Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mamlaka ya serikali ya kijiji au mtaa inakamilishwa na uwepo wa mtendaji wa kijiji au mtaa. Maamuzi ya mkutano wa kijiji au mtaa yanaidhinishwa na katibu wa mkutano huo ....yaani mtendaji ...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete, kuhusu mkakati wa serikali juu ya malipo kwa Walimu wanaojitolea ili walau waweze kukidhi mahitaji yao. Naibu Waziri wa Elimu Sayansi...
1 Reactions
5 Replies
219 Views
Ni muhimu washirika wa maendeleo kutoka pande hasimu mbili za dunia kutambua na kukumbushwa kuwa Tanzania kama mfuasi wa "NAM" ilijiweka wazi kuwa haitofungamana na pande yoyote hasimu kati ya...
0 Reactions
7 Replies
71 Views
  • Redirect
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar. Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu...
0 Reactions
Replies
Views
Walimu ni sehemu muhimu ya watumishi wa umma ambao wana "impact" kubwa katika jamii Miaka ya nyuma kidogo, pamoja na kuishi maisha yao ya kawaida kutokana na kipato chao walimu waliheshimika sana...
0 Reactions
4 Replies
217 Views
Nimesikiliza hili kauli hadi nikatokwa na machozi, i can't imagine kwamba hawa ndo watengeneza dira ya 2050? Kwamba we are too slow in such way miaka 10 ni sawa na mwaka mmoja? kwani huyu watoto...
1 Reactions
2 Replies
89 Views
Wanadodi, Mbunge wa Kawe, Mhe. Halima Mdee, yuko ITV akihojiwa live!. Kwa kuanzia, anazungumzia ushiriki wa timu ya Bunge la Tanzania katika michuonao ya timu za mabunge ya nchi za Jumuiya ya...
8 Reactions
119 Replies
12K Views
Watanzania wengi wameshangilia ujio wa Mhe.Ummy Mwalimu a.k.a ODO hivi sasa akiwa mtumishi mwandamizi kumsaidia Rais Samia. Ni ukweli usiopingika kuwa mwanasheria huyu na mbunge mstaafu anao...
0 Reactions
0 Replies
71 Views
Nawasikiliza sana wanasiasa wanavyo hadaa Wadanganyika kwamba wajiandae sana na Afcon na hata Mahoteli hayatatosha na wlmashabiku wengine watalala majumhani mwa watu. Hizi ni propaganda. Hizi ni...
1 Reactions
3 Replies
105 Views
Kama taifa tunapitia matukio magumu. Hayajawahi tokea huko nyuma. Kabla ya Okt29 hakuna aliyeamini kama yangeweza tokea machafuko ya vile, mimi ni mmoja wapo. Kuna wadau nakumbuka niliwakatalia...
6 Reactions
90 Replies
1K Views
Mahakama Kuu Masijala ya Kigoma, muda huu, imeruhusu waombaji kwenye shauri la Kuomba Mahakama kuzuia kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai juu ya Matukio ya Uchaguzi Mkuu, kufungua shauri...
3 Reactions
7 Replies
493 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akidai kuwa kipindi chake cha ubunge hakikuacha mafanikio yanayoonekana kwa wananchi wa...
1 Reactions
11 Replies
268 Views
Wakati Mwingine huwa tunachoka kabisa kuandika habari za Upande mmoja, Chadema haina Mpinzani Tanganyika Ni sawa na mtangaza mpira atangaze mechi ya upande mmoja (one way traffic) hawezi...
17 Reactions
29 Replies
535 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alipokuwa akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ITV, Juni 8, 2026 amesema...
0 Reactions
16 Replies
213 Views
Mliwafukuza wabunge wao kimefika wapi, kubalini yaishe. =============== Leo Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wamekutana na Mhe. Amb. M.T. Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania...
10 Reactions
45 Replies
1K Views
Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli? Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini...
16 Reactions
85 Replies
13K Views
Kwa mfuatiliaji mzuri sana wa mambo ya siasa na Taifa ili tuna watu watatu ambao ni wa kuangalia kwa makini, 1.Makongoro Nyerere, Mzanaki 2. Muzamir kalokola - Mhaya 3. John Magufuli-...
17 Reactions
93 Replies
19K Views
Mkuu wa Mkoa wa Njombe RC Anthony Mtaka akiongea kuhusu Watumishi wa Umma kuhusu nidhamu na mshahara amesema kuwa watumishi wa Umma wanajisahau kuanza ujenzi mapema wanakuja kujenga wakati ambao...
7 Reactions
44 Replies
725 Views
My Take Wale wa Samia ameuza Mali zao za Urithi mnaitwa kuja kumwaga povu jingine. Kwa taarifa yenu sio tuu shehena ya mzigo imeongezeka Bali muda wa kusubiria meli umetoka siku 14 Hadi siku 3...
8 Reactions
171 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…