Huenda Dkt Mwigulu Nchemba ni unstoppable kwenye hii rarely ya Urais wa 2030.
Hapa hebu msikilize Bw David David Kafulila Mkurugenzi mkuu wa PPP-Cetre anavyommwagia sifa kede kede na kumwombea...
Naunga mkono hoja za wengi hii Crown Redio iko mbele sana,
Huyu Mtangazaji wa zamani wa BBC Bw Salim Kikeke anajua mambo mengi hasa ya kidunia hivyo ukienda kwenye interview kuwa makini na elewa...
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa!
Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni...
CHADEMA inachezewa na walewale wajulikanao wasiojulikana🤬🥵 . Na ili kuharibu mambo zaidi wameamua kuside na upande ambao wanaona sio radical
Na ni wazi huo upande umeamua kushiriki hii dhambi...
Nimetenga muda sana kufuatilia hotuba ya John Heche akıtangaza nia ya kugombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA. Nimemsikiliza kwa makini Tundu Antipas Lisu (TAL) na kisha Ezeckiel Dibojo Wenje kabla...
Ndugu zangu Watanzania,
Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha...
Anaandika Tundu AM LISSU.
====
" Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA kama wewe unataka au mwanamke mwenzako anayefaa nae apate fursa za uongozi bungeni au kwenye udiwani miaka ijayo, nakushauri...
Habari wadau
Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi.
Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu...
Tundu Lissu kageuzia bunduki yake kwa Freeman Mbowe, wakati bunduki yake ikimpiga Hayati Rais Magufuli, walifurahia, wakati bunduki ya Lissu ikimpiga Paul Makonda, Mbowe alifurahia, Leo anasema...
Baada ya uchaguzi wa kesho kutwa.
Na sababu kubwa itakayomuondoa Wenje ni kua tayari ameshawekwa wazi kubwa ni Project ya watu.
Kama umesikiliza Hotuba ya Wenje na kudadavua mistari yake , Wenje...
Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni
Ijumaa, Aprili 14, 2023
Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza...
Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia.
Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na...
Tujikumbushe majembe ya awamu ya 5. Kuna waliowapenda na kuna waliowachukia ila wafuatao walikuwa ndo majembe ya awamu ya 5;
1. JPM himself
2. Paul Makonda
3. Biswalo
4. Job Ndugai
5. Ole Sabaya...
Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi.
Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi?
Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu...
mnamo 16-1-2025 chombo kimoja kikubwa cha habari kimefanya mahojiano na Tundu Lissu nyumbani kwake Tegeta -Dar es salaa, Tanganyika.
Waandishi / Watangazaji watatu wamemuhoji :-
Sam Sasali
PJ...
Hakika nasadiki kusema hivyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza!
CCM wanasiasa bora sana na zenye demokrasia nzuri na sio kuchafuana kama walivyo wale wengine kila kukicha wao ni kupakazana...
Taifa zima tuwe mapumziko kufuatilia uchaguzi wa chama mwalimu wa demokrasia nchinj.
Naamini hata mama Samia atakuwa anafuatilia live na huenda atapiga simu kupongeza kupata darasa la namna ya...
Wakati Trump anaibuka kugombea urais mwaka 2016 alipingwa karibia na establishment yote ya chama cha Republicans, alikuwa anaonekana mropokaji na kituko tu mbele ya "wenye chama", hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.