Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Bara, Stephen Wasira, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kuhusu hoja ya umri wake, akisisitiza kuwa uwezo wa mtu hautokani na miaka...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Wahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri Mdahalo uzungumzie 1. Masuala ya vijana 2. Hali ya...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu Wimbo wanaoimba CHADEMA hivi sasa ni "No Reform, No Election", wakishinikiza mabadiliko ya Katiba pamoja na Sheria za Uchaguzi kabla ya Oktoba 2025, hoja ambayo CCM wanaipiga dana dana...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Moja ya maombi ninayoomba kila Leo kwa Mungu ni kuipa nguvu kamati Mhe. Rais aliyomwagiza waziri Mkuu kuundwa ili kuchuguza uimara na ubora wa majengo ya kariakoo na Mhe.Rais aligusia kwamba...
0 Reactions
1 Replies
320 Views
Kwanza nianze na mpola NYINGI kwa baba na mama zangu walio mkoa wa Kagera Pili kichwa Cha habari kinajitosheleza naomba jibu.
0 Reactions
5 Replies
454 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema zoezi la kuwarejesha wafanyabiashara kwenye soko la Kariakoo lililopata ajali ya moto Julai 10, 2021 na kusababisha wafanyabiashara hao...
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Habari, Kwa ambao tumesoma shule zilizojengwa na Wazungu hii mada haitakuwa ngumu kwenu. Mimi nimesoma shule iliyojengwa 1923 na Waingereza. Ile shule mpaka sasa ina majengo ya mkoloni yenye...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Steven Wasira Arudi Kortini Kumng’ang’ania Bulaya........Rufaa Yake Itasikilizwa Kesho Mahakama ya Rufaa Tanzania imepanga kusikiliza rufaa ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Bunda...
1 Reactions
42 Replies
10K Views
Ijapokuwa Rais Samia atamtumia Rais Trump salamu za pongezi kinafiki, ushindi wa Trump ni mwiba mkali kwa serikali ya Tanzania na CCM. Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM inapenda misaada na...
35 Reactions
62 Replies
4K Views
Msikie kwenye hii video:-
10 Reactions
70 Replies
4K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UFAFANUZI KUHUSU SISI KUJIUNGA NA CHADEMA NA MALUMBANO KUHUSU MAJINA YETU Tarehe 30/09/2012 mimi Esther Wasira na dada yangu Lilian Wasira tulijiunga na CHADEMA na...
40 Reactions
268 Replies
34K Views
Rushwa imekuwa kikwazo kikubwa katika mchakato wa uchaguzi, hasa ndani ya vyama vya siasa. Hii si tu inavuruga mchakato wa Kidemokrasia, bali pia inazima ndoto na juhudi za Vijana ambao wangependa...
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna namna viongozi wetu wanatuchukulia sisi ni wasahaulifu au hatutilii maanani yale maneno ambayo wanayasema. Wanatuchukuliaje? Baada ya jengo la kariakoo kuanguka tuliambiwa kuna tume...
0 Reactions
4 Replies
755 Views
MPINA anaanzia pale alipoishia Bungeni, Sasa anawakumbusha Serikali, katika kujitetea waliahidi IGA yenyewe italetwa Bungeni kabla ya Utekelezaji, kwanini wapi kimya??. Hata Ahadi yao wenyewe...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
WAZO: FOMU YA MAKAZI NA HATI YA MKAZI KIDIGITALI. FAIDA ZA KIUSALAMA NA KIMAPATO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Niliwahi kuandika hapa mwaka Juzi, nikasema wanaolipa Kodi nchi hii ya...
0 Reactions
9 Replies
564 Views
Leo tarehe 29 Januari 2025, Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mhe. Mohamed Hassan Moyo, ameshiriki kikamilifu katika zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura. Mhe. Moyo amewashauri...
0 Reactions
2 Replies
406 Views
Watu wengi hawafuatilii takwimu na hawa ndio wanapiga kelele kuwa Tanzania sii nchi maskini inayohitaji misaada na mikopo. Je unajua kati ya watanzania Milion 65, ni watanzania milion 25.7 pekee...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Waziri Kivuli wa Kazi na Ajira kutoka kambi ya upinzani ameweka wazi kuwa sheria ya marekebisho haikuwemo katika mswaada iletwa kinyemela na ni wabunge 30 tu waliochangia hoja ya mabadiriko lakini...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando, ameagiza Mwandishi wa Habari wa ITV kukamatwa na kuamuru kufutwa kwa kazi zote zilizokuwa zimerekodiwa na Mwandishi huyo ambaye Alikuwa anafuatitilia...
1 Reactions
4 Replies
632 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Wakili TUNDU LISSU, leo tarehe 30 Januari 2025 ataungana na WAPENDA HAKI WENGI katika KUPOKEA Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom