Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hiki Chama wamelenga kushika dola? Lini? Kwa mikakati ipi?
0 Reactions
13 Replies
686 Views
Hao mnaopanga kuwakamata hawajaanza leo kuzungumza kuhusu hela za Abdul, kwanini leo? Mnataka kuvuruga uchaguzi huo ili iweje, na kwa faida ya nani? Lengo lenu ni kuchafua upande mmoja ili...
15 Reactions
69 Replies
2K Views
Kichwa cha Habari ni maneno ya Busara Kutoka Kwa Kiongozi mkubwa wa Dini ya Islam Shehe Ponda Shehe Ponda anasema Chadema inaelekea Hatarini Tukihubiri Demokrasia basi Tuitekeleze na tukidai...
4 Reactions
8 Replies
778 Views
Ametoa angalizo Dr Lwaitama Ukurasani kwake X Ukiona mgombea anawanunua hadi akina Kigogo wamtangaze, Kaisha huyo Ila sijajua hapo Chadema nani kamnunua Kigogo 🐼
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Wananchi wameapa kama Lissu hata shida Uchaguzi ndio utakuwa Mwanzo wa mwisho wa CHADEMA
1 Reactions
6 Replies
523 Views
Nyerere aliianzisha CCM. Baada ya Nyerere CCM imeongozwa na Mwinyi,Mkapa, Kikwete, Magufuli,Samia. Na katika miaka hii yote Familia ya Nyerere imeendelea kuwa na uhusiano mzuri na Chama Cha...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Kijana Shija Shibeshi, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, ametangaza kujiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho. Shija ameomba wafuasi wake kumuunga mkono Wakili Deogratias...
10 Reactions
28 Replies
3K Views
Chuma Hayati Magufuli, Alipigaga tu Marufuku Umeme kukatika katika, kweli banaaa Biashara ya Majenereta ikafa. Baada ya Mama kushika Hatamu, Licha ya kua ana JNHEPP Umeme bado unakatika tu...
1 Reactions
11 Replies
726 Views
Tangazo lake hili hapa Toa Maoni yako
11 Reactions
89 Replies
5K Views
Katika kile kinachoonekana Serikali ya sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeamua kuondoa kabisa utegemezi na matumizi ya Kodi za walalahoi kuendeshea Viwanja vya ndege na ndege kwani badala...
7 Reactions
72 Replies
3K Views
Serikali ya Zanzibar imekusanya takriban dola milioni 380 (sawa na takriban Shilingi trilioni moja) kwa kukodisha visiwa vidogo 16 kwa wawekezaji wa kigeni. Zanzibar ina zaidi ya visiwa vidogo...
5 Reactions
16 Replies
779 Views
Kuna watu wamekaa kiti cha mbele na wanaamini kwamba Lisu kwa sababu ana ongea sana maneno makari sana basi watawala watatishika sana au atakuwa anatoa press conference kari kari na CCM...
4 Reactions
11 Replies
594 Views
TAARIFA KWA UMMA TUNAITAKA SERIKALI YA JMT, KUWACHA MARA MOJA UTOWAJI WA LESENI KWA ENEO LA FUNGU MBARAKA NA BAHARI KUU UPANDE WA ZANZIBAR Tokea mwaka (2009) ambapo Baraza la Wawakilishi na...
3 Reactions
94 Replies
5K Views
Sasa Kauchaguzi ka Wajumbe 1200 mnachangishana fedha za nini? Tangazo liko Kwa Mbangaizaji Maria kule X Ahsanteni 🐼
10 Reactions
77 Replies
3K Views
“Niliingia katika siasa kwa sababu, niliona masuala mengi ya wanawake hayaingii kwenye sera mipango na bajeti kwa kuwa, nafasi nyingi za maamuzi zimeshikiliwa na wanaume. “Hiyo ni kwasababu ya...
0 Reactions
3 Replies
606 Views
Nimeona nakuskia watu mbalimbali mitandaoni na kwenye vyombo vya habari wakipiga wayowe na kulalamika ati mgombea uongozi Fulani wa uongozi chadema Taifa ametenga kiasi fulani cha fedha kwaajili...
0 Reactions
7 Replies
495 Views
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mkoani Shinyanga Emmanuel Ntobi amesema uamuzi uliofikiwa na kamati si sahihi kutokana na kushindwa kufuata taratibu, kanuni na...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
Inavyoonekana huko ndani ya chadema kuna mengi tusiyoyajua na yasiyosemwa maana karibia wastaafu wao wengi wa kitaifa huishia kukikimbia. Rejea kina Arfi Slaa Zito Sumaye Lowasa Safari Nk
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema alimkopesha makamu Mwenyekiti wa Chadema shilingi million 10 anamdai Source: Wasafi tv Baadae Mlale unono 😂🔥
8 Reactions
128 Replies
5K Views
Maana wathirika wakubwa wa fedheha hii ni pmoja na watoto wao, ndugu, jamaa, marafiki, wanachama wa chadema wafuasi wa chadema na waTanzania kwa ujumla.. Je, ni ipi hasa mipango mikakati yao...
2 Reactions
70 Replies
2K Views
Back
Top Bottom