Nchimbi anaweza kuja kuwafunga watu kwa Uhaini

Nchimbi anaweza kuja kuwafunga watu kwa Uhaini

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
820
Reaction score
2,097
Mara nyingi ukimchukia mtu unaweza kujikuta umeingia kwenye makosa na utata mwingi.

Kwa jinsi nilivyofuatilia kesi ya Lissu ni kuwa kumteka Makamu wa Rais, kumtishia n.k ndio ugaidi halisi.

Mzee warioba ameonyesha kuwa Nchimbi hakupokea simu yake huku ikidaiwa kuwa amenyang'anywa simu na kushikiliwa je huo si ndio uhaini wenyewe sasa!?

Kuna dalili ya mchimba shimo akatumbukia mwenyewe.
Aliyetaka kumuua Bwana yule amekufa tayari Sasa naona dalili ya anayetaka anyongwe kwa Uhaini akajikuta ananyongwa yeye kiukweli ukweli maana wakati wa kesi yake chuki na hasira zitakuwa kubwa sana.

Muda na Karma ni mapacha wanaofanana

By the way kwani ingewagharimu nini kusubiri hadi hiyo tarehe 04September!? Biblia inasema amchukiaye ndugu yake ni sawa na muuaji
 
Huwezi kumpoteza Balozi Polepole hapo hapo ukataka kumpoteza Nchimbi ni hesabu za kipumbavu
 

Attachments

  • IMG-20260827-WA0012.jpg
    IMG-20260827-WA0012.jpg
    22.3 KB · Views: 5
  • 12106267_521609908008489_526580475_n.jpg
    12106267_521609908008489_526580475_n.jpg
    15.6 KB · Views: 8
Back
Top Bottom