Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,777
- 6,907
Amani ya Bwana iwe nanyi,
Nakuja kwenu na tathmini yangu ya haraka haraka kuhusu mwenendo wa hali ya siasa wa Tanzania na inayoonekana kama hatma ya taifa hilo.
Nikiangalia mwenendo wa mambo mbalimbali yanayoendelea ndani na nje ya nchi ya Tanzania, naona kwamba miezi 18 ijayo inaweza kutuambia hatma ya taifa hilo.
Kama maamuzi ya maksudi hayatachukuliwa ku "reverse" mwenendo mbaya wa kisiasa ambao umekuwa unaendelea kwa takribani miaka 10 sasa ambao ulianzia kwa kupambana na vyama vya upinzani ila sasa umehamia rasmi ndani ya chama tawala, baada ya muda huo niliotaja, Tanzania ina uwezekano wa kuingia katika mkwamo na mgogoro mkubwa mno ambao utakuwa mgumu sana kuudhibiti. Wamakonde wanasema unaweza ku "spiral out of control".
Mwenye masikio na asikie, mwenye macho na aone.
Kwa leo sina la zaidi la kusema.