Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Pwani kimeanza kwa kasi utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa ofisi ya chama hicho, ambao sasa uko katika hatua za msingi na unaendelea vizuri...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Salaam Wakuu, Nimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda. Je, Wabunge na Wanasiasa wa kizazi hiki, kuna cha...
18 Reactions
51 Replies
3K Views
Hili liko wazi baadhi ya wahusika wakuu wa makampuni ya Six telecoms,Push Mobile na Wia wote wako jengo moja ambao ni Mzee Kinana na Peter Noni. Fuatilieni brela na TCRA and connect the dots..
5 Reactions
149 Replies
43K Views
Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Waziri wa maji Aweso. Naandika barua hii kila mtanzania anakusikia. Mnamo mwezi wa 7 mwaka 2024 itembelea Kinyerezi ukasikiliza adha kubwa shida maji. Ukaongea na eneo hili likabaki chini ya...
0 Reactions
21 Replies
996 Views
Karibuni! Niwatakie Heri ya mwaka mpya 2025
3 Reactions
11 Replies
727 Views
Mfumo wa haki jinai ni mbovu pia hata teuzi za majaji zinatia shaka asema wakili kiongozi wa jopo la mteja wao aliyefungua kesi dhidi ya mbunge Pauline Gekul Kesi hiyo ni rufaa ya jinai namba 577...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Lissu 2020 baada ya kushindwa uchaguzi na Magufuli aliwatukana na kuwadharau wananchi baada ya kumpuuza alipowaita watoke barabarani akawambia ni wapumbavu sana wasiojielewa akiwa nchini...
5 Reactions
24 Replies
806 Views
Kila kitu ulimwengu wa wa leo kipo kidigital. Sasa inakuwaje unachelewesha malipo ha mtu ambaye umeprocess mkopo inavyotakiwa?
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuelekea uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Urais mwaka 2025 joto kumeanza kuchangamka maeneo mbalimbali ya Nchi kwa watu wenye nia ya kujitosa kwenye udiwani au ubunge kuanza kupitapita. Moja...
0 Reactions
3 Replies
875 Views
Mahakama ya Wilaya ya Babati imemtumia wito Mbunge Pauline Gekul kufika Mahakamani hapo Disemba 27, 2023 kujibu kesi inayomkabili. Mahakama hiyo imemtaka kufika pasipo kukosa. Mbunge wa Babati...
3 Reactions
50 Replies
6K Views
Ni mkesha kabambe wa mwaka Mpya ambapo viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyama vya Siasa watahudhuria Mkesha wa " Vuka na Chako" utafanyika tarehe 31/12/2024 RC Chalamila yeye ni kama mwenyeji...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Pale njia panda ya goma maji yapo yauzwa kwenye magari na kuzungushwa mitaani ila bombani hakuna mnatuona wajinga? Ile ziara yako nasikia ulifukuza watu pale DAWASCO kimara ndio hawa wanafanya...
0 Reactions
14 Replies
913 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara, imeahirisha rufaa ya jinai iliyokatwa na Hashim Ally dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul baada ya mjibu rufaa huyo kutopewa wito wa kuitwa...
0 Reactions
2 Replies
782 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara imesikiliza shauri la Jinai namba 577/2024 mbele ya Jaji Devotha Kamuzora, linalomhusu Hashim Ally ambaye ni Mrufani dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
ANAANDIKA MHE.ALFRED SOTOKA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA RUKWA. JESHI LA POLISI LATUMIWA NA DC LIJUALIKALI KUFANYA UNYAMA NA UKATILI WA KUTISHA. WATOTO WACHANGA WAACHWA MAJUMBANI, VIPIGO NA...
0 Reactions
7 Replies
759 Views
Mh rais naona amekaa kimya sana. Ameshimdwa hata kutu wish heri ya x mas kweli. Japo hatuna kitu lakini akitu wish tunagarijika
2 Reactions
14 Replies
755 Views
Wakuu, Uchaguzi huko CHADEMA umeendelea kupamba moto, watu wameendelea kujitikeza kutia nia. Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Odero Charles Odero anatarajiwa kuchukua fomu ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Kawaida amemjibu aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema akisema kazi ya usafirishaji abiria kwa kutumia...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Kiongozi (mkuu) wa chama ACT wa sasa anaitwa nani? Tangu kuondoka kwa Zitto Kabwe kama kiongozi wa ACT sijawahi kumjua au kumsikia kiongozi wa hiko chama tena, sioni hata akihojiwa au akinukuliwa...
0 Reactions
2 Replies
282 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…