Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari Wana JF. Kwanza nielezee masikitiko yangu kwa kauli ya Jana ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Mbowe kwamba anajuta kumwamini Rais Samia Mheshimiwa Mbowe alipigiwa kelele sana kuhusu...
26 Reactions
269 Replies
11K Views
Salama kabisa! Inashangaza Sana. Au ndio Elimu za kikasuku. ELIMU za kukariri. Unakuta mtu na elimu yake Kabisa umri umeenda lakini anashindwa kutofautisha Mwanasiasa na Mwanaharakati. Anashindwa...
2 Reactions
0 Replies
327 Views
Mbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya...
18 Reactions
72 Replies
5K Views
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI "Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin...
12 Reactions
289 Replies
37K Views
Mwiba hutokea ulipoingilia Kama Mwenyekiti Mbowe alitaka kuacha uongozi wa Chadema Kwa kuchukua likizo ya Muda mrefu na Wao wakamkatalia Sasa kwanini Leo wanamlaumu? Chadema acheni ujinga na...
1 Reactions
15 Replies
551 Views
Taarifa kutoka kwenye Chama hicho inaeleza kwamba, Ajenda kuu ya kikao hicho ni Usaili wa Wagombea wa Mabaraza ya Chama hicho, BAZECHA, BAVICHA na BAWACHA Usiondoke JF ili ufahamu Wagombea...
7 Reactions
54 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA imekuwa na utamaduni na tabia ya kuwapanga na kuwasimamisha watia nia wake wa nafasi mbalimbali za uongozi utafikiri watoto wadogo wa shule ya msingi au sekondari...
0 Reactions
8 Replies
554 Views
Kwa hali hii kweli Mbowe ni bora aachie tu aondoke kwa heshima ambayo kaijenga miaka mingi
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu, Huyu Michael Msechu kwa sasa ametua Zanzibar ili kuhamasisha wananchi kusheherekea maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Akiwa huko ameandaa, msafara wa bodaboda barabarani...
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Keybord Worrior tuko wapi mida hii tulipaswa kuwa Centra? Dr Salaa mmoja wa Campiagne manager Lisu kamatwa. Au tunakinukishia humu?
5 Reactions
19 Replies
963 Views
Nimekuwa nikisikia wasanii wanasifia sana kufanyia jikoni au varandani. Sasa huko sijui kuna nini ambacho kitandani hakuwezekani. Naomba majobu mliofanyia jikoni
0 Reactions
5 Replies
480 Views
Wakuu salam, Wakati huko mitandaoni watu wanataka kuuwana na kuchukia wengine, siku zote wanasiasa ni wale wale Kwa miaka takribani 30 sasa, Chadema inaenda ku set a very new political pathway...
1 Reactions
7 Replies
645 Views
Saa chache baada ya kutolewa taarifa ya kukamatwa kwa mwanasiasa mkongwe, Dk Willibrod Slaa, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kumshikilia kwa mahojiano. Taarifa ya...
6 Reactions
73 Replies
5K Views
Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake...
48 Reactions
339 Replies
18K Views
"Akaniambia Mbowe achana na CHADEMA, kwa sababu alinisukuma sana nihamie CCM nikamwambia hilo katu sitaweza kwenye maisha yangu" "Akinipelekea ujumbe nikiwa gerezani akaniambia achana na Chadema...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Si mara ya kwanza hili limefanyika, kwamba Polisi watamkamata mtu, watamuweka ndani, halafu akiwa ndani ndio wanaanza kujiuliza, sasa huyu tumfikishe mahakamani kwa kutumia vifungu gani vya...
3 Reactions
12 Replies
605 Views
Hii ni dhahiri Mbowe hana mpango wa kuachia madaraka hivi karibuni. Amesema Majenerali hawaondoki katikati ya vita mpaka wanafia vitani. Pia Amesema upinzani hakuna watu wa kujitolea wala maono ya...
0 Reactions
14 Replies
793 Views
Wakuu Baada ya Tundu Lissu kudai kuwa Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yake (Makamu Mwenyekiti) ili wamuondoe, na yeye kuamua kugombea nafasi ya aliyekutuma (Uenyekiti), sasa Ezekia Wenje...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwanini Mheshimiwa Lissu asipambane kutetea nafasi aliyonayo kwa sasa huku akizidi kukusanya uzoefu? Shida ni nini?
-1 Reactions
13 Replies
462 Views
Dr Wilbroad Slaa aliyeikimbia Chadema katikati ya mapambano ya kukamata dola mwaka 2015 na kutunukiwa ubalozi kwa sasa ndiye mpiga debe mkuu wa Tundu Lissu kutaka kukamata uongozi ndani ya chama...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom