Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,617
- 4,291
Jimbo la Moshi Mjini imeongozwa na upinzani tangu kuanza kwa vyama vingi. Kutokana na itikadi hiyo rais wa awamu iliyopita Magufuli 2020 akaenda na kusema Moshi iko vilevile sababu ya kuongozwa na upinzani. (Niliamini kwa wakati huo) "chagueni ccm muone maendeleo" Haya Priscus Tarimo toka ccm akapewa kijiti mbona hakuna jipya.
Swali linakuja toka ccm imechukua jimbo hilo kuna nini kipya? Kuna mradi mpya, maendeleo tofauti na yaliyokuepo? Jibu ni hakuna.
Nilitegemea hata mradi uliokwama wa stendi ya Ngangamfumuni ingemaliziwa haraka wapate cha kupigia kampeni 2025 lakini hakuna dalili, ule mradi unaenda kuwa gofu sasa.
Uwanja wa majengo wameshindwa hata kuweka majukwaa? Je, 2025 itajivunia kiti gani kipya Moshi Mjini?