Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Walisema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni: Wengine mkiona mwaitishwa kung'atuka, tambueni hamna jipya! "Kwamba mmepwelewa." Yote ni kiroho safi ndugu zetu. Habari ndiyo hiyo.
1 Reactions
2 Replies
297 Views
Uzuri wa huu uchaguzi wa Chadema wagombea wanafunguka mno Mbowe ni kama alikuwa anatishiwa hivi kwe shughuli zake za ujasiriamali Ili aitii CCM. Nadhani CCM ilijua huyu ni Mfanyabiashara...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Inawezekana kabisa TAL aliamua kugombea uenyekiti wa Chama taifa mapema zaidi lakini hakutangaza kutokana na historia ndani ya chadema. Historia inaonesha viongozi wote ndani ya chadema...
4 Reactions
12 Replies
968 Views
"Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Lissu atafeli tu, hakuna namna. Wajumbe wote wa Kamati Kuu ni chadema makini, na wako na mtu makini, Mh. Mbowe. Lissu kwa sasa anamtukana Mbowe, ambaye hata akikosa Uenyekiti wa chama, atakuwa...
5 Reactions
58 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CDM Mkoa wa Shinyanga ameondolewa kwenye nafasi hiyo kwa sababu ameonyesha kumuunga mkono Mbowe. Kimsingi alitumia uhuru wake wa mawazo kumuunga mkono Mbowe. Kundi la Lissu, kwa...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Long live TAL: Huu ni mwendelezo wa mada zikiongelewa humu kwa muda mrefu: Pia soma: Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati Pia soma: Ukombozi dhidi...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu Salam. Bob Junior Simba Mtawala wa Serengeti hifadhi ya Serengeti ambaye ambaye alitawala kwa miaongo isiyopingua mitatu. Bob junior alivuma kwa utawala wa kibabe ndani ya hifadhi yeye na...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Gap limekuwa kubwa kati ya wenye nacho na wasio nacho kwa sababu ya Upinzani dhaifu Kutekwa watu hovyo Rushwa kila kona Kupotea kwa watu Mauaji bila sababu Viongozi walarushwa Viongozi wazembe...
0 Reactions
0 Replies
407 Views
Mimi sio mwana CHADEMA ila kwa watu naowajua wenye ukaribu na Lissu husema kwamba Lissu hua ni muongo zaidi in person pia katika kuskiliza baadhi ya interview za Mbowe za karibuni kuna namna pia...
9 Reactions
172 Replies
5K Views
Ezekia Wenje, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amesema "Hii ya (Lissu) kuombea Urais, unapokuwa na mgombea wa aina ya Magufuli, tunajua Magufuli alivyokuwa inabidi upeleke mtu anayefanana nae tabia...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Duuh, mimi sikuwahi kufikiri wala kudhani kabisa kuwa kamanda wa anga na mwanaharakati wa siasa za mageuzi Tanganyika ndugu Freeman Mbowe kuwa ni shetani wa CCM - kijani aliyejificha kwenye gwanda...
41 Reactions
211 Replies
12K Views
Wasalaam ndugu zangu, Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa Rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu...
11 Reactions
128 Replies
6K Views
Pamoja na kumfunga miazi 9 kuteswa kwenye siasa za ndani kuengua viogozi wa chadema katika serikali za mitaa kufungwa wa fuasi wa chama chake ila amekua na kind words nao na siraha zake zikaelekea...
3 Reactions
23 Replies
908 Views
Tundu Lissu mwanaharakati na mtetezi mkubwa wa haki za binadamu anapambana kukalia kiti cha Mwenyekiti Chadema Taifa Molemo Media imefanya utafiti maeneo mbalimbali nchini kwa wajumbe wa mkutano...
10 Reactions
190 Replies
8K Views
Lissu akimaliza mchakato wa uchaguzi wa ndani wa Chadema, kuna uwezekano mkubwa kwamba atahamishia mapambano yake kwenye serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Hii ni kutokana na historia yake ya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Korogwe jana kwa shtaka la kumkashifu Mwanasheria wa Halmashauri ya Mji Korogwe kuwa ana stashahada ya...
0 Reactions
65 Replies
16K Views
Tundu Lissu tupe ahadi ukishinda Utaanzisha Chadema TV & Radio, Mbowe japo alikuwa na Disco kama Kusaga lakini ameshindwa kwa miaka 20 Sifurahishwi na utaratibu wa Mbowe na Tundu Lissu kila siku...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Unakaribia mwezi mmoja sasa tangu msafara Ndugu Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, upate ajali kule Sululu, Masasi mkoani Mtwara. Ajali hiyo iliyohusisha magari...
50 Reactions
129 Replies
11K Views
Back
Top Bottom