Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

..Lissu amefanya jambo kubwa sana kuitembelea familia ya Balozi Kasanga Tumbo. ..sijui ni wangapi wanajua Balozi Christopher Kasanga Tumbo ni nani. ..Na kwanini Tundu Lissu ameamua kutembelea...
12 Reactions
39 Replies
6K Views
Mitandao ya kijamii imefungua milango mikubwa kwa mawasiliano na uhuru wa kujieleza, lakini Tanzania inakabiliwa na hatari halisi inapoteza udhibiti wa jinsi vijana wanavyotumia jukwaa hili...
2 Reactions
24 Replies
320 Views
Wanabodi, Leo nimepata fursa ya kuendesha darasa kuhusu dhana ya usaliti, ambayo inatumia jina la Yuda. Kufuatia Yuda Iskariote kumsaliti Bwana Yesu kwa vipande 30 vya fedha, kumelichafua jina la...
4 Reactions
7 Replies
163 Views
Waziri wetu wa Fedha, Muheshimiwa Saada Mkuya Salumu, Mbunge wa kuteuliwa na Rais alimaliza Elimu ya sekondari mwaka 1993 katika Sekondari ya Hamamni' na akamalizia elimu ya kidato cha sita mwaka...
9 Reactions
256 Replies
35K Views
Kuna utaratibu wa kihuni unataka kuwa ndio order of the day... yaani mtu anaibuka mtandaoni na kujidai kupost au kuandaa podcast kuhadaa vijana wadogo ambao hawana historia. Nikijikita kwenye...
5 Reactions
13 Replies
256 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimegundua watanzania Hususani wapinzani ni watu wasio na upeo, ni watu wasiojua historia ya Taifa letu,ni watu wasio jua ni wapi Taifa hili limetoka na wapi linakwenda...
1 Reactions
39 Replies
363 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 10, 2026 akizindua ghala la forodha, Chamwino mkoani Dodoma amesema kumeibuka tabia isiyo ya kizalendo ambapo mtu akiwekeza nchini wanatokea watu ambao...
1 Reactions
15 Replies
422 Views
Sijawahi kuelewa kwa nini haya mambo haliyaruhsu kutokea katika utawala wake wakati alikuwa anafanya mambo makubwa sana? Inawezekana kuna hulka fulani fulani za kikabila zilimuathiri na kupelekea...
2 Reactions
22 Replies
196 Views
Mganga toka Sumbawanga amenitonya kuwa Huo ndio mtiririko wa kuhairishwa....πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜­πŸ™„πŸ₯±πŸ€”πŸ€«πŸ˜³πŸ˜
0 Reactions
4 Replies
119 Views
Habari wakuu? Nimejlitazama ile makala. Kinachoelezwa mule ni Uzushi na Upotoshaji Mkubwa ambao, ukiiutamza huoni Professionalism ya Journalism. Je, ule ni Mradi? Cc: Pascal Mayalla
4 Reactions
49 Replies
431 Views
Haiwezekani mtumishi wa umma akadhalilishwa namna hii. Kuchapwa bakora kama mtoto mdogo. Makosa ya kiutumishi wa umma yanaadhibiwa kwa mujibu wa kanuni na sheria za utumishi wa umma. CWT na...
10 Reactions
77 Replies
829 Views
Madiwani wa Manispaa ya Ubungo wamekubaliana kwa kauli moja na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), wamekubaliana kutafuta suluhu ya changamoto zinazowakabili wananchi...
0 Reactions
3 Replies
84 Views
Je huu uhuni una Baraka kutoka kwa Mkuu juu? Kwa sababu vyombo vyote vya usalama vinareport kwa mkuu kwa hiyo anajua kila kitu. Je...
2 Reactions
2 Replies
109 Views
  • Redirect
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa shauri la Maombi ya Jinai Na. 7440840/2026 kati ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Tundu...
1 Reactions
Replies
Views
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika, akizungumza na Vyombo vya habari kuelekea kusikilizwa Kesi ya Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kesho Juni 11, 2026...
5 Reactions
7 Replies
318 Views
Kuna taarifa mbaya ameitoa Mnyika kuhusu kesi ya Lissu kesho with regard to police force. To me; Chadema na watu wenye mapenzi mema chukua tahadhali, wanaweza kuua watu , kuumiza, kujeruji and...
7 Reactions
25 Replies
389 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mbunge wa zamani wa Arusha, Godbless Lema, ametoa wito kwa wanachama wote waliokihama chama hicho kutokana na ushawishi, hofu au mazingira mbalimbali kurejea na...
2 Reactions
10 Replies
191 Views
https://youtu.be/t2HTUg9LTMw Nakazia. Naona Mungu anataka kujidhihirisha uwepo wake
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…