Mstaafu mmoja anarudi tena kazini, wengi mtashangaa

Mstaafu mmoja anarudi tena kazini, wengi mtashangaa

Anatafutwa ngariba, kazi yake iwe kutembea na mkasi kuzindua miradi uchwara.
Hahaha mwendo wa mikasi tu...
But, Mti wenye nguvu hauogopi kivuli cha miti mingine, kiongozi mwenye uwezo haogopi kuwa na wasaidizi wenye uwezo kuliko yeye katika maeneo fulani.
Hivyo kuna vitu anazidi kuthibitishia zaidi ni huzuni kwakweli.
 
Back
Top Bottom