Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu inaendelea tena leo, Jumatatu Agosti 31.2026, kama ilivyo kawaida mbele ya jopo la Majaji watatu...
16 Reactions
259 Replies
9K Views
  • Redirect
Shahidi wa pili wa upande wa utetezi, Mhe. John Mnyika, leo atamalizia kutoa ushahidi wake kwa kujibu maswali ya dodoso kutoka upande wa Jamhuri
3 Reactions
– Replies
– Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni halali kabisa CHADEMA kupoteza muelekeo na kukosa Msisimko wa hoja na sera pamoja na ajenda zenye Kugusa Mioyo ya watu. Chama kwa sasa kimejaa watu wenye akili ndogo...
4 Reactions
67 Replies
930 Views
  • Redirect
Safi sana Mange! You are a rider for real. You are also very necessary especially in these times. And I think she has a real good shot at winning this lawsuit against Meta. Hii publicity si...
62 Reactions
– Replies
– Views
Ukiangalia gharama za kutengeneza small satellite launch pad ina range kwa usd million 5 au 10 sawa na tsh billion 10 au 20 Kwa tsh billion 10 au 20 tunajenga multi pad satellite launch Faida za...
4 Reactions
33 Replies
352 Views
Nimekaa leo nikawaza sana tu. From no where mwenzetu anapotea na hatumuoni tena na watuhumiwa wapo na tunaendelea kukaa nao. Hii imekaaje wadau? Tuwaambie waache kututeka ama tukatae...
1 Reactions
4 Replies
71 Views
Mhariri Mshiriki wa shirika la The Standard Group, Alex Kiprotich, amepatikana akiwa salama baada ya kutekwa nyara na watu wenye silaha usiku wa kuamkia leo. Tukio hilo lilitokea kwenye barabara...
0 Reactions
3 Replies
125 Views
Ili jeshi ni la wananchi tunakubali, Basi mkuu wa Majeshi Watoe watuhumiwa wa ugaidi kwenye vituo vya polisi wanaoshikiliwa kwa njama za ugaidi. Maana umetamka nchini hakuna ugaidi sisi tunajua...
0 Reactions
1 Replies
85 Views
Nimeota ndoto kubwa sana kwamba namba nne Hana makucha Tena Ndoto ilienda mbali zaidi kuwa nguvu zimebaki kwa mtoto wa namba sita. Ndoto ikaenda mbali zaidi kuwa namba nne alitaka aweke mtoto...
4 Reactions
13 Replies
359 Views
Derogations John Paschal Ndejembi ni kijana mdogo kiumri. Lakini nimemsikiliza kwa makini aonekana ni kijana aliewiva kisiasa. Hayati Mwalimu Nyerere alipokabidhiwa nchi na Sir Edward Twinning...
1 Reactions
30 Replies
552 Views
https://pigafirimbi.africauncensored.online/how-disinformation-was-used-to-target-protesters-activists-and-journalists-in-tanzania/
1 Reactions
0 Replies
37 Views
Kuanzia Nyerere mpaka awamu hii, chama cha CCM, watawala na raia wengi huwa wanawachukulia kwa mtazamo hasi sana watu wanaoutuka urais wa Tanzania. Kwa nini inaonekana ni vibaya kuutaka urais wa...
0 Reactions
6 Replies
96 Views
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ahudhuria Sherehe za Uapisho wa Mhe. Hakainde Hichilema, Rais Mteule wa Jamhuri ya Zambia zilizofanyika katika Uwanja...
0 Reactions
1 Replies
83 Views
Kwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya...
19 Reactions
78 Replies
3K Views
Najiukizaga swali pesa chakavu BOT huwa wanazifanyaje kwamba wanazitunza najua BoT kuna kitengo cha kuchoma pesa chakavu na kutoa number zile kwenye mzunguko au ? Wajuzi tujuzueni ?
0 Reactions
12 Replies
144 Views
Nchi watu wamechoka mbaya lakini misafara ya magari kibao bila sababu. Yaani viongozi badala ya kufanya kazi ni kunzuka zunguka tu kama machawa na wakubwa...
0 Reactions
4 Replies
149 Views
Ni Tlaatlaah Humwaambii kitu kuhusu Nchimbi. Tangu Dr Emmanuel Nchimbi aliwe kichwa na wenzake, Tlaatlaah kapoa kwelikweli, hofu na woga umemkamata. Hajui hatima yake. Na labda pengine hata...
35 Reactions
51 Replies
2K Views
Kutoka kwenye korido za siasa huko teeth, Mstaafu mmoja aliyependwa sana awamu ya 5 tayari amedokezwa ajiandae kula kiapo siku chache zijazo kama Makamu wa Rais mpya.
6 Reactions
49 Replies
2K Views
Ni swala la muda.. Kila mtu atatoa mlio.. Walijua Machawa wapo sallama. Muuaji hana rafiki. Tuliwaasa, achaneni na CCM kwani washapoteza uelekeo. Akili za wanaccm sasa hivi ni kuua, kuteka...
4 Reactions
37 Replies
666 Views
  • Featured
Malisa GJ Leo alikuwa safarini kutoka Marekani ambapo amekuwa kwa zaidi ya miezi tisa (9), tangu alipoenda kuiwakilisha nchi yetu kama mtanzania pekee aliyechaguliwa na Wizara ya Mambo ya nje ya...
28 Reactions
180 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…