Hawa ndiyo walikuwa viongozi vinara kwenye utawala wa Awamu ya Tano

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,223
22,300
Tujikumbushe majembe ya awamu ya 5. Kuna waliowapenda na kuna waliowachukia ila wafuatao walikuwa ndo majembe ya awamu ya 5;

1. JPM himself
2. Paul Makonda
3. Biswalo
4. Job Ndugai
5. Ole Sabaya
6. Ally Hapi
7. Mnyeti
8. Kalemani
9. Dotto
10. Ngusa
11. Gambo.
12. Polepole .
13. Dr. Bashiru.
14. Prof. Kabudi.
15. Musiba (huyu hakuwa kiongozi ila alikuwa na nguvu kuliko viongozi karibu wote.. alikuwa na uwezo wa kumtukana mtu yeyote na asiguswe)

Ongezea niliowasahau.
 
Huyu alikuwa wakuvutia Kula za wanawake tuu kwenye ile chaguzi alishindwa kwa Lowassa
 
Wewe mwenyewe na baba yako pia.

Badala ya kuleta mijadala ya kujadili leo na kesho nzuri ya Tanzania unataka tujadili akina nani walipendwa zaidi. Kwanini usijadili sera ya awamu ya 5 na ushauri wapi pa boreshwe kwenye awamu ya sita. Ukianza kuleta ujinga humu wa mapenzi ukijibiwa vibaya usikasirike.

Kuna vijana na watu wa hovyo sana; hasa wanaojiita wapigania mabadiliko ambayo hawayajui na ukiwauliza mabadiliko yapi utasikia tuitoe CCM madarakani ili iweje utasikia yawepo mabadiliko. Ukijiona kijana unazunguka hivyo wewe jua ni boya sana.

Fikra sahihi:
Unatakiwa kupigania maboresho ya mfumo sahihi wa uwajibikaji, uwekezaji, ushirikishwaji wa wenyeji kwenye uwekezaji, tafsiri sahihi ya uwekezaji na namna wananchi watakavyonufaika kwa mujibu wa sheria, unataka sera ipi iboreshwe na kwasababu ipi na itelelezweje. Na ukiona haitendewi haki unatakiwa ndipo uanze kuiuza sera yako mbadala kwa wananchi na wakiikubali hiyo ndiyo inaweza kutawala vizuri na wewe kushinda lakini kwa namna mlivyo sidhani kama mnalengo lolote zaidi ya kutaka kutengeneza chuki kwenye jamii. Yaani mwana Chadema amuone CCM adui suala ambalo kisera ni uasi kugombanisha watu na matokeo yake unakuwa kama uhamasishaji wa uasi. Vijana tuwe makini na hizi tabia za hovyohovyo. Mfano mimi hapa tokea dunia iumbwe sijawahi kukutana na kiongozi mtendaji. Ingawa wote walikuwa wanafanya vizuri lakini kwa JPM alitufurahisha sana licha ya hivyo vichangamoto ambavyo mama naye amekuja kwa namna nyingine kuvitatua na kuendeleza mazuri na kuufanyia kazi ushauri wa wadau mablimbali.

NB: Tuache siasa za kijinga, Tanzania ni yetu sote, tupendane, tuheshimiane, tuaminiane, tuelemishane, na tuvumiliane. Usimfanyie mtu kitu ambacho hata wewe haukipendi. Kuwa chama tawala au upinzani kwasababu ya utofauti wa itikadi usitufanye tuwe maadui. Kuna familia baba Chadema na watoto CCM au mkubwa TLP na mwingine chauma. Siasa siyo uadui.
 
Hiyo ndio sampuli ya vijana wa ccm tulio nao humu mitandaoni! Yaani hayanaga akili kabisa
 
Acha kulilia watu mtandaoni.
 
Tujikumbushe majembe ya awamu ya 5. Kuna waliowapenda na kuna waliowachukia ila wafuatao walikuwa ndo majembe ya awamu ya 5;

1. JPM himself
2. Paul Makonda
3. Biswalo
4. Job Ndugai
5. Ole Sabaya
6. Ally Hapi
7. Mnyeti
8. Kalemani
9. Dotto
10. Ngusa

Ongezea niliowasahau.
Na bado wote wanamaisha bora kuliko wewe na ukoo wako na wako kwenye system bado!
 
Ondoa neno "viongozi " ule utawala haukuwa na viongozi bali majambazi .

Halafu muongezee dalali Cyprian Majura Musiba.
images (96).jpg
 
Kiruu wa sasa hivi yupo.

Nepi.

Marope a.k.a mtu ya dili.

Msoga the king himself.

Rostmaini na

And the company.
 
Wewe mwenyewe na baba yako pia.

Badala ya kuleta mijadala ya kujadili leo na kesho nzuri ya Tanzania unataka tujadili akina nani walipendwa zaidi. Kwanini usijadili sera ya awamu ya 5 na ushauri wapi pa boreshwe kwenye awamu ya sita. Ukianza kuleta ujinga humu wa mapenzi ukijibiwa vibaya usikasirike.

Kuna vijana na watu wa hovyo sana; hasa wanaojiita wapigania mabadiliko ambayo hawayajui na ukiwauliza mabadiliko yapi utasikia tuitoe CCM madarakani ili iweje utasikia yawepo mabadiliko. Ukijiona kijana unazunguka hivyo wewe jua ni boya sana.

Fikra sahihi:
Unatakiwa kupigania maboresho ya mfumo sahihi wa uwajibikaji, uwekezaji, ushirikishwaji wa wenyeji kwenye uwekezaji, tafsiri sahihi ya uwekezaji na namna wananchi watakavyonufaika kwa mujibu wa sheria, unataka sera ipi iboreshwe na kwasababu ipi na itelelezweje. Na ukiona haitendewi haki unatakiwa ndipo uanze kuiuza sera yako mbadala kwa wananchi na wakiikubali hiyo ndiyo inaweza kutawala vizuri na wewe kushinda lakini kwa namna mlivyo sidhani kama mnalengo lolote zaidi ya kutaka kutengeneza chuki kwenye jamii. Yaani mwana Chadema amuone CCM adui suala ambalo kisera ni uasi kugombanisha watu na matokeo yake unakuwa kama uhamasishaji wa uasi. Vijana tuwe makini na hizi tabia za hovyohovyo. Mfano mimi hapa tokea dunia iumbwe sijawahi kukutana na kiongozi mtendaji. Ingawa wote walikuwa wanafanya vizuri lakini kwa JPM alitufurahisha sana licha ya hivyo vichangamoto ambavyo mama naye amekuja kwa namna nyingine kuvitatua na kuendeleza mazuri na kuufanyia kazi ushauri wa wadau mablimbali.

NB: Tuache siasa za kijinga, Tanzania ni yetu sote, tupendane, tuheshimiane, tuaminiane, tuelemishane, na tuvumiliane. Usimfanyie mtu kitu ambacho hata wewe haukipendi. Kuwa chama tawala au upinzani kwasababu ya utofauti wa itikadi usitufanye tuwe maadui. Kuna familia baba Chadema na watoto CCM au mkubwa TLP na mwingine chauma. Siasa siyo uadui.
Mkuu,

Wewe pia una uwezo wa kuanzisha mada unayoona bora zaidi. Tutachangia.

Uelewe kuwa, kila unapochangia mada, hata kwa kuiponda, unazidi kuipaisha juu ionekane zaidi. Literally inapanda juu katika mada za JF zilizochangiwa muda huo.

Kwa sisi tunaoangalia mada zilizochangiwa hivi karibuni, unakuwa kama unaifanyia matangazo hiyo mada kwa kuirudisha juu.

Hivyo, kama unaona mada ni ya kijinga na haifai kuchangiwa , unaweza kuiruka.

Ukichangia tu, unaipaisha ionekane zaidi.
 
Pepo au kwenda Mbingiui kwa Magufuli funguo anazo Tundu Lissu , familia yake magufuli wasipomwomba msamaha Tundu Lissu,.Basi Tundu Lissu akiaga duniam kwa matakwa ya mungu mwenyewe atamkuta Mh Magufuli tohorani anang`ang`a macho
 
Back
Top Bottom