Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi?
Siri zote za chama angalizipost katika social media...
Wajumbe wa CHADEMA tafadhilini tunataka mchague Mtanzania sio diaspora wiki yuko Tanzania miezi 6 yuko Ubelgiji kura apewe Mbowe
Mbowe muda wote yuko Tanzania madhila yote yake
Itendeeni haki...
Watu wenye Fikra za kuleta Mapinduzi Chadema Wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri
Chadema Ili ipone ni lazima iwaondoe makaburu wachache waliobamia na hasa Mbowe, Sugu na Halima Mdee
Wenje ni...
Mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Ezekia Wenje amepiga mahesabu yanayoonyesha kuwa Freeman Mbowe ataibuka na ushindi mkubwa dhi ya Tundu Lissu katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa...
Wakuu , nilibidi kuwa hapo Dodoma katika mambo ya chama Ila unfortunately sitofika.
Ila nahitaji kuwasiliana na mwenyekiti wa UWT Taifa mwenye mawasiliano yake anipatie PM.
#Tanzania Mbele ...
Kauli "Mitano tena kwa Samia" nadhani si ngeni masikioni mwa watanzania walio wengi. Ina maanisha kuwa baada ya kumaliza kipindi cha urais uliopatikana kwa mkono wa Mungu, rais Samia apewe miaka...
David Kafulila, Mkurugenzi Mtendaji wa PPP, amewatoa hofu Watanzania kuhusu ujenzi wa barabara za kulipia. Anasisitiza kuwa barabara hizi zitaambatana na barabara mbadala zisizo za kulipia, kutoa...
Mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa kutoka wilaya ya Hai, Kilimanjaro, tunakuomba kwa dhati unapotembelea Dodoma kwa ajili ya mkutano huo, tafadhali usitoe kitamu chako kwa wanaume. Kila mwaka...
Kwenye Siasa ya dunia ya Leo mbinu zakivita za kukufikisha ikulu ni muhimu. Tumeshuhudia ulimwenguni kumekua na ushindi Kwa vyama vya Conservative vikiingia madarakani wakatiiqmbapo vyama tawqla...
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio...
Kwa taarifa ya katibu mkuu wa CHADEMA, ni wazi kuwa Press ya leo ya ndugu Wenje ililenga kulaghai wanachama na wajumbe kwa lengo la kujipatia kura.
Je, alitumwa na nani kufanya hivyo? Je...
Wakuu,
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain.
Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na...
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bwana Mizengo Peter Pinda, ndiye Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara anayetarajiwa kutangazwa hivi karibuni.
Ndugu Mizengo anatarajiwa kupigiwa...
Wakuu
Kumbe na wao wamenogewa na show za FAM vs TAL 😂
==
Mbunge wa Ubungo na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amefichua kuwa mtifuano wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye...
CHADEMA kwa sasa wapo kwenye kinyang'anyiro kikali cha kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama kati ya Mbowe na Lisu hiyo ndio demokrasia sio kuwatishia watu wasichukue fomu kwenye baadhi ya nafasi...
Wanabodi,
Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote...
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.
Nilitegemea uje na kauli za "healing"...
Jiji la Da resalaam limekumbwa na karhia nzio ya kukatika katika kwa umeme swali ni je Dotto Biteko anahujumiwa?
Hivi ni zipi impact za elimu zao Hawa watawala vijana walio pata PhD juzii juzii...
Hebu fikiria Wenje na Boni Yai ni walimu kabisa wa Secondary schools halafu tunategemea vijana wetu wafaulu? 🐼
Hii Nchi hii
Ngoja niishie hapo
Mlale unono 😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.