Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari zenu wanaJF wenzangu Ndugu Lisu kwanza napenda nianze kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Najua hatujuani, lakini hilo haliwezi kuwa sababu ya mimi kuacha kukushauri...
11 Reactions
65 Replies
2K Views
Hofu isiyoonekana ni ugonjwa wa akili mbaya sana sana, Hofu inahitaji tiba ya kisaikolojia, Jambo linaloisumbua Chadema ni hofu ya kumpa uenyekiti wa chama mtu tofauti na Freeman Mbowe Wana...
1 Reactions
8 Replies
784 Views
Nchi hii haikosi vituko. Ukiamua kununa ni wewe mwenyewe tu umeamua. Kuna kila aina ya vichekesho nchi hii kuanzia kwa viongozi mpaka kwa wananchi. Lakini kinachochekesha zaidi ni kuwa...
8 Reactions
63 Replies
4K Views
Habari wana JF ,hivi kuna haja gani kwa Chama kushika Nchi zaidi ya miaka 45 na bado nchi nzima kukawa bado ukosegu wa Huduma za Msingi kama Maji safi ,Afya na miundombinu mibovu kwa Nchi yenye...
14 Reactions
73 Replies
4K Views
Chama kikuu Cha upinzani Lakini hakina kiongozi wa Juu mstaafu hata mmoja Kwa mfano CCM Kuna Kikwete, Malecela, Msekwa, Makamba, Mangula, Kinana, Chongolo, Mpogoro, Dr Bashiru, Polepole, Nape...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
WanaChadema wanaomkosoa Mbowe wamekosea timing kwani nini sasa ni sio enzi hizo kama kweli alikosea ? Wanaonekana wana cheap propaganda za uchaguzi Lisu kaunda kamati ya fitina na majungu yeye...
2 Reactions
14 Replies
581 Views
Swali, Je, huenda Freeman Mbowe akajitoa ili kulinda heshima kidogo aliyonayo au yuko tayari kubeba aibu kwa gharama ya chawa wake|| Taarifa za chinichini ni kwamba, Mtia nia wa nafasi ya...
18 Reactions
75 Replies
5K Views
Habari zenu waungwana, natumaini mko poa na mnaendelea vizuri sana na majukumu na mapumziko ya mwisho wa mwaka. Kwa kuwa leo ni siku ya mapumziko nimaemua kuitumia kuwaandikia na kuwahimiza...
1 Reactions
6 Replies
493 Views
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa "Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi. Kuna watu wanaandaliwa waje...
28 Reactions
143 Replies
6K Views
Au Kwa Chadema Ulinzi wa Makomandoo ni Kwa viongozi Wote wa Juu? Kwa vyama vingine kikiwemo CCM kwenye Siasa huwezi kuona Makomandoo wakiwa sehemu ya Ulinzi wa viongozi Wakuu Merry Christmas 🌹
1 Reactions
7 Replies
510 Views
Maandishi ya Ben Saanane Kuanzia nilipoibua mjadala wa Uhalali wa Phd ya Mhe.Magufuli niliacha rasmi kumu-address kama Dr.Magufuli na kutumia Ndugu au Mheshimiwa tu hadi itakapothibitika ni...
56 Reactions
249 Replies
47K Views
Salaam wana bodi ,kwanza niwatakieni siku kuu njema ya krismas na heri ya mwaka mpya wa 2025.nirudi kwenye madam yangu.hivi inawezekana mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ,kuwa sahihi wakati...
5 Reactions
21 Replies
925 Views
Mpaka hivi sasa tunavyoongea, Mwenyekiti Mbowe hajawahi kusafishwa na mahakama wala serikali wala chombo chochote nchini kuwa tuhuma za serikali kwa Mbowe kuhusu Ugaidi zilikuwa za uwongo. Sisi...
2 Reactions
10 Replies
640 Views
Siasa za Afrika zina matatizo mengi sana, tukubali tu kuongozwa na CCM kikubwa waendelee kutii muongozo wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, CCM ndicho...
4 Reactions
6 Replies
471 Views
Utajiri wa Freeman Mbowe umeibua maswali na hoja kutoka kwa baadhi ya wanachama na wachambuzi wa kisiasa kuhusu namna ambavyo haunufaishi chama moja kwa moja. Hapa kuna sababu na mifano dhahiri...
4 Reactions
7 Replies
861 Views
Hiyo ndio Organization chart ya Chadema Juu kabisa pale Kwa Mbowe ni pa kudumu Na chini kabisa Kwa John Mrema ni pa kudumu Hapo katikati ndio Kuna wanasiasa wanaobadilishana wamepita akina...
0 Reactions
4 Replies
352 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi...
25 Reactions
200 Replies
49K Views
Niko hapa namwona anatoa ufafanuzi kuhusu masuala ya umeme. Kwani mkurugenzi wa wa umeme hayupo? Source tbc
2 Reactions
8 Replies
611 Views
Posted by Akim kutoka X Ni hayo tu!
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Willibrod Peter Slaa akizungumza hivi karibuni kupitia jukwaa la Kumekucha la mtandao wa Clubhouse. "Mimi kwa maoni...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom