Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi, amesema CCM imejipanga kujibu hoja na madai yanayotolewa na viongozi wa CHADEMA kwa kutumia takwimu na taarifa sahihi, badala ya kuacha kile...
1 Reactions
9 Replies
163 Views
Leo nataka kuzungumza na Jumuiya ya Wanausalama (Intelligence Community), Hivyo mada ya leo ni ngumu ina matumuzi makubwa ya akili kuliko mambo ya siasa za vyama ambako huko matumizi ya akili huwa...
8 Reactions
71 Replies
1K Views
Mheshimiwa Rais, Kwa heshima kubwa tunakuandikia barua hii kuomba msaada wako katika kutatua mgogoro unaotukabili sisi wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika leseni za NICO RAYMOND NYEMELE...
3 Reactions
27 Replies
591 Views
Mbunge wa Jimbo la Siha (CCM), Dkt. Godwin Mollel, ametabiri anguko na kifo cha kisiasa cha chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, akidai kuwa safu yake mpya ya uongozi wakuu haina uwezo wa...
3 Reactions
37 Replies
485 Views
Tusalimiane wote wapenda Haki, Amani Katiba MPYA and lastly FREE TUNDU LISU
1 Reactions
1 Replies
41 Views
Hili halipingiki hata kidogo nalipo dhahiri na wazi kabisa. Cha kwanza kabisa alihakikisha anakusanya fedha na fedha zitumzwe kwenye mfuko wa taifa ili mafisadi wasikwapue kama huko nyuma. Fedha...
2 Reactions
6 Replies
113 Views
Hatimaye picha kamili ya utendaji wa waziri wa fedha na uchumi bi Saada Salum Mkuya imeanza kudhihirika baada ya kupatwa na jazba na kisha kulia mbele ya kamati ya bunge ya bajeti pale alipokuwa...
2 Reactions
132 Replies
20K Views
Nikiwa sina hili wala lile nimekutana na habari kuwa Zanzibar haina hela ya kuwatibia Watanzania wanaokaa Zanzibar kwa sababu sio Wazawa. Gen-Z msipitwe na hii fursa kama mnavoandika vipeperushi...
3 Reactions
7 Replies
155 Views
Wana JF, Ni jambo la kusikitisha kuwepo upotevu wa kiasi kikubwa cha pesa kwa ukwepaji kodi wa makontainer 349 yenye thamani billion 80 wakati wenye dhamana ya kulinda mali hizi zisipotee wakina...
3 Reactions
231 Replies
35K Views
Mpango, Saada Mkuya wavutana umeme Z’bar Viongozi hao pia waliingia katika mvutano kuhusu kutoletwa bungeni kwa Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya VAT ambayo ingesitisha hatua ya Tanesco...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Hivi kuna uwezekano huyu dada akaachishwa kazi katika BARAZA la mapinduzi na kuletwa kwenye BARAZA la mawaziri la JMT? Namwona kama ana uwezo mkubwa sana wa kumsaidia Rais wa Jamuhuri ya Muungano...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwanza kabisa kama kuna WanaCCM ambao hawana ushawishi ila wapo madarakani kwa upendeleo au labda kwa kutumia matunguri ni Ally Hapi. Uwezo wake wa kushawishi watu ni mdogo na hoja za msingi...
0 Reactions
2 Replies
98 Views
Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye. Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni...
9 Reactions
40 Replies
543 Views
  • Redirect
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar. Saada ametoa kauli hiyo leo Juni 9, 2026 wakati...
1 Reactions
Replies
Views
Kama kawaida mama yetu kipenzi, anayeupiga mwingi ndio anaongoza kwenye hii list wakati wenzetu wanaongoza kwenye mambo ya Teknolojia, Uchumi, Silaha na mengine mengi yeye anaongoza kwenye PhD za...
2 Reactions
0 Replies
88 Views
Namkumbisha msajiri wa vyama vya siasa jaji Mtungi na msaidizi wake bwana Nyahoza kuchukua hatua za haraka sana kukiandikia barua chama cha mapinduzi CCM. Hii nikutokana na kauli mbali mbali...
5 Reactions
4 Replies
408 Views
Kwa mujibu wa chanzo hiko hapo ni mortuary ya mwananyamala. Ni maelezo ya namna gani yanaweza kukubalika juu ya tukio kama hili? HAKUNA. ============== Ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia...
27 Reactions
303 Replies
14K Views
Ndugu wana jukwaa, Leo naomba nilete hii hoja kwenu. Sisi waganga wa Tiba asili au waganga wa Kinyeji Mkoa wa Simiyu, tumechoka na michango ya lazima Kwa ajili ya Mwenge. Kila Mwaka tumekuwa...
4 Reactions
12 Replies
627 Views
Mamlaka ya serikali ya kijiji au mtaa inakamilishwa na uwepo wa mtendaji wa kijiji au mtaa. Maamuzi ya mkutano wa kijiji au mtaa yanaidhinishwa na katibu wa mkutano huo ....yaani mtendaji ...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete, kuhusu mkakati wa serikali juu ya malipo kwa Walimu wanaojitolea ili walau waweze kukidhi mahitaji yao. Naibu Waziri wa Elimu Sayansi...
1 Reactions
5 Replies
219 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…