Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Jiandaeni kisaikolojia,jiandaeni kububujikwa na machozi ya furaha na wengine machozi ya huzuni na Majuto hapo Mapema Mwakani. pale ambapo chama cha Mapinduzi kitakapo...
0 Reactions
13 Replies
715 Views
TATIZO LA CHADEMA NI KUKOSA WAZEE WA USHAURI NDIO MATOKEO YA KINACHOENDELEA. Utakubaliana na mimi kwamba chama kikubwa cha siasa aina ya Chadema ambacho uhai wake ni zaidi ya miaka 30 kukosa...
3 Reactions
9 Replies
695 Views
Mimi ningependa Lissu ashinde ingawa simuungi mkono. Sababu zangu ni hizi: 1. Ushindi wake utaondoa dhana ya CDM kuwa ya mtu mmoja ambayo sio kweli 2. Najua Mbowe atakubali matokeo na kumpongeza...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Sasa hivi mpaka january wale wapenda kiki watulie tu mpaka upepo wa chadema uishe yaan nimejua kua CHADEMA inafatiliwa sana inapendwa huu uchaguz unazungumziwa kuliko hata ule uchafuzi wa...
7 Reactions
9 Replies
550 Views
Huyu bwana kwa taaluma yake na kwa jinsi anavyojipambanua kama mwanasheria nguli, nilitaraji niwe nimemuona katika viunga vya mahakama mara kadhaa. Sababu kubwa ni kwa kujua na Lissu anajua sana...
0 Reactions
7 Replies
394 Views
Mabeberu naona kama wanawashwa washwa, kupitia shirika lao la kibeberu, wametoa ramani inayoonyesha eti ziwa lote ni mali ya Malawi. Hongera Wizara ya Elimu kwa kutoa muongozo. Tunasubiri Wizara...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya...
17 Reactions
203 Replies
7K Views
Wasalaam Wote tumeshuhudia bwana Freeman Mbowe akiapa kushinda uchaguzi inyeshe mvua au liwake jua. Ukiangalia nguvu za kiuchumi za huyo mheshimiwa ni kwamba atatumia rasilimali zake kushawishi...
0 Reactions
1 Replies
375 Views
Sikutegemea kabisa kwa wewe kuonyesha tamaa ya kutaka kuendelea kukalia kiti. Dhumuni lako aswa ni nini, kuona demokrasia ama kutaka kuona kati yako na makamo wako ni nani zaidi? Je, unahisi ni...
10 Reactions
54 Replies
2K Views
Anaandika Wakili Joseph oleshangay freemanmbowetz anaashiria maridhiano yalikwama Kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu” Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya freemanmbowetz ...
24 Reactions
88 Replies
4K Views
NONDO (6) SITA ZA LISSU AKIWA LIVE CLUBHOUSE LEO USIKU 1. SUALA LA MGAO WA RUZUKU "Suala la mgao wa Ruzuku ya chama kwenda kwenye ngazi za Wilaya na Mikoa hata kama ni kupeleka kidogo cha kadri...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Kwema Wakuu! Lisu wape nguvu wajumbe wanaokuunga Mkono. Usikubali kuachia wape nguvu. Onyesha wewe ni nani. Wape nguvu wale waliotishwa na kukatishwa tamaa na Mbwembwe mshindani wako kwenye...
25 Reactions
90 Replies
3K Views
Wakuu, CHADEMA mambo yamezidi kupamba moto. Lissu akiwa anajibu swali aliloulizwa kuhusu tuhuma za Mbowe kwamba nyaraka za chama zilikuwa zinqvujishwa na Msigwa ambaye ni rafiki yake mkubwa...
1 Reactions
3 Replies
532 Views
Heshima kwenu, CCM no sawa na mtu aliyeshindwa kulea na kuhudumia watoto wake, lakini anaomba kujitolea kumtunza Yatima IL Hali watoto wake wamemshinda. Angalia, Kipara kipya, Magonjwa...
2 Reactions
0 Replies
327 Views
Lissu anasema Mbowe alivyokuwa anaongea kwenye hutuba yake inaonekana bado anataka maridhiano. Anasema toka amerudi hakukuwa na mabadiliko yoyote kisera. Yote yaliyofanywa kwa upande wake yalikuwa...
2 Reactions
4 Replies
778 Views
Napenda niwaoenyezee tu... Mbughi ya Uenyekiti CDM sio siasa ya kawaida, ni kama kudai uhuru mwaka 1961. Ni vita kubwa ya siasa niliyowahi kuiona toka siasa za vyama vingi nchini Mwaka 1995...
0 Reactions
9 Replies
773 Views
Wakuu, Viongozi mbalimbali wa CHADEMA wameendelea kutoa matamko yao wakati wakiwa wanaelekea kwenye Uchaguzi Haya ni maneno ya Rose Moshi, Mwenyekiti BAWACHA Kanda ya Pwani "Sioni sababu za...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari wafau! Mdau Paskali katika makala zake kadhaa tulizozizoea,pale anaposema rais ajaye wa Tanzania hasa kwa miongo hii...baada ya Nyerere, urais wa Tanzania hautokani tu na shauku ya...
5 Reactions
11 Replies
771 Views
Rais Dkt.Jakaya Kikwete na Rais Joyce Banda wa Malawi wakutana Msumbiji na kuzungumzia Mgogoro wa mpaka Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Rais wa Malawi Mhe. Joyce Banda mjini Maputo...
2 Reactions
69 Replies
13K Views
Mshikemshike nguo kuchanika unazidi kushika kasi, pale nafasi ya M/Taifa wa CDM inapokwenda kushikwa tena katika kipindi kijacho cha miaka mingine mitano. Miamba wakubwa wawili wamejotokeza...
0 Reactions
1 Replies
370 Views
Back
Top Bottom