Mwenyekiti Mbowe amesema unapozungumzia swala la Ukomo wa Uongozi Kwa msingi wa Demokrasia ni pale Kiongozi anapokataliwa na Wanachama na si vinginevyo
Mbowe amesema vyama vingine vimeweka Ukomo...
1. Nianze kwa kuwapa pole wafiwa na majeruhi wote katika ajali ya Azerbaijan airlines iliyotokea jana huko Kazakhastan.
2. Natumaini ni somo tosha kwa ndege pendwa ATC kuzingatia hatua zote za...
1962 mondlane aliasisi chama Kikongwe kwa ajili ya kuikomboa msumbiji kutoka kwenye makucha ya wareno !kutoka na Hali ya msumbiji nyakati hizo iliwalazimu frelimo kuweka makao yake makuu jijini...
Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa chama cha CHADEMA, amesema akioata madaraka, kitu cha kwanza atakachofanya ni reforms.
Amesema chama kinatakiwa kiwe na katiba...
Wakuu Salaam sana!
Nimejaribu kufuatilia hotuba ( mara tatu) ya mwenyekiti wa CHADEMA, ndg FAM wakati akitangaza nia yake ya kugombea tena katika nafasi ya uenyekiti CHADEMA TAIFA , lakini...
Wanabodi,
Wengi wanafikiri kwamba serikali ya Tanzania ni gandamizi lakini ukweli wa mambo ni kwamba serikali ya Tanzania sio gandamizi bali ina itikadi ya kuwa na influence kubwa zaidi kwenye...
Uongozi ni kipaji si kila mtu anaweza kuwa kiongozi anaweza kuwa mtendaji mzuri lakini asiwe kiongozi mzuri.
Sisemi chama kisifanye uchaguzi au kiengue wagombea hapana, bali wajumbe wawe makini...
Hiyo ni character assassination.
Tangu Lissu atangaze nia ya kugombea sijawahi kumsikia akiwapongeza viongozi wenzake waliopo as if hakuna kitu walichofanya, yeye ni lawama tu.
Lissu angekuwa na...
Ni wazi kwenye nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa anayogombea, anapingwa vikali sana kwenye chama chake, na kwahiyo tunaweza kuhitimisha kwamba hataweze kupewa ridhaa hiyo na wajumbe wa mkutano...
Humu jf kuna bifu kati ya mashabiki wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu na machawa wa pande zote. Wengi ima hawajui mchezo wa siasa au hawana hata chembe juu ya demokrasia. Chadema, tofauti na CCM ni...
Hellow Tanganyika!!
Uliyoyasikia kuhusu wewe kuchoka Si mwili pekee, Bali Fikra za kuleta uono Mwema wa chama na Nchi chini ya uongozi wako.
1. Kupoteza kumbukumbu ni kiashiria kikuu Cha Mkt...
Sasa hivi wanachama wa CHADEMA wamegawanyika makundi mawili, kundi la Mbowe na Kundi la Tundu Lissu.
Kundi la Mbowe wanaitwa CHAWA wa Mbowe. Nakumbuka neno hili lilitumika sana kuwatusi wafuasi wa...
Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu...
Miongoni mwa Sekta amabazo zimfanya rais Kikwete kukumbuka ni sekta ya miundo mbinu iliyochini ya Dk. John Pombe Magufuri aka Tingatinga, ambapo katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Nne...
Tuko hapa Machame, wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na hivi, ndivyo tunavyozitumia pesa za kikoba cha mjomba.
Asitokee mtu wa kutaka kukipora kikoba chetu, labda akaanzishe chakwake.
Makamanda...
1. Hili la diplomats kutokukaguliwa (screening and security checks) airports ndo chanzo cha biashara pendwa kutokwisha. Yaan mtu si anajiamulia Leo abebe kilogram (kg) ngapi tu? Maana ana uhakika...
1. Kama mnavyojua sekta ya USAFIRISHAJI imekua kwa kiasi kikubwa. Lakini la kusikitisha mabasi yaliyo Mengi huagizwa China, Brazil na Kenya.
2. Je haiwezekani kuwalazimisha wenye viwanda hivyo...
Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji.
Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla
Hi dhana Kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.