Kwanini ushoga ni mwingi Zanzibar kuliko Tanzania Bara?

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
23,844
22,040
Takwimu zinaonyesha na ukweli unadhihirisha kwamba vitendo vya kishoga nchini Tanganyika ni vichache kuliko ilivyo nchini Zanzibar, hadi kufikia hatua ya kukemewa na viongozi wa dini wanaokerwa na tabia hizi chafu.


Tazama jinsi mashoga yanavyofanya shughuli zao na kujinadi hadharani bila kushughulikiwa. Sio viongozi wa dini wala serikali inayochukua hatua kukomesha vitendo hivi.


Imefikia hatua hadi mashoga wamejipenyeza kwenye tasnia ya utumbuizaji na watu wanafurahia kazi zao za sanaa licha ya kuonyesha ushoga wao kinaghaubaga. Kwa kweli inasikitisha na inahudhunisha sana. Mungu atufanyie wepesi atunasue kutoka kwenye kadhia hii.


Sababu zinazopelekea hali hii kuwa kama ilivyo bado hazijawahi kutolewa majawabu na wanazuoni. Tanganyika imeikalia Zanzibar kimabavu hadi wameshindwa kabisa kudhibiti vitendo vya kishoga kwenye nchi yao wamebaki kuilaumu Tanganyika kuwa chanzo cha mashoga. Sasa walitarajia Tanganyika iwasaidie kupambana na mashoga kwenye nchi yao?

Lakini kwa upande mwingine Tanganyika imesababisha matatizo makubwa sana kwa Zanzibar pale ilipolizuia koloni lake hili kujiunga na OIC. Kama Zanzibar wangejiunga na OIC huenda uchafu huu ungepungua au ungetokomezwa kabisa kwenye nchi yao kwa kushirikiana na nchi rafiki za kiarabu.
 
Hao wanafiki sana
Mwezi Ramadan wanazunguka mtaani kusaka wanaokula mchana
Yaani wanaona anaekula mwezi Ramadan ana dhambi kuliko ushoga
Ila kumbe wao wanafanya ushoga kama utamaduni
Ukiwaona na makanzu Yao kama watakatifu kumbe wanafanya ushenzi
 
Nimekwenda Zanzibar mara nyingi lakini sijabahatika kukutana na hao mashoga

Nimetembea na hapo Forodhani nyakati za Usiku lakini sijabahatika kuwaona hao mashoga

Labda kama wanafanya huo ushoga wao Kwa kificho

Lakini pia kama una nafasi lete ripoti ya hali ya ushoga Kwa Mikoa ya DSM na Arusha pia.

NB; tuwalinde watoto wetu
 
Nimekwenda Zanzibar mara nyingi lakini sijabahatika kukutana na hao mashoga

Nimetembea na hapo Forodhani nyakati za Usiku lakini sijabahatika kuwaona hao mashoga

Labda kama wanafanya huo ushoga wao Kwa kificho

Lakini pia kama una nafasi lete ripoti ya hao hali ya ushoga Kwa Mikoa ya DSM na Arusha pia.

NB; tuwalinde watoto wetu
Ushoga umejaa huko
 
Athari za utawala wa kiarabu.
Maeneo yote kulikokuwa na waarabu wengi, ushoga umeshamiri sana, Zanzibar, Mombasa, Tanga.

Nilishangaa nilipoenda Zanzibar, kijana muongozaji watalii, ananiambia kuwa watalii wazungu wakifika Zanzibar wanataka ku-enjoy sana, na wao wanahakikisha wateja wao wanapata chochote wanachotaka. Nikamwuliza kupata ufafanuzi, ndipo akasema kuwa wengine wakifika tu wanataka wanataka mabinti. Nikamwuliza kuwa wanafanikiwa kuwapata ukizingatia Zanzibar ina watu wachache, na practically ni kama nchi ya kiislam. Akasema wanawake wapo wengi sana, umri wowote utakaotaka. Hawapo mabarabarani kwa sababu wanaogopa, ila malaya ni wengi sana. Akasema ukitaka waafrika tiii, wapo. Ukitaka mashombe wa kiarabu, wapo wengi sana, japo wengine wanataka wazungu tu kwa hofu kuwa waafrika watawatangaza.
 
Back
Top Bottom