Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Umoja wa Mataifa, Congo na Rwanda – Paul Kagame auliza maswali magumu "Tumesikia kuhusu Walinda Amani Umoja wa Mataifa ndani ya Congo una zaidi ya miaka 30 sasa…" — Paul Kagame... Rais wa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Ujumbe huu ni Kwa ajili ya ndugu Bashiru Ally kakurwa. Kwakuwa umepoteza Mvuto wa kisiasa basi rudi Nyumbani CUF ukagombee urais. PIA SOMA - CUF yaanza maandalizi mapokezi ya Dkt. Bashiru...
1 Reactions
1 Replies
376 Views
Wakuu Mbunge wa Kilombero, Abubakari Asenga amependekeza TBC waandae taarifa ya habari ya taifa, na vyombo vyote nchini virushe. Hiki kituko ni cha mwaka kwa kweli, kwani hao TBC si waandae na...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Hii Taarifa nimedokezwa na Wadau wa kanazi kuwa Dr Bashiru anataka udiwani wa kata kanazi. Kama ni kweli basi nadhani ameamua kujiua kisiasa na kukubali matokeo.
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Mheshimiwa Rais Samia ninakutumia salamu za pongezi nchi hii unaiongoza vizuri sana, tangu nianze kupiga kura sijawahi kuipigia CCM ila safari hii kutokana na uongozi wako mzuri mama nitaipigia...
0 Reactions
1 Replies
253 Views
Kuna kila dalili kuzuka vita kati ya DR Congo na Rwanda. Nchi kubwa ya Congo inaweza kuamua kupigana vita na Rwanda ambayo ni ndogo kabisa kulinganisha na DRC. Mwanzo wa vita pamoja na kiburi na...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano wa chama. Hii ni ofisi ya CCM Kata ya...
0 Reactions
4 Replies
439 Views
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia March 2024, deni la Serikali lilikuwa shilingi bilioni 91,708.3 (Tsh. trilioni 91.7) ikilinganishwa na shilingi bilioni...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
- Paulina Gekul na Salaah wa Silent ocean wote ni watu wenye nguvu na ushawishi katika jamii kwa kadiri ya kada zao za kimajukumu. - Wote ni wana CCM kindaki ndaki - Wote walijichukulia sheria...
12 Reactions
61 Replies
7K Views
Viongozi wa Jeshi na Polisi wastaafu ruksa kujiunga na upinzani. Hii itasaida kupunguza wizi wa kura na haki maana nyie ndiye mlikuwa viongozi mnawasaidia kuiba kura. Sasa mpo mtaani mnaona...
0 Reactions
4 Replies
499 Views
Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali...
13 Reactions
102 Replies
5K Views
Wakuu, Trump aliahidi kusitisha misaada kwa nchi za Afrika pindi atakapoingia madarakani kutokana na kile kinachosemwa matumizi mabaya ya viongozi wa Afrika ambao wanatumia misaada hiyo kwa...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Katika hali sintofahamu mwigulu anawatisha madiwani wa halmashauri ya iramba ambao wamekwisha azimia kumvua ukurugenzi Bi Halima Mpita kutokana na kufanya ufisadi wa milioni 800 toka ahamie iramba...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA Katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni wa CHADEMA, matokeo ya kukosa kura na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni kumchana live tu. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA amesema uzalendo sio kuvaa tai ya bendera. Amemwambia Dr. Mwigulu Nchemba asiwadanganye raia kwa kuvaa bendera na kumtuhumu kuwa yeye...
15 Reactions
63 Replies
7K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa chama hicho hakitaruhusu kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 endapo hakutakuwa na mabadiliko ya matukio yatakayolenga kuhakikisha...
14 Reactions
80 Replies
4K Views
Jimbo la Moshi Mjini imeongozwa na upinzani tangu kuanza kwa vyama vingi. Kutokana na itikadi hiyo rais wa awamu iliyopita Magufuli 2020 akaenda na kusema Moshi iko vilevile sababu ya kuongozwa na...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Kama taifa tusijipeleke kichwa kichwa huko Eastern Congo hawa Rwanda-EAC member (kupitia Banyamulenge M23) wanachota utajiri wa Congo na kwenda kujenga Kigali huku SADC (ikiwemo Tanganyika na...
0 Reactions
1 Replies
403 Views
Nafikiria kuwa, kama hakutakuwa na wizi wa kura basi ni wazi Jimbo la Mbeya litarudi Kwa Sugu, Kwa Hali ninavyoiona, kwahiyo ni vyema Sasa mikakati ya kutafuta Spika mpya ianze mapema chamani...
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Rais Samia amesema Serikali imejipanga kujenga Soko kubwa kama la Kariakoo eneo la Jangwani kupitia pesa za utekelezaji wa mradi ya DMDP ambapo baadhi ya wafanyabiashara (Machinga) watahamishiwa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom