tangu mwezi wa 8 lengo likiwa ni kuja kugombea uenyekiti. Tarehe 10 Dec 2024 Mbowe na...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Ni lini Lissu amewahi kupendekeza kuweka ukomo kwenye uongozi wa chama cha chadema akakataliwa? Kwanini anaisema katiba kwenye mkutano wa bayana/hadhara badala ya kutumia vikao vya chama? Kama...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Ni suala la muda tu kabla ya Mzee Mbowe kuchukua form ili atetee nafasi yake ya uwenyekiti ambayo alibadilisha katiba ili awe mwenyekiti wa kudumu. Tutegemee yafuatayo toka kwa huyu Mzee: 1...
3 Reactions
6 Replies
586 Views
Unaleta mchezo na Viete wewe? Ukija kusikia matamko njaa tena kutoka TLS uni tag. -- Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imekabidhi gari jipya aina ya Land Cruiser Prado kwa Chama cha...
5 Reactions
70 Replies
4K Views
Kama wewe ni kiongozi katika chama cha siasa au taasisi yoyote kubwa na chini yako kuna wafanyakazi wengi kufikifi kuwa bila wewe kampuni au chama kitakufa basi wewe ndio utakuwa tatizo katika...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Naomba upendekeze memes unazodhani zinafaa kupeleka salamu kwa rahis wetu kistaarabu ili ajue nasi tuna akili mbali na mawazo yetu ambayo yanaweza kumsaidia kurekebisha au kuboresha mambo...
0 Reactions
7 Replies
678 Views
Japo wengi wanachukia kifo, kuna ukweli kuwa kifo ndiyo kitu pekee kinachotenda haki kuliko vingine. Mvua inaweza kunyesha lakini si dunia nzima. Kifo kipo kila mahali dunia nzima. Furahi ipo...
1 Reactions
21 Replies
859 Views
Wakuu Jana kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu ambaye pia ni Mgombea Uenyekiti wa Chama hicho, alisema watu wasiojulikana wanapanga njama za...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Nimemsikililiza waziri Bashungwa alipokuwa anatoa maelekezo kuhusu vitambulisho vya NIDA. Kwa bahati mbaya hawa mawaziri wetu hawajishughulishi sana kutafuta majibu ya kero halisi za wananchi wa...
1 Reactions
6 Replies
638 Views
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema sasa amechoka kusikia mauaji kwenye mikutano ya kisiasa ya CHADEMA na atatumia rungu lake kufutia usajili chama chochote kitakachoshindwa...
8 Reactions
410 Replies
32K Views
Tundu Lissu mwanasiasa machachari, mtata, mwenye msimamo usioyumba, asiyetishwa wala kubabaishwa na chochote, mtu mwenye ufahamu na maarifa mengi kwa sababu ya kusoma kwake kwingi, mtu asiye na...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Tunapoelekea kwenye Uchaguzi mkuu wa chama nimeshangazwa na kuvunjwa moyo na kauli ya Baadhi ya makada wa chama. Hususan Yeriko, Boniface, Kigaila miongoni mwa wengine. Tangu makamu mwenyekiti TL...
8 Reactions
18 Replies
924 Views
Kama mnakumbuka vurugu za miezi michache iliyopita Mtwara Waziri mkuu alikwenda kuongea na wananchi wa Mtwara na kueleza mipango ya serikali ya maendeleo kwa kusini. Kwa mara ya kwanza wananchi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom