Leo mgefikiria mtu Kama Mbowe kukataliwa na kila mtu .
Hii ni weak up call kuwa katika kila kitu kuna majira yake .
Hivyo ikifika wakati wa Ccm kuondoka wataondoka .
Ni swala la muda tu.
Mheshimiwa Rais, Shikamoo.
Pole na hongera kwa majukumu mazito ya kujenga Taifa.
Nakuandikia andiko hili kukuomba kwa heshima na taadhima kubwa kwamba , Mheshimiwa. Tafadhali, Tafadhali sana...
Mheshimiwa Lissu ameweka na kufafanua kwa kina sera zake ikiwa atashinda uwenyekiti wa CHADEMA
1. No reform no election. Hakuna kumchekea Samia wala CCM
2. Kuwe na ukomo viti maalumu bungeni
3...
Hakuna namna Mbowe anaweza kumshinda Mh.Lissu zaidi ya kununua wajumbe na kuiba kura. Wajumbe wengi wameonyesha kutokubali Mbowe kujimilikisha chama.
Kama huyu mtu amekosa aibu kabisa basi na...
Baadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani...
Tanzania tunabidi kuwa makini.
MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.
Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi...
Kama lissu atagombea urais 2025 mchuano utakuwa mkali sana,ila mimi mama kura yangu ameshaipata...kuna raha sana kuongozwa na mama,kwanza ni mpole,ana busara,hana lugha mbovumbovu za vitisho..hana...
TAL anahaki ya kugombea. Lakini nawaibia siri kwamba akina Msigwa na kikundi chake ndio walimshauri TAL aache kugombea nafasi ya umakamu na agombee nafasi ya Mwenyekiti.
Na ndio maana unakuta...
Nimekuwa nikifiatilia kauli za Lissu mara kadhaa na kujikuta nabaki na mshangao mkubwa.
Lissu mara kadha amekuwa akiwashambulia viongozi wenzake ndani ya chama bila ushahidi wenye mashiko...
Hizi kete zinazo sukumwa kipindi hiki kuelekea uchaguzi wa Mwenyekiti Chadema zimekaa kimtego sana.
Yawezekana mzee mbowe ameingizwa kwenye mtego na yeye amezama mazima.
Hii ndio karata muhimu kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Tenda Wema nenda zako na wala usisubiri shukurani,ni bora Umfadhili Mbuzi kuliko Mwanadamu.Duniani hapa Watu wanaumizwa na Wameumizwa sana na watu wale wa karibu sana...
Baada ya Wadau mbali mbali wa siasa kujitokeza hapa JF na kwingineko, ili kutoa maoni yao kuhusu Wagombea wa Uenyekiti wa Chadema, Wakiwemo Tundu Lissu na Freeman Mbowe, na mimi najitokeza leo na...
Wakuu,
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka viongozi wa ACT Wazalendo kuacha pupa na papara ya kutoa maelezo yanayoingilia uhuru na majukumu ya vyombo vya dola, polisi na mamlaka zinazosimamia...
Haya ni kutokea katika waliyosema wenyewe hadi sasa, watia nia hawa:
A. SERA ZA LISSU:
1. Ukomo wa madaraka kwa Kiongozi wa chama.
2. Uwazi katika mapato na matumizi.
3. Upatikanaji wa...
Naona watu wengi mitandaoni wanajadili namna majaji wanavyopatikana. Watu wanahoji
1. Jaji anapatikana Kwa kupanda vyeo serikalini?
2. Wanapatikana Kwa UMAHIRI?
3. Wanatokana na perminmance nzuri...
Wanabodi
Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
"Shambulizi la Lissu, wanaomdhania dereva anahusika, sio wajinga!, wana hoja za msingi!" Swali ni...
Mbowe anazungumzia maridhiano na CCM na Samia, ila kwa hali ilivyo sasa, hiyo nguvu ya kuridhiana na CCM aitumie kuridhiana na Tundu Lissu, tena afanya hivyo walau wiki mbili kabla ya uchaguzi, na...
Huku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya.
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, ( kutoka kwa watu wa karibu wa Mbowe), mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa...
Jamani Lisu ni hazina ya taifa,
Ni Tunu ya taifa, Lisu ndio mtu aliejitoa kwa ajili ya kupigania haki ya kweli kwa Tanzania. Amejotoa kimwil,kiroho,kiakili kwa ajili ya ukombozi wa watanzania...
Nimemsikia Lissu akisema baada ya uchaguzi mkuu wa CDM Jan 21 uongozi utatakiwa kufanya maridhiano na Viongozi,Wanachama,Mashabiki & Wananchi (Watanzania) lakini chini ya uongozi mpya na si chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.