Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake. John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Siku hizi ukitembea katika jiji la Dar es salaam, hali imekuwa si hali ni makelele mtindo mmoja. Hakuna utulivu kabisa. Ukienda masokoni kila mwenye kibanda chake ana spika na rerding inayoita...
55 Reactions
207 Replies
7K Views
Hii ni mpya kabisa, haijawahi tokea, inakuwaje kesi iendeshwe bila mtuhumiwa kuwepo? Only in my country! --- Wakili Peter Madeleka anayemwakilisha Dk. Wilbord Slaa kwenye kesi Na.993 ya mwaka...
14 Reactions
90 Replies
6K Views
Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa kwenye mahojiano na BBC amesema; "Leo Mbowe wa 2025 nina uwezo mkubwa wa kiakili, uzoefu wa kunitosha, nguvu, lakini zaidi nina adhma, dhamira...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Wewe angalia hata Waandishi wa Habari anaofanya nao mahojiano 80% ni Makada wa CCM akina Kijakazi wa UWT Lindi Mbowe ana nguvu za kusimamia jukwaani na kuongea kitu ambacho hata mlevi anafanya...
8 Reactions
21 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Jaji mstaafu Mathew Mwaimu amesema uchunguzi dhidi ya madai ya Mbunge wa Babati (CCM), Pauline Gekul na wenzake kudaiwa kuwafanyia...
1 Reactions
4 Replies
468 Views
Baada ya Tume haki za Binadamu kusema wazi kuwa kwenye uchunguzi wake imeshindwa kubaini kama Mbunge wa Babati Paulin Gekul alitenda kosa la kumuingiza chupa kijana yule sehemu za siri! Hivyo ni...
1 Reactions
10 Replies
923 Views
Mbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Godbless Lema amepanga kuzungumza na Waandishi wa Habari Januari 14, 2025 ifikapo saa 5:00 Asubuhi Seashells Millennium Hotel. Je, atamuunga mkono Tundu Lissu?
3 Reactions
11 Replies
991 Views
Wakuuu, Wananchi wa Jimbo la Siha wameonyesha nia thabiti ya kumuunga mkono Mbunge wao, Godwin Mollel, kwa kuahidi kuhakikisha wanamchukulia fomu ya kugombea tena Ubunge katika uchaguzi mkuu wa...
0 Reactions
1 Replies
499 Views
Kesi ya Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76), imepigwa Kalenda hadi tarehe 17 Januari 2025 baada ya kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Januari 10, 2025 kujibu shtaka moja la...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, DUNIA inaendelea kuchangazwa na Maajabu yanayoendelea kufanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Nitarudia hili mala trilion , Tatizo la Tanzania sio kukosa upinzani imara au watu imara au Chama imara bali ni kukosa raia walio tiyali kupigania nchi, kumejaa keybord worrior tu. Vijana wa...
4 Reactions
10 Replies
926 Views
Naomba nisisitize kwamba utaratibu uliopo wa mgombea wa chama tawala kuunda tume huru hii sio demokrasia na ili ipatikane tume huru na ya kisasa zaid itakayo fanya haki nilishauri kwenye jukwaa...
1 Reactions
9 Replies
585 Views
Diwani wa kata ya Themi Labora Mkoani Arusha kwa tiketi ya CCM Ampiga Spana Mbunge Mrisho Gambo, amuomba msamaha Rc Paul Makonda
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwanamuziki mkongwe kutoka DRC Kongo, Bozi Boziana amtungia wimbo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea mkutano mkuu wa chama Cha Mapinduzi CCM utafanyika kati ya Januari 18-19, 2025 jijini...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Kwa maoni yangu, hili halijakaa sawa. Sherehe hizi ni za Wananchi au ni za Viongozi tuliowaweka madarakani? Je, bila kufanya kinachosemekana ni Kitaifa pale uwanja wa Uhuru, nchi imekosa njia ya...
6 Reactions
69 Replies
4K Views
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia. Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha...
17 Reactions
424 Replies
32K Views
Uchaguzi Mkuu wa Bavicha ndio tukio kuu kwa siku ya leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wanakutana kuamua viongozi watakaoongoza Baraza hilo kwa kipindi kijacho.
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Back
Top Bottom