Mnara umenipa signal kuwa mchezo unakwenda kuisha kwa dau la milioni 10 kwa kila mjumbe wa kamati kuu CHADEMA ili kwa sharti la kupiga kura kwa kipenzi cha Maza.
Je, vipi hali ya uchumi ya wajumbe...
Dadadeki!
Wajumbe pambaneni kwa kweli. Kama mnajijua mpo kwa mazoea zoea na kupenda kuendeleana.
Au kupeana peana vinafasi hata kama hamna uwezo Basi hakikishenj huyu Lisu hapiti.
Mimi sijui...
Mbowe atakuwa hazimtoshi kama atakubali kuachia Chama Kwa mhamiaji haramu ambao anatumikishwa na wanaharakati njaa, Mabeberu na Amsterdam Kwa maslahi ya mashoga.
Ikumbukwe huyo bwana anafadhiliwa...
Hamjamboni wote!
Magufuli ndiye mtu pekee ambaye alimpiga Lisu home and away. Yaani mtandaoni na kwenye Boksi la Kura.
Kwa Sisi Watibeli wasema Kweli yote, tunasema Kiboko ya Lisu likuwa JPM...
Taarifa Kamili itakujia hivi Punde
========
Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa...
Barua ya wazi Kutoka Kwa Suleiman Said Bungara ( Bwege) Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kwenda kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan
Wepesi sana kulaumu vyama vya siasa vinapofanya makosa huku wao wakijificha nyuma ya laptop.
Dada wa Taifa alijaribu kuandaa maandamano akiwa ughaibuni lkn nayo hayakufanikiwa kwa sababu...
Baada ya Lissu kutangaza nia na kuchukua fomu wafuasi wake na wanaharakati walianza kupiga mayowe na kuanza kumsifia Lissu kuwa ndie mwamba.
Mbowe hasitahili kugombea tena hata haijulikani nani...
Wakati huo tulishuhudia CHADEMA wakisema "Samia must go". Alitamka Mbowe, lakini ni wazi wazo hilo, liliasisiwa na Lissu. Ni Lisu ambaye kazoea kutumia maneno makali makali. Maneno makavu makavu...
Huwezi kuwaambia freshers wajiajiri wakati hakuna hayo mazingira kuanzia kwenye kodi hadi kwenye mazingira.
Mfano, Canada, wahitimu wanaweza kupeleka business Proposal yao kwa Wizara husika...
Hii I'd hamtaiona tena natangaza kuachana na siasa maisha yangu yote.
Sina Cha kuongeza ila Mimi ni mmoja wa watu nilio risk maisha yangu na biashara zangu kupigania CHADEMA.
Account yangu ya...
Wakuu,
Waandishi Wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki wa Kata 33 za Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya wakila kiapo kabla ya kuanza mafunzo ya siku mbili leo tarehe 23 Disemba, 2024.
Mafunzo...
Kaandika ifuatavyo kupitia mtandao wa x:
Sasa ni dhahiri kwamba boots will be on the ground kati ya nyie viongozi wawili ambao kimsingi ukisoma maoni ya wananchi wana hofu kubwa na huku wanachama...
Nimeona kura za maoni zilizo kusanywa na chombo kimoja cha habari cha online,kwamba Tundu lisu kwa mujibu wa kura za maini kapata asilimia 84 dhidi ya Mbowe asilimia 16
Ni dhahiri kwamba wananchi...
Leo jioni katika matangazo yao, wamerusha kipindi kinachozungumzia matukio muhimu ya 2024 hapa Tanzania. Katika matukio ya kisiasa wamekwepa kabisa
kuzungumzia kilichtokea kwenye uchaguzi wa...
Kuna dhana potofu inayojengwa kuwa kwa sababu Mbowe ameamua kushiriki uchaguzi kwa kugombea uenyekiti wa Taifa Chadema lazima atashinda na kwamba CCM watapata urahisi wa kushinda uchaguzi mkuu...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe ndio aliyetoa tangazo na agizo la kwamba CHADEMA ikashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Pamoja na madhaifu yaliyokuwepo ila bado alikioeleka chama kwenye uchaguzi...
Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema.
Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi.
Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona...
Mshikemshike nguo kuchanika unazidi kushika kasi, pale nafasi ya M/Taifa wa CHADEMA inapokwenda kushikwa tena katika kipindi kijacho cha miaka mingine mitano. Miamba wakubwa wawili wamejotokeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.