Mwenyekiti BAZECHA: Mwigulu Nchemba ni mwizi, tapeli na fisadi namba one

Bazecha ni nini? Ni Chadema hawa? Hii ni clip ya lini? Haya mambo yamesemwa jana?
 

Lisemwalo lipo, Uzi huo wa last month Mwigulu anakanusha kumiliki mabasi ya Kampuni ya Esther kupitia jina la mke wake. Eti mabasi ni mali ya make wake.
 
Huyu mzee kaniangusha Sana. Chadema huwa hawatoi kibwege namna hii. Tuhuma "mvuke" zisizoambatana na ushahidi ni mipasho tu.

Akamatwe mara moja huyu mzee akathibitishe mahamani na chama kisimtetee.

Na kwanza nashangaa aliruhusiwa vipi kutumia madhabahu ya chama kuongea utopolo huo??
 
Kwanini asiitwe aelezee hoja zake mahakani? Labda anaushahidi
Mahakamani pagumu. Anaweza kuitwa huko akaishia kumlamba miguu Mwigulu.

Msigwa naye aliwadanganya makamanda kuwa anamchana Kinana, alipoitwa mahakamani kuthibitisha tuhuma zake suruali ikalowa.
 
Lisemwalo lipo, Uzi huo wa last month Mwigulu anakanusha kumiliki mabasi ya Kampuni ya Esther kupitia jina la mke wake. Eti mabasi ni mali ya make wake.
Mwigulu ana hisa % ngapi kwenye hiyo kampuni?
 
Back
Top Bottom