Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,839
- 132,077
Wanadodi,
Mbunge wa Kawe, Mhe. Halima Mdee, yuko ITV akihojiwa live!.
Kwa kuanzia, anazungumzia ushiriki wa timu ya Bunge la Tanzania katika michuonao ya timu za mabunge ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambao timu ya bunge la Tanzania iliibuka kidedea!.
Kwa ref. tuu, Halima Mdee ndie mbunge pekee wa kike wa Chadema aliyeingia bungeni kwa merrits za kushinda jimbo!. Wabunge wanawake wengine wote wa Chadema ni wale wa "wamebebwa!", yaani ni wa viti maalum, hivyo miongoni mwao kuna baadhi ni vitu vya watu kwa matumizi yale mengine ya kile kitu walichonacho na sio kwa ajili ya kuchangia hoja!.
Tuendelee kumsikiliza
Please keep on watching!
Pasco.
Lakini mtu ambae sio gamba kiukweli, na anajitambua sio gamba, ila kutokana na michango yake humu, akadhaniwa kuwa ni gamba, anapoitwa gamba, hilo halimtatizi!.
"Pasco wa jf ni gamba gumu kuliko hata la kombe!, halibanduki!".
Pasco.
Katika kuelekea kwenye haki sawa, its about time hii affirmative action ya kubebwa na kupewa ubunge wa mdondo, uishe!, viti vya wanawake vifutwe!, wanawake muonyeshe uwezo kuwa mnaweza hata bila ya kubebwa!. Mchini Finland, nafasi ya urais imekuwa ikishikwa na wanawake kwa muda mrefu, siku alipotokea rais mwaume, watoto wakauliza "hivi kumbe hata mwanaume anaweza kuwa rais?!".
Nasisi Tanzania sasa twendeni tufike huko!, wanawake simameni kwa miguu yenu wenyewe kama Mhe. Mdee, msisubiri kubebwa!, tena kuna za chini chini, baada ya kumbeba mwanamke kwenye uspika, kuna mwanamke anafanyiwa grooming, abebwe kwenye urais!, mwanamke huyo nimemtaja kwenye uzi huu New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!
Pasco.
P.
P.
P.
Siku moja niliwaona wabunge vijana masingle pale Club 94. Halima alikuwa na Esta, na kale kabinti ka Kigoma, huku vijana Nasari na wengine wawili, huwezi amini, japo niliingia mle kusafisha macho tuu, niliishia kuwakodolea tuu macho na ukiwaona hizo dresing zao huko club,,wee acha tuu!.
P.
Mara ya kwanza kukutana nae face to face, ilikuwa ni uchaguzi mdogo wa Busanda, baadae ule wa Biharamulo, kule kuna vumbi usipime, sasa ukimuona na zile combat na ile beauty na nyele vumbi, anaonekana kama camandoo fulani..
Ngoja nijinyamazee tusizidi kupotea, ila huyu Mbunge Binti, Mhe. Mdee... mimi basi tena, ..wee acha tuu!..
P.
Ila nyie vijana wa siku hizi sijui vipi!?!, mnakua waoga waoga tuu kujaribu, sisi enzi zetu, moyo ukimdondokea mtu, unamtokea, unajaribu, ukikataliwa unasonga mbele lakini angalau ulijaribu!. Wewe kama ni bado kijana, na hayo usemayo ni kweli, jaribu bahati yako huwezi jua!, zali la mentali linaweza kukudondokea, ila be carefull, huyu mdada ni comandoo angalia usije ukataka kuleta za kuleta!, utatoka manundu!.
P.
P
P
Hili la kutuliza akili nalo neno!, ila hata hizo akili zenyewe za kutulizwa ziwepo!, mimi zilihama!.
P.
P.
Mode: Hizi zinaitwa light politics, with a light torch, watu mmezoe heavy politics only, na wanapowaona hawa waheshimiwa wetu, wanadhani hawa sio binadamu hivyo hawahitaji kupendwa, ama ukiwatokea ni kuwakosea heshima/adabu, no way!, they are only humans too!, they need love and be loved!.

Ndio namuona.wigi lime mpunguzia uzuri wake.
Mkuu Mzee wa fund Kiukweli, kila mtu anauwezo wa kuuona uzuri kutokana na macho yake!, mimi mwenzeni nimeshindwa ku update chochote Mdee anachosungumza, nimebaki nikimkodolea macho tuu!, na kukusaidia, hiyo sio wigi, hizo ni nywele zake na zimempendeza sana mpaka wengine kushindwa ku update anachozungumza!.
Sorry wanabody wengine kushindwa ku update, na mimi ni binadamu tuu!.
Pasco.
Mkuu Malunde-Malundi, mimi naishi jimboni kwake, 2015 nilijipanga kutest zali, ila kila nikimuona tuu!, naishia kumkodolea macho!. Wengine sisi tiumejaaliwa uwezo mkubwa wa "high state of mind suggestibility", hivyo ukimwangalia tuu mtu kwa macho tuu, kisha ukamu imagine..., kwisha kazi!, hivyo nikimtafutia kipindi kumpromoti, naweza kujikuta itabidi hata... niipromoti (nitashindwa!).Hahaha pasco, sasa mtafutie kipindi maana wewe najua utapromote tu ila pale ni hoja tu kwenda mbele hata nyerere wengine hawakumwelewa hadi kesho akiwemo mkuu wa kaya, pole sana zangu nimechelewa.
Mahojiano yamemalizika, sanahanini sikufanikiwa kusikia kitu!, akili ziliniruka!.
P.
Ha ha haa!! Naona unatafuta ugomvi kutoka kwa makamanda.
Mkuu Ritz , hakuna ugomvi, mimi ...kwa macho tuu!.
P.
Mkuu Dalai lama, aka Chifu Emeka Anyaoku, mtu ukiwa kama ni gamba kiukweli na unajitambua kuwa ni gamba ila unajifanya sio gamba, ukiitwa gamba, hilo litakutatiza!.Pasco mada hii umeleta kizandiki so far wewe ni gamba
Lakini mtu ambae sio gamba kiukweli, na anajitambua sio gamba, ila kutokana na michango yake humu, akadhaniwa kuwa ni gamba, anapoitwa gamba, hilo halimtatizi!.
"Pasco wa jf ni gamba gumu kuliko hata la kombe!, halibanduki!".
Pasco.
Mkuu Gaijin, humu amesifiwa hadi Mama Salma, itakuwa Mdee!, we are all humans na tuna weaknesses zetu!. Kama ni kumsifu, nimemsifu kwenye thread starter nikasema ndiye mbunge pekee wa kike wa upinzani aliyesimama jimboni!, wengine wote wamebebwa!.Watu wenye sauti kwenye jamii badala ya kusaidia kwenye kuhamasisha nafasi na uwezo wa mwanamke kwenye nafasi za maamuzi, uchumi na siasa mnaanza kusambaza sifa za uzuri wake
Ni aibu
Katika kuelekea kwenye haki sawa, its about time hii affirmative action ya kubebwa na kupewa ubunge wa mdondo, uishe!, viti vya wanawake vifutwe!, wanawake muonyeshe uwezo kuwa mnaweza hata bila ya kubebwa!. Mchini Finland, nafasi ya urais imekuwa ikishikwa na wanawake kwa muda mrefu, siku alipotokea rais mwaume, watoto wakauliza "hivi kumbe hata mwanaume anaweza kuwa rais?!".
Nasisi Tanzania sasa twendeni tufike huko!, wanawake simameni kwa miguu yenu wenyewe kama Mhe. Mdee, msisubiri kubebwa!, tena kuna za chini chini, baada ya kumbeba mwanamke kwenye uspika, kuna mwanamke anafanyiwa grooming, abebwe kwenye urais!, mwanamke huyo nimemtaja kwenye uzi huu New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!
Pasco.
Mkuu Sabung'ori mbona nimesema kila kitu!....acha kuzunguka mbuyu,siuseme tu!...
P.
Mkuu TUKUTUKU , huku sio kuteleza kidogo, ni kuteleza kukubwa!, amini usiamini, pamoja na zile ziara zangu kibao kule mjengoni, nilimdhania huyi mama ni wa viti maalum!, sijabahatia kuisikia michango yake akimwaga cheche bungeni!. Kuna maeneo CCM imepigwa chini kwa sababu wameichoka mpaka basi!, inamaana Chadema hata wangesimamisha jiwe lingepita!. Nimewashauri wasirudie makosa, 2015 wasimamishe kila jimbo, ila lazima wakubali kuachiana baadhi ya majimbo ambayo vyama vingine vya upinzani wina strong candidate!.Mkuu Pasco hapo umeteleza kidogo Halima mdee siyo mbunge pekee wa kike wa upinzania aliyeingia bungeni kwa merits,kwani kuna mbunge wa kike wa Kasulu vijijini anaitwa Buyogera Zaituni Agripina wa NCCR-MAGEUZI,huyu ameingia bunge kwa kuchaguliwa baada ya kumshinda Daniel Nsanzuzwako wa CCM!
P.
Mkuu Tume ya Katiba, mbona nilishakiri udhaifu!, sisi wengine tuoneni hivi hivi..tu wagonjwa!.Msamehe pasco ana maradhi ya nyoyo!
P.
Mkuu 1800, usiwe na wasiwasi, mimi ... kwa macho tuu, mwenzio tayari long time ago, ni father of six!, mchana umeshapita sasa naelekea jioni!, hapo ni kazi kwenu vijana!.Ha ha ha ha ha! Mkuu Pasco naona unatafuta ugomvi kati yetu!!maana moyo,akili na macho yako na yangu kwa ili la Mh Mdee yana mtazamo mmoja!!mwenyewe nikimuangaliaga huyu dada nakua weak!ha ha ha ha!
Siku moja niliwaona wabunge vijana masingle pale Club 94. Halima alikuwa na Esta, na kale kabinti ka Kigoma, huku vijana Nasari na wengine wawili, huwezi amini, japo niliingia mle kusafisha macho tuu, niliishia kuwakodolea tuu macho na ukiwaona hizo dresing zao huko club,,wee acha tuu!.
P.
No Mkuu Ben, high profile politicians kama huyu dada, anything she does ni politics, topic imedeviate kidogo kutokana na weaknesses zetu sisi wengine!. Siwaoni waliosikiliza nondo za amesema nini?!.Ha ha ha aaa!Ingawa nilikua nimekuaga....Nahisi jukwaa la siasa limeunganishwa na MMU sasa.
Mara ya kwanza kukutana nae face to face, ilikuwa ni uchaguzi mdogo wa Busanda, baadae ule wa Biharamulo, kule kuna vumbi usipime, sasa ukimuona na zile combat na ile beauty na nyele vumbi, anaonekana kama camandoo fulani..
Ngoja nijinyamazee tusizidi kupotea, ila huyu Mbunge Binti, Mhe. Mdee... mimi basi tena, ..wee acha tuu!..
P.
No no no, Mkuu 1800, mimi kwishney mpaka maini!, nimebaki ...kwa macho tuu!.Ha ha ha ha!kuna msemo ng'ombe azeeki maini mkuu,unaweza ukaamua kuwaachia ulingo vijana ukaona wanazembea ukaamua kurudi mwenyewe ulingoni kuwaonyesha vijana how it suppose to be done!
Ila nyie vijana wa siku hizi sijui vipi!?!, mnakua waoga waoga tuu kujaribu, sisi enzi zetu, moyo ukimdondokea mtu, unamtokea, unajaribu, ukikataliwa unasonga mbele lakini angalau ulijaribu!. Wewe kama ni bado kijana, na hayo usemayo ni kweli, jaribu bahati yako huwezi jua!, zali la mentali linaweza kukudondokea, ila be carefull, huyu mdada ni comandoo angalia usije ukataka kuleta za kuleta!, utatoka manundu!.
P.
Mkuu Mzee Mwanakijiji, We are only human!.what the hell!!!?? yawezekana ni mwisho wa mwaka... tunakuwa distracted kirahisi sana... ndio maana kuna mtu aliingia Ikulu kwa sababu alikuwa "so handsome"...
P
Mkuu BLACKTIGER , hiyo inaitwa "expressing yourself", kupenda ni jambo zuri na kupendwa ni jambo la kheri na haswa mdada anapokuwa wa ukweli, kwenye siasa huku amesimama mwenyewe kwa miguu yake miwili!.Nampenda sana huyu mdada wa ukweli kisiasa vile vile wa ukweli ki..
P
Mkuu T2015CCM, a.k.a unyakhae, kwanza asante kwa kuligundua kosa hilo!, ni mpaka ulipoligundua ndipo na mimi nikaliona, thanks!.Pasco always check your grammar, mara uandike wanadodi mara samanini,ndio kiswahili gani hiki?una haraka gani?kwann hutulizi akili yako?
Hili la kutuliza akili nalo neno!, ila hata hizo akili zenyewe za kutulizwa ziwepo!, mimi zilihama!.
P.
Mkuu Ngongo , nikisema naizimikia mpaka sauti, mtasema nimezidisha!. Ile inaitwa "Strong Authoritative Voice!", ile ni sauti ya kisiasa na sio sauti ya...Mkuu Pasco kweli Mheshimiwa yuko njema sana sema sauti inamwangusha sana sijui zamani alikuwa anakula msoba ha ha ha ha.
P.
Mkuu Mzee Mwanakijiji , humans are animals by nature!. Ila pia tuna tofauti kubwa baina yetu katika uwezo wa kutawala passion zetu ndio maana kuna wengine wenye good self control, wanaweza kuona na kumezea!, wengine kama sisi ni dhaifu!, na tatizo lingine tuko too frank, kwenye ukweli tunasema ukweli huo no matter what!, ila uzuri wetu, tunaishia kuona na kusema tuu!, na kuna wenzetu ndio dhaifu zaidi, hao wakiona, wanaweza wasiseme kama sisi bali wanafutilia kabisa, hawapitwi na kitu hakikatishi!.ungesema "we only animals".... kwani mwanadamu ana faculties zinazomfanya aweze kutawala passions zake. Vitu vingine tunatakiwa kuvimezea hata kama tunaviona.