Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inashangaza Sana Balozi zetu huko ughaibuni hazitoi taarifa za fursa zilizopo huko. Fikiria nchi za Middle and Far East zilivyo na fursa ya Ajira, chakula na Ujenzi Ila wenzetu ubalozini wametulia...
7 Reactions
76 Replies
5K Views
Shallom. Jana weekend nilikuwa natembelea Na kusaka habari za siasa zinazojiri mitandaoni. Nilikutana na interview ya Dr Slaa akiwa nyumbani kwake Mbweni iliyorushwa na Jambo Online TV. Pamoja...
18 Reactions
66 Replies
5K Views
kWa raia wa zanzibar ambae ashawahi kuwa rais huko visiwani inawezekana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hilo tulishaliona. Sasa kwa hilo nililouliza naomba majibu,wataalamu wa mambo
1 Reactions
16 Replies
909 Views
Tunamuombea apatikane akiwa salama. Lakini naomba nijibiwe maswali haya:- 1. Kwa zaidi ya miaka 2 sasa amekuwa anaishi Nairobi huku akaunti zake za mitandao ya Kijamii zikishambulia mambo ya...
7 Reactions
80 Replies
7K Views
Uzinduzi wa nishati safi unaofanywa na wanasiasa unaleta maswali muhimu kuhusu usimamizi na utekelezaji wa miradi hii. Utangulizi: Hapa kuna ufafanuzi wa maswali yako: 1. Wanasiasa walisomea...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kutunza hali ya usalama na amani nchini tangu alipoapishwa kufuatia kifo...
2 Reactions
14 Replies
775 Views
Barua za vitisho zilizosambazwa na watu wasiojulikana zimesababisha taharuki kubwa katika ofisi mbalimbali za kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Watu wasiojulikana wamevamia na kuchoma moto Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Silambo iliyopo Kijiji cha Nsungwa Wilayani Kaliua Mkoani Tabora na kuteketeza baadhi ya nyaraka na samani zilizokuwepo...
0 Reactions
7 Replies
817 Views
Wakuu, Mwanaharakati wa haki za kijamii na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godlisten Malisa siku ya leo Jumapili Januari 12, 2025.amezungumza katika mkutano wa wanahabari...
4 Reactions
59 Replies
3K Views
Baada ya Maria Sarungi kupatikana Waziri wa Utumishi Mh Mutuli naye ameibuka ghafla na kutaka Serikali ifanye Kitu Ili na yeye mtoto wake apatikane Mutuli amesema mtoto wake alitekwa wakati yeye...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipango mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujengwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi. Hakuna anayekataa watu kuswali, lakini...
14 Reactions
192 Replies
12K Views
Wakuu, Katika mahojiano aliyofanya siku tano zilizopita Musiba alisema kuna vikundi ambavyo angependa kuishauri serikali ya Tanzania kwa jicho la tatu, kwani si wema na wameanza harakati za...
0 Reactions
4 Replies
709 Views
Rais John Magufuli amemteua Brigedia Jenerali John Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU). Uteuzi huu unaanza rasmi leo.
5 Reactions
155 Replies
73K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa Bodi...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Wakuu, 1. Geoffrey Mizengo Pinda – Mbunge wa Kavuu Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kura katika Uchaguzi wa 2020: 41,401 (alishinda dhidi ya Stephen Mertus Hamis wa CUF aliyejipatia kura 2,920)...
1 Reactions
1 Replies
736 Views
Habari Wanajamvi? Huu uchaguzi wa nafasi za juu CHADEMA, unaibua mambo mbalimbali ya kushangaza na kufurahisha kutoka kwa MACHAWA wa ngome mbili tofauti zilizotangaza nia ya kugombea uongozi...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Leo 9 Disemba ni siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika, siyo kumbukumbu ya Uhuru wa Tanzania wala Tanzania Bara , kwahiyo upotoshaji wowote kuhusu sherehe hizi tutaupinga kwa nguvu zote bila...
23 Reactions
72 Replies
5K Views
Picha tafakuri - sehemu ya wanajeshi wa Israel wakiombeoeza msiba wa mwenzao- tazama kwa umakini rangi za wanajeshi husika. Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya...
14 Reactions
166 Replies
12K Views
Ukienda hospital ukiwa unachemka na kichwa kinauma ukiambiwa una malaria unapata relief shida imeonekana. Ukienda kwa Mganga umefiwa mtoto mkawa mnamuhisi jirani na mganga akawaambia yule jirani...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
Kamati ya siasa ya CCM wilaya ya Tabora imeeleza kutoridhishwa na matumizi ya shilingi milioni 600 kwa mradi wa bwawa la umwagiliaji la Iyombo, ambapo mkandarasi ameishia kujenga tuta pekee. Tume...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom