Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa...
10 Reactions
52 Replies
2K Views
Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA aliyejirejesha CCM na kupewa ubalozi kabla ya kuenguliwa na Samia Suluhu Hassan, Dk Wilbrod Slaa alisikika akijifanya kukipenda CHADEMA hadi kutaka kushiriki kupiga...
2 Reactions
3 Replies
443 Views
Haji Manara akihojiwa na Manara TV amesema kwa sasa hawezi kugombea jimbo la Ilala na mbunge Zungu kutokana na misingi ya heshima waliojiwekea baina yao. Ameongeza kuwa Zungu ni kama kaka yake...
1 Reactions
4 Replies
876 Views
Imekuwa kawaida kusikia watanzania wakiwaita watanzania wenzao kuwa ni waoga (cowards). Maajabu ya Mussa. Kwani hao wanaowaita wenzao kuwa cowards utaifa wao si ni huu huu au wao ni walamba asali...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
1. Chawa bila kujali sekta ni janga lisilokuwa na tija. 2. Chawa huwa hawaoni wala kusikia dosari kuwahusu. 3. Kaulii hizi: "barabara ndefu haikosi kona" au "mwanamke mrembo hakosi kasoro,"...
15 Reactions
82 Replies
4K Views
Ndugu Freeman Aikael Mbowe nakusabahi. Nakuandikia huu waraka huu ili ujue sisi wananchi huku kitaa tunataka nini. nifuatilie kwa makini. 1. Mosi umefanya blunders nyingi ila chama kilikulinda...
25 Reactions
56 Replies
2K Views
SEHEMU YA KWANZA👇🏻👇🏻 https://youtu.be/OO2AYA3VY-Y?si=rYCwWDRt0KJognM3 SEHEMU YA PILI👇🏻👇🏻 https://youtu.be/e0MXkGVJrn8?si=56j8vHveXRune5eo Kwa ufupi: ➡➡Amejibu na kutoa ufafanuzi wa tuhuma...
6 Reactions
5 Replies
855 Views
Michezo anaocheza Waziri Kivuli mstaafu wa Mambo ya Nje mh Wenje wa kuwagombanisha Mbowe na LISU ni Ule ule aliocheza Waziri wake kuwatenganisha JK na Eddo 2015 Ili yeye apate fursa ya kugombea...
1 Reactions
2 Replies
488 Views
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
3 Reactions
22 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=X4mfNXq4ep8 Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, amesema alikuwa miongoni mwa waanzilishi wa chama hicho akiwa na umri wa miaka 30. Akizungumza kupitia Clouds FM...
3 Reactions
52 Replies
4K Views
Nilionya Mapema kwamba ni vema hawa wanaoropoka na kutukana Wagombea wengine, Waitwe, Waonywe na wasamehewe. Lengo la ombi langu hilo ilikuwa kuepusha mkanganyiko na kudumisha Umoja na...
15 Reactions
107 Replies
4K Views
"Tumekaa kama viongozi tumeshauriana kwa kina, kama kweli tume ya kimahakama ya kijaji, kwa mazingira ya nchi yetu ilivyo, kwa namna tulivyoliona bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linapuuza...
15 Reactions
73 Replies
5K Views
Ni wabunge gani waliopo bungeni wamehudumu kwa muda mrefu zaidi? Nani anashikilia rekodi ya kuhudumu kwa muda mrefu zaidi? Muda wa wastani wa mbunge kuhudumu ni miaka mingapi?
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Watanzania waliwahi kuhojiwa rasmi juu ya mfumo wa vyama vingi au kimoja. Majibu yao yalikuwa wazi na ya moja kwa moja kwamba wangependa kubaki na mfumo wa chama kimoja. Mwalimu Nyerere aliona...
-2 Reactions
7 Replies
450 Views
Wakuu, Baada ya kukamatwa usiku wa kuamkia leo Januari 10, 2025 mwanaharakati Dkt. Wilbroad Slaa na kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, dhamana yake imekwama kwa kile...
3 Reactions
56 Replies
7K Views
Hatma ya Tanzania iko juu ya watanganyika na wazanzibar, lakini athari za kisiasa inaweza kuwa doom day kwa Tanzania. Lakini kanuni ya asili itaamua mustakabali wa Tanzania,itaacha kiashiria cha...
0 Reactions
2 Replies
363 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu. Inawezekana itaonekana kuwa ni kitu cha ajabu kwa baadhi ya watu wanaoamini kwenye kufanya mambo kimazoea, lakini...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa namna za siasa za Dr Slaa na vile ambavyo akizungumza kuhusu CHADEMA. Je ni kweli anaipenda CHADEMA?
-1 Reactions
8 Replies
641 Views
Wakuu, Mtaalan kumekuwa na story nyingi sana za watu kutekwa.Wengine wakiwa marafiki wengine ndugu na sisi wengine kusikia kutoka kwa vyombo vya habari kwamba yule au huyu katekwa au hajulikani...
2 Reactions
9 Replies
696 Views
Kiukweli siasa za hii Nchi ni ngumu sana Ninachomuomba Alhaj Mchengerwa atupangie Timu makini ya Wasimamizi wa uchaguzi mkuu wa October kwa sababu Wahuni siyo watu Mlale unono 😄
0 Reactions
2 Replies
259 Views
Back
Top Bottom