Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Awali ya yote nawasalimu sana Ndugu zangu wa JF baada ya kupotea kidogo kwa muda. Pili nampongeza Mh. Freeman Mbowe kwa kuamua kujiengua kwenye kinyang'anyiro cha Urais na kumpisha Tundu Lissu...
10 Reactions
57 Replies
6K Views
Kwa hali ilipofikia sasa ni kwamba Mheshimiwa Rais Dkt JPM alisahau kuwekeza kwa wananchi akawekeza zaidi kwenye uwekezaji wa vitu na miradi mbalimbali ndio maaana mambo yamekuwa magumu, kwa...
5 Reactions
103 Replies
10K Views
Hivi hizi awamu huwa ni miaka mingapi, maana kama ingekuwa ni kila baada ya miaka 5 nafikiri zingekuwa zimeshazidi Awamu 5. Mwenye kufahamu hili anifumbue macho.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Chama Cha Alliance for Democratic Change (ADC), kimesema kuwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu kumekuwa na mwamko zaidi kwa upande wa wanawake ndani ya chama hicho, ambapo kati ya...
4 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu Mimi niko mkoa wa Mara huku sirari mpakani na Isibania jirani kabisa na Kenya. Kwa utafiti Wangu Mkoa huuu wagombea wa CCM kwenye majimbo yote wana kazi ngumu sana kuliko mikoa yote hapa...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Kuna mambo yanayoendelea kwa wananchi wa jimbo la babati mjini kama tu CCM watafanya makosa na kurudisha jina la Pauline Gekul. Wananchi wengi wanasema wamemchoka Paulina nakusema bora hata Esta...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Balozi huyo ameandika: Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted...
48 Reactions
369 Replies
30K Views
Aida Khenan mbunge mteule wa Nkasi amesema, yeye ni mbunge pekee aliyetangazwa na katika mkoa wake amepata madiwani 10. Lakini amesema amesikia kwenye mitandao kuhusu msimamo wa chama chake...
23 Reactions
269 Replies
22K Views
BREAKING: MBOWE NA WENZAKE WAACHIWA KWA DHAMANA Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na viongozi wenzake waliokuwa wamekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuandaa maandamano kupinga mchakato wa...
13 Reactions
207 Replies
21K Views
1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa 2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC. 3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya...
21 Reactions
342 Replies
30K Views
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati. Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni...
64 Reactions
254 Replies
34K Views
Kwa kweli kama kuna siku nimefarijika ni jana tarehe 16 July 2020. Hii ni siku ya historia kubwa kwetu sisi wazalendo wa nchi yetu ya Tanzania. Nimefurahi kuona kuwa katika usiku wa giza totoro...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Mh Lazaro Nyalandu leo tena ameendelea kuomba ridhaa ya wananchi wa Singida Kaskazini ili wampe kura zao ili awe mwakilishi wao bungeni . Leo alikuwa Kijiji cha Matumbo , kata ya Makuro , eneo...
16 Reactions
26 Replies
5K Views
Hakukuwa na Uchaguzi - 13 Wameuawa, 130 Wamejeruhiwa, 120 Wamekamatwa na Polisi, Mmoja AMEBAKWA 14 Wametekwa Mpaka Sasa Akiwemo Naibu Katibu Mkuu HOTUBA YA KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO KWA...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema Vyama viwili kati ya 20 vilivyoshiriki katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28 mwaka huu ambavyo ni CCM na CHADEMA ndio vyenye sifa ya kupata wabunge wa...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Wabunge wa upinzani wakiongozwa na CHADEMA walikuwa wakisusia mara kwa mara vikao vya bunge na kutoka nje. Hata kipindi cha korona aka COVID19 walisusa wakisingizia wanaenda kujifungia kitu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo. Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna...
31 Reactions
314 Replies
22K Views
2020 Elections Chapter sasa imefungwa. Kazi ya ujenzi wa utaifa iendelee! December 9, 2020, taifa letu litasherehekea miaka 59 ya uhuru. Katika hicho kipindi cha miaka 59, waasisi wa taifa hili...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona)...
17 Reactions
135 Replies
13K Views
The Commonwealth Secretary-General, The Rt Hon Patricia Scotland QC, has strongly urged authorities to investigate allegations regarding the recent general election in the United Republic of...
27 Reactions
153 Replies
18K Views
Back
Top Bottom