Ni Wosia wa Msingi sana kutoka kwa mwenyekiti mstaafu wa Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ukurasani X
Inahuzunisha sana Tajiri wa Chadema kutaka kuwahonga Damu changa ya Chadema 🐼
Mungu wa...
Wanabodi,
Mimi mwanahabari wako, Paskali Mayalla, leo asubuhi, kama kawaida ya kila Jumamosi asubuhi, huwa nashiriki kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na Star TV...
Waziri Mkuu Mh Kasim Majaliwa alikuwa kwenye ukaguzi wa mradi wa kisasa wa kilimo cha mboga mboga. Hawa ndio Watanzania wa uchumi wa kati. Pichani akisalimiana na bibi Asumini ambaye ni mpiga kura...
Mbowe na Samia ni Viongozi wa mfano sana kwa Taifa hili,
Nashauri CHADEMA wamchague tena Mwenyekiti Freeman Mbowe na sisi CCM tutamchagua tena Dkt Samia Suluhu Hassan.
Wawili hawa wanafaa...
Hawa ma ex colonisers wanataka kuaminisha Dunia kuwa Zanzibar kulikuwa hakuna mtu mpaka walipokuja wao (wasome vizuri huo ujumbe hapo juu)
Na mbaya zaidi Wazanzibari na hususan SMZ kupitia...
Zanzibar Daima OnlineJarida la Kila Mzanzibari
khelef / 7 days ago
Vijana wa Umoja wa Vijana wa ASP kisiwani Pemba.
Na Mwandishi Wetu, Chake Chake, Pemba. Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar na...
NILIWAAMBIA MBOWE NI TAPELI WA KISIASA NDANI YA CHADEMA MKASEMA NIMENUNULIWA NA CCM; SASA KIKO WAPI?
Na; Garatwa Francis
Ukiambiwa muda ni Mwalimu wa haki uwe unaelewa. Wakati nawaambia Mbowe na...
Sasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri,
Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa...
SMZ, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ni matokeo ya mapinduzi yaliyo mwondoa Sultani wa Zanzibar mwaka 1964.
Siyo siri, mgawanyiko wa kiasili uliokuwepo kwa karne na karne huko Zanzibar hadi leo...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema atapokea matokeo ya kushindwa katika kinyang'anyiro cha uenyekiti endapo wapigakura watasema hatoshi na atarudi kwenye biashara zake.
Mbowe amesema...
Anaandika Dkt Haule,
CCM Wana haki ya kutuchamba. Mheshimiwa Freeman Mbowe ametufedhehesha sana. Unadhani CCM watakwenda kuruhusu katiba mpya na tume huru ikiwa kama kiongozi wetu mwenyekiti wa...
Na; Garatwa Francis
Wakati umma unaomuunga mkono Tundu Lissu ukiwaza zaidi juu ya kumpata Tundu Lissu awe M/Kiti wa CHADEMA ili Chama kiweze kuinuka tena na kutoka kwenye mifuko ya CCM na Dola...
==
Binafsi Ninamuunga mkono Mhe TUNDU LISSU. na Nina sababu zangu za Msingi kutokana na Nini anakiwazia katika kuboresha mifumo ya Taasisi (Ndani ya CHADEMA). Leo nitajadili Kwa ufupi hoja yake ya...
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,
Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.
Naomba...
==
Leo Ezekiah Wenje mjumbe wa Kamati Kuu CC anakuja kutuambia eti Mh LISSU hajachangia chochote kile akiwa mbunge kwenye bunge la 11.
Tujiuluze, bunge la kumi na Moja (11) lilikuwa mwaka...
Salaam Wakuu,
Kufuatia video fupi ya Wananchi wa Bumbuli kulalamika kupelekewa drafti na Makamba badala ya maendeleo
Soma hapa:
- Kuelekea 2025 - Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba...
Mchungaji Matsahi wa KKKT Kimara amesema yule Mfanyabiashara aliyetekwa na kukutwa ametupwa Bagamoyo akiwa amekufa ni muumini Mwaminifu Sana wa Kanisa lake na alikuwa hana shida yoyote
Matsahi...
Tuwe Wakweli kinachoendelea Chadema ndio ukomavu wa Demokrasia
Ingekuwa ni wale Mbogamboga ungesikia Lisu ameshakatwa eti alianza kampeni mapema lakini Kamilius akaachwa 😂😂😂
Chadema wakimaliza...
Nakuona nikijana nakuona bado una nafasi kulisaidia Taifa ila kama ilivyo kawaida ya sisi Mungu katupa ona kesho nataka kukwambia huyo Hayati Magufuli alisha lala either story yako yaweza kuwa na...
Huku Serikali ikijinasibu kwa mbwembwe na mapambio kwamba haupo mradi uliosisima huko Mbeya Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.