Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari ndio hio! https://youtu.be/50jLdDcptGc Mwingine huyu(Kijana Mzalendo) ndio kabisa kawavua nguo na anasema wanatakiwa warudie na kwamba kuna fukuto kubwa. Kaongea mengi sana huyu bwana...
1 Reactions
11 Replies
947 Views
Afande G. Mkunda Ni muda wako wa kulinda historia na heshima ya muda mrefu iliyowekwa na watangulizi wako Yanayoendelea DRC hatuwezi kuyaacha yaendelee, Sisi kama MABABU wa ulinzi na ukombozi...
22 Reactions
100 Replies
5K Views
Hamna wakati mwingine ambao Tanzania inahitaji DRC iliyotulia kama ilivyo Sasa !! RWANDA ni ka Nchi kadogo sana, Ambako kana maeneo machache ya kimkakati linapokuja suala la uchumi , wako limited...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Chama cha ACT Wazalendo mkoani Lindi, wametoa malalamiko yao mbalimbali kwa Afisa mwandikishaji wa uchaguzi katika Jimbo la Mjinga pamoja na Jimbo la Lindi mjini Bwana Juma Mnwele kutokana na...
1 Reactions
2 Replies
576 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuungana na jopo na mawakil linalomtetea Dk. Wilbroad Slaa...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Maslahi ya Tanzania hapo Congo ni yapi? Rwanda inafahamika maslahi yake hapo Congo sisi wengine tunapeleka Congo vijana wetu kwenda kufia wacongo kwa maslahi yapi kama taifa? Hii ni dunia ya...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Wakati deni la Serikali likifikia Sh71.55 trilioni, Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amesema Serikali ilikopa fedha zaidi ya kiasi kilichoidhinishwa na Bunge na kutaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni Wasira ndiye alimuondoa Warioba katika ubunge wa Bunda, walipelekana mpaka mahakama ya rufani. Sijamsikia Warioba akitoa hata pongezi, kulikoni!? N. B: Ni Wilaya ya Bunda ambayo imetoa...
0 Reactions
0 Replies
371 Views
Kwa Maafisa Elimu Kata zote, Wakuu wa Shule za Serikali za Msingi na Sekondari, Moshi Manispaa, Kilimanjaro Mkurugenzi wa Manispaa, Mwajuma Nasombe, kwa mamlaka aliyonayo, anawataka watumishi...
0 Reactions
1 Replies
627 Views
Kwanza tuelezwe na Nchimbi na timu yake zile shilingi millioni Samia alikua anachangiwa kuchukua fomu ya chama kugombea kuteuliwa kugombea urais zimeenda wapi. Hilo ni jambo linaonyesha kuna...
11 Reactions
65 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa masafa marefu Tanzania, Hassan Dede amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha kuwaokoa Madereva 43 waliokuwa wamekwama katika Mji wa Goma Nchini...
0 Reactions
9 Replies
751 Views
Kwanza hii ndiyo unapaswa kuwa ajenga muhimu kwa wagombea wote. Katika mambo ambayo serikali imeamua kuyakwepa kwa namna ya kuziba masikio ni hili suala la ajira kwa wahitimu mbalimbali, hii ni...
0 Reactions
8 Replies
672 Views
Mange yupo sawa kwa hili https://youtu.be/wMER57zVsfg?si=ZIhQ0ZUpmoGYodnJ Miradi ya treni yote na barabara badala ya kutoa kwa kampuni za Tanzania badala yake wanatoa kwa China
3 Reactions
5 Replies
624 Views
Dar es Salaam. Baada ya kuitwa kuhojiwa kuhusu tuhuma za kuhusika na biashara ya dawa za kulevya, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema taarifa hizo zilitingisha familia yake, lakini...
20 Reactions
368 Replies
55K Views
Hao ni baadhi tu ya watakaolitimua vumbi kuzisaka kura za CCM kanda ya ziwa. Watasaga sore za viatu kuzisaka kura za mama samia na wagombea wa CCM kupitia a very sophisticated campaign network...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu, Tunapoukaribia Uchaguzi Mkuu 2025, ni muhimu kutathmini changamoto za chaguzi zilizopita (2015 na 2020) na kushirikiana katika kutafuta suluhisho Jiunge nasi kwenye mjadala maalum...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema na Wakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Tundu Lissu amesikitishwa kushikiliwa kwa muda mrefu mteja wake huyo ambaye ana umri wa miaka 76 bila kupewa dhamana huku akieleza kuwa ni...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Ni mwendelezo wa kupambana na MADAWA ya kulevya, ndugu Ridhiwani kikwete ameunga juhudi zinazofanywa na Paul makonda kutokomeza biashara haramu ya MADAWA ya kulevya. Ni wakati sasa wabunge wakaiga...
5 Reactions
224 Replies
27K Views
Umoja wa Mataifa, Congo na Rwanda – Paul Kagame auliza maswali magumu "Tumesikia kuhusu Walinda Amani Umoja wa Mataifa ndani ya Congo una zaidi ya miaka 30 sasa…" — Paul Kagame... Rais wa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Ujumbe huu ni Kwa ajili ya ndugu Bashiru Ally kakurwa. Kwakuwa umepoteza Mvuto wa kisiasa basi rudi Nyumbani CUF ukagombee urais. PIA SOMA - CUF yaanza maandalizi mapokezi ya Dkt. Bashiru...
1 Reactions
1 Replies
376 Views
Back
Top Bottom