Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James amewataka wananchi wilayani humo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura huku akisisitiza kuwa kufanya...
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Mtanisamehe sijui kuandika vizuri lakini natamani ujumbe wangu uwafikie viongozi wale wote waliopewa dhamana ya kuongoza kutafuta hekima ya uongozi hususan katika maneno na kauli wanazotoa...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
Najua ni ngumu.Najua maelezo yatakuwa mengi.Najua ndani ya nafsi unaona kama kuingia kwenye uchaguzi ni kukinusuru Chama.Najua unaumia kwa kuona uliowaamini kukugeuka na kukupiga marungu bila...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Great Thinkers, Nimerejea hotuba za wagombea wawili wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA, Haya ndiyo mambo ya msingi ambayo kila mgombea ameyatabainisha kama sababu zilizomsukuma kuwania...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Kwa wakongwe kama mimi, wanajiuliza, nini tutaona mageuzi ya maana na ya kweli. Walipofanya kweli Kenya, Malawi, na Zambia tulidhani ni wimbi na wingu vya kupita. Juzi tu, tuliona moto wa mageuzi...
2 Reactions
7 Replies
672 Views
Hizi taarifa za kuwepo kwa majasusi/vipenyo(spies) kwenye vyama vya siasa, taasisi za kidini, timu za mpira, makampuni na taasisi nyingine nyingi za umma zina ukweli gani? Mfano katika vyama vya...
0 Reactions
1 Replies
298 Views
YOHANA 1: 4 -- 6. mtu pekee mwenye nuru inayomlika nadi ya CHADEMA ✌️ na ndani ya CCM NA SERIKALI YAKE. MH. TUNDU LISSU aliyejaa neema na kweli, Mtu peeke tuliyepewa zawadi kutoka kwa Mungu. SIKU...
3 Reactions
2 Replies
276 Views
Ilishaelezwa inayoweza Kupinduliwa ni DOLA na si vinginevyo sasa huyu mtafsiri wa Vitabu vya Hadithi za kijasusi hata hilo halijui? Siyo vema kutumia Haka Kauchaguzi la Chadema kupotosha Wananchi...
3 Reactions
9 Replies
497 Views
LISSU NA MBOWE: ZAIDI YA KUGOMBEA UENYEKITI, KUNA NINI KINGINE? Anaandika Apiov Lwiwa, PhD. Tumeshuhudia mwendelezo wa mnyukano mkali wa Kisiasa ndani ya CHADEMA (CDM), kati ya Mwenyekiti...
0 Reactions
0 Replies
402 Views
Hii kwa sasa ndio cream ya chadema ya Mbowe. Awa ndio tunatakiwa kuwaamini kuwakabidhi dola na hazina ya taifa. Tumepigwa parefu!
6 Reactions
18 Replies
1K Views
IGP Kanja amesema Wao hawateki Watu na wala hawawajui hao watekaji Kanja amesema kazi ya police ni kukamata Wahalifu siyo kuteka Watu na Utekaji ni Uhalifu na watekaji tukiwapata lazima...
1 Reactions
3 Replies
345 Views
Kwa sasa Utajiri wa nchi na wafanyabiashara wakubwa na wanaotambulika RASMI upo chini ya wasomali, wahindi na waarabu! Rarely au hakuna kabisa kumkuta Mtanzania amepenya hapa. Kama Mtanzania...
4 Reactions
9 Replies
518 Views
Wakili maarufu na mwanaharakati wa haki za binadamu, Onesmo Olengurumwa, ameandika ujumbe wa kipekee katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X, akitoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe...
2 Reactions
4 Replies
655 Views
Miaka 20 iliyopita ya harakati za kiasiasa za Chadema, ama niseme ilitokea kwa bahati mbaya au ni kushindwa kwa viongozi wa Chadema, wachaga walijikuta wamejeuka kuwa 'collateral' ya kuvishwa...
5 Reactions
10 Replies
665 Views
Unadhani ni kwanini Hawa Wazee wa Lumumba wanatafakari namna hii? Mungu ni mwema wakati wote 😃
4 Reactions
17 Replies
886 Views
Uchaguzi ni jambo la kawaida katika nchi inayofata Karina na misingi sheria na Demokrasia. Lakini kinachoonekana kwa chadema sasa siyo uchaguzi ni Vita. Vitisho kuumbuana na mwisho ni...
1 Reactions
4 Replies
370 Views
Mwamba tuvushe Mwamba tuvushe Mwamba tuvushe Sacoss yetu inaenda kuharibiwa na toto tundu Mwamba tuvushe Mwamba tuvushe Mwamba tuvushe Sacoss yetu inaenda kufa kifo cha mende Mwamba tuvushe Mwamba...
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini...
4 Reactions
8 Replies
489 Views
Na Mhere Mwita Nimeona chapio la rafiki yangu Yericko Nyerere ambalo amelipa kichwa Cha Habari ya Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini chadema haifi hivyo basi hoja zake zimenifanya...
13 Reactions
31 Replies
2K Views
Ikiwa Imebaki siku Chache tu au Wiki kadhaa Kwenye Chama cha Siasa Cha CHADEMA kuingia kwenye Uchaguzi Wa Viongozi Wa Juu sana.. Viongozi waandamizi kutoka Chama cha Demokrasia kutoka shinyanga...
13 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom