PICHA: Rais J.Kikwete na Rais J.Banda wa Malawi wakutana Msumbiji na kuzungumzia Mgogoro wa Mpaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Rais J.Kikwete na Rais J.Banda wa Malawi wakutana Msumbiji na kuzungumzia Mgogoro wa Mpaka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Aug 18, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  [h=1]Rais Dkt.Jakaya Kikwete na Rais Joyce Banda wa Malawi wakutana Msumbiji na kuzungumzia Mgogoro wa mpaka[/h]


  [​IMG]
  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Rais wa Malawi Mhe. Joyce Banda mjini Maputo Msumbiji leo asubuhi kuzungumzia kutafuta suluhu katika mgogoro wa mpaka kati nchi hizo uliopo kwenye ziwa Nyasa.
  [​IMG]
  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais wa Malawi Mhe. Joyce Banda na wameelezea nia ya nchi zao kufikia suluhu kwa njia za kidiplomasia kupititia kamati maalumu iliyoundwa kushughulikia mgogoro huo
  (picha na Freddy Maro).
   
 2. Mapambano Yetu

  Mapambano Yetu JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 763
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 80
  mh. jk angalia usijekuwa unacheza picha kama ile ya roliondo kwa babu!
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,045
  Likes Received: 636
  Trophy Points: 280
  Mbona wana tabasamu hivo huku siye tumenuna tukijia hatuna chetu kwen ziwa? Lol
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Ziwa lishakwenda ilo tena achelewei sema hawa wanyaki wanana shida sana bora ulichukue tuu na kyela iwe yako
   
 5. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 16,235
  Likes Received: 5,747
  Trophy Points: 280
  hapo ziwa lipo sidhani kama jk atakubali kirahisi kurubuniwa na huyo mama,kwanza mama mwenyewe keshalegea huyo.!
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,105
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  hahahaha..haya bwana..hope watafikia mwafaka.....
   
 7. Tavarishi

  Tavarishi Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tunawatakia mafanikio,,,,,,,,vicheko viongezeke!
   
 8. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,171
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Mama Banda: aisee nimeona kwenye forums yenu Tanzania kuna watu machachari
  Jk: hata kwenu kuna lile nyasa times
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,701
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  hapo mama jiniasi na mkuu kilaza
   
 10. M

  Moony JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,594
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  mbona wamebana mwisho wa kiti kila mmoja, kama wanaogopana vile?
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kama atatumia misimamo aliyoonyesha kwa MaDr na Waalimu, basi tutegemee kuwa hataliachilia ziwa liende Malawi. Apunguze kucheka bana, this ia matter too serious!
  Kuchamba kwingi...!
   
 12. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,179
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Mbona ana chekecheka tu?
   
 13. k

  kisimani JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  All the best JK na Banda, kwa kweli sitaki vita kabisa. Hali yenyewe ya uchumi ilivyo, pia itatukosea timing ya 2015
   
 14. D

  Determine JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  muhimu sana asicheze mbali na misimamo ya huku nyumbani
   
 15. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,216
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa kweli sio sehemu ya kuweka uso wa mbuzi, yeye anachekacheka tu! kitu Mkapa bwana mama mwenyewe angetoka mbio!
   
 16. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 13,906
  Likes Received: 3,538
  Trophy Points: 280
  Hapo anaonekana ni mwanamke kama kawaida. lakini akifika nyumbani usiku ni kama mtoto mdogo. Mi ningekuwa kikwete ningemfanya awe nyumba ndogo. Mia
   
 17. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 8,691
  Likes Received: 3,576
  Trophy Points: 280
  Tusubiri matokeo ya kikao chao cha diplomasia!JK mjanja sana amewazunguka wenzake wanaonekana wanapenda Vita si wana diplomasia
   
 18. K

  Karata JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Amri Jeshi Mkuu wa Vyombo vyote vya ULINZI na USALAMA, amesema HAKUNA VITA, HAWEZI KUMTWANGA DADA YAKE. FULL STOP! Hongera KAMANDA COL. DRT. KIKWETE. VITA si nzuri Kabisa. Wanasiasa (Wasuccession 2015) waache SIASA kwenye hii kitu.
   
 19. W

  Wajad JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 872
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 60
  Mkuu haya mazungumzo ungeyaendeleza yangenoga sana
   
 20. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,750
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ewaaaa. Na mimi nilitaka niulize hilo hilo kwani ukiangalia vizuri utaona kwamba kila mmoja anataka asogee mbali zaidi ya mwenzake: Halafu JK ndiyo kajisogeza ndani ndani kuleeeeeeeeeeee kwenye angle kabisa.
   
Loading...