Baadhi ya wananchi wa Kata ya Ngarenaro wameanza kueleza kutoridhishwa na utendaji wa diwani wao, Dogo Janja, wakidai kuwa tangu achaguliwe hajawa karibu na wananchi kama walivyotarajia...
Fuatilia hapa Hafla ya Kupokea Wanachama Wapya wa Vyuo Vikuu wa chama cha siasa cha ACT-Wazalendo, leo Juni 14, 2026, inayofanyika katika Jengo la Maalim Seif, Magomeni, Dar es Salaam.
Viongozi...
Chizi anachekesha kama hatokei kwenu.
Salaam jamiiforum, hope ni wazima na hata wale wagonjwa pole mtapata nafuu.
Kwanza niseme tu Mimi si muumini wa kupost habari za siasa,ila ni mfuatiliaji...
mabifu yote na malalamishi khs huo unaoitwa ubaguzi wa zanzibar ni kwa watu wa dar, watu wa dar ndiyo wanaotafuta fursa huko na kulazimisha kuishi huko ila kwa kuwa dar ndiyo nchi (thanks to...
BORA TUFIKISHANE MBALI POTELEA POTE. LAKINI HUWEZI NITANDIKA MBELE ZA WATU. KISA WEWE KIONGOZI BILA SHERIA KUFUATWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Watibeli sio kwamba Sisi ni wajeuri...
Hii kinga ya rais kutoshitakiwa inamfanya rais kutumia madaraka yake vibaya sana.
Watanganyika tupamnane tupate katiba ambayo itatupa madaraka sisi wananchi.
Rais akijigeuza yeye sultani na...
Upotoshaji wa akina Maria Sarungi, Liberatus, na wenzao (Misinformation from commercial activist).
Leo Maria Sarungi na genge lake wameibuka na upotoshaji kuwa mswada kuhusu Tanzania unaotarajiwa...
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAZECHA) Mkoa wa Mbeya, David Mwambigija, ametoa wito mzito kwa askari wa jeshi la polisi nchini kutojihusisha na matukio ya...
When I do my fair analysis to the steps taken by Mahmood Thabit Kombo who is the incumbent Tanzania Foreign Minister,I come up with an honest conclusion ...that this man is just but an African...
"Chama cha Mapinduzi ni adui wa kila mtu. Mwalimu Nyerere alikuwa anapambana na maadui wangapi? Watatu, sindio? Ujinga, maradhi, na nani? Na umaskini.
Leo Chama cha Mapinduzi ni adui namba nne...
"Vijana kukosa ajira ni serikali kutokuamua kuchukua hatua. Uwepo wa ufisadi na ubadhirifu ni serikali kutokuamua kuwajibisha, wameamua kujilinda na kukaa kimya. Maisha yetu ni siasa, kila siku...
Wanabodi
Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu...
https://youtu.be/WIWGa4ipDm8?si=oSKBMppPA8bckwGA
Kwenye Viwanja vya Mwembetogwa leo Jumamosi Juni 13, 2026, wakati wa Mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tanzania bara Bw. John...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema ziara za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zinalenga kutafuta washirika wa biashara na uwekezaji badala ya...
Wanabodi,
Hii ni mada ya kwa Maslahi ya Taifa, kuhusu kilichotokea Oct. 29, media ya Tanzania, hatukutimiza wajibu wetu kikamilifu kwasababu anuwai!, ila pamoja na kutotimiza wajibu wetu...
1. Mpaka leo wangalikiwa chama kimoja kwani vuguvugu la siasa la vyama vingi ilianzia Zanzibar
2. Biashara: Rais mwinyi ndie aliefungua biashara kwani zamani kuuza sabuni na dawa ya mswaki ilikua...
My Take
Beberu ameufyata vibaraka watakuwa na Hali gani?
Beberu USA amelegeza Masharti kwenye mswaada wake wa kutathmini mahusiano yake na Tanzania Kwa sababu walizowahi zitaja.
Hii inakuja siku...