Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu Vipi tusiamini vicheko😀? == Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema...
13 Reactions
63 Replies
5K Views
Dr Slaa amekamatwa usiku huu. Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni. Matukio ya kiusalama kuelekea uchaguzi mkuu 2025 angalia hapa: Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama...
35 Reactions
427 Replies
25K Views
Ni wazi matokeo yoyote ya ushindani, minyukano na uhasama wa kisiasa baina ya viongozi wanao gombea nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa, kutaidhoofisha chadema yenyewe na kuimarisha vyama vingine...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
17 Reactions
168 Replies
14K Views
Tumeingia kwenye mfumo wa 4-4-2. Vyama vyote ni mali ya serikali, serikali ni mali ya CCM.
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Hili ndio swali langu kwa timu Mbowe na vibarqka wengine plus MA-CCM wote wanaotaka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti. Lema na Lissu, mjue Mbowe sio wa kumsitiri tena kwa lolote. Yuko kimya ila...
2 Reactions
8 Replies
840 Views
Habari zenu wanajukwaa. Siku za hivi karibuni huyu Dr amekuwa akijitokeza huko aliko na kusema jambo pale linapojitokeza jambo lenye utata ktk Taifa.Lakini tangu litokee hili la Ndugu yetu Tundu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Muwe mnatunza kumbukumbu na muwe mnapanga ya kuponda My take: Hii ni hasara ya kupinga kila jambo USSR Watanzania hawataki Ndege wanataka Maji; Naona viongozi wangu wakuu wakiwa ndani ya Maji...
33 Reactions
358 Replies
30K Views
Waziri Mkuu mh Majaliwa amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO wa Mtwara na OCD na OCID wa Kilindi Tanga ili kupisha uchunguzi wa Tume aliyoiunda. Pia, Waziri Mkuu Mkuu Kassim...
16 Reactions
125 Replies
14K Views
Ukiondoa Mbowe ambae unafanya nae kazi miaka 20 kabla kuhadaiwa na mitandao ya kijamii huwezi kufanya kazi na mwengine yoyote. 1. Hawezi kutunza siri 2. Kujiona too much know 3. Kujiona maarufu...
1 Reactions
16 Replies
696 Views
Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana. Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora. Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu...
27 Reactions
190 Replies
6K Views
Mgeni rasmi kwenye Uchaguzi wa Bawacha anategemewa Kuwa Mbowe na hii ilipangwa Kwa umakini ukizingatia Bawacha ni Jeshi kubwa Jana Tundu Lisu kamuwahi Mwenyekiti wake Kwa hotuba yake mitandaoni...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao. Semu ametangaza nia hiyo leo Alhamisi Januari 16, 2025 alipokuwa akizungumza na...
0 Reactions
2 Replies
626 Views
Anaandika Godbless Lemma Hiki ndicho achoandika Nabii wa Mungu Godbless Lemma katika ukurasa wake wa X. "Nawatikia BAWACHA Uchaguzi Mwema na pia nakutakia kila la heri Dada Celestine Simba...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
https://youtu.be/nLcsl_rWxOo?si=WdH5BrwfPwM-IdSl === Wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @ChademaTz kutoka Jimbo la Shinyanga Mjini wametoa msimamo wao kuhusu...
1 Reactions
6 Replies
567 Views
Rhoda Kunchela mwenyekiti wa Mkoa pekee mwanamke wa CHADEMA Tanzania anatoa tamko zito muda huu, Msikilize mpaka Mwisho https://www.youtube.com/live/A6NBwKj3O4g?si=pmrIb6j38qFb--3k
3 Reactions
12 Replies
1K Views
=== KWANINI FREEMAN MBOWE HASTAHILI KUCHAGULIWA TENA? (Isomwe na Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa na Wanachama wote) Na Mwandishi wetu. Chama chochote cha Kisiasa popote pale Duniani lengo lake...
1 Reactions
4 Replies
442 Views
=== Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe. Kwaakili hii Mbowe na Wenje wameshashindwa huu Uchaguzi Kwa lugha nyepesi Heche na Lissu hawajapewa tuhuma...
2 Reactions
3 Replies
563 Views
Hiki ndicho alichokiandika John Heche muda mfupi baada ya Press Release ya Ezekiah Wenje
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom