Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimedokezwa na wadau hapa Kigoma ya kwamba wazee wanamtaka Diamond agombee nafasi ya ubunge hapo kigoma mjini badala ya Zitto Kabwe. Wanadai Zitto kawatelekeza, kahamishia harakati zake twitter...
18 Reactions
338 Replies
32K Views
Watanzania mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu, Tunachagua tena Rais pamoja na wabunge. Ni mwaka ambao una changamoto kubwa sana katika uchaguzi mkuu hususa upande wa visiwani Watia nia ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunakumbushana tu kwamba kwa sasa hapa nchini siasa ni ajira hivyo wabunge na madiwani tegemeeni changamoto kubwa kutoka kwa toleo jipya. Ndio hao akina Harmonize, Diamond, Juma Kaseja, Mrisho...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwaka 2020 ni mwaka wa kufanya uamuzi kuhusiana na utawala na mwelekeo wa taifa letu. Huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu, mwaka wa Uamuzi Mkuu. Watanzania wataitwa kutoa jibu la maswali makubwa mawili...
9 Reactions
58 Replies
6K Views
Wanabodi, mwaka mpya 2020 umeanza tena, mbilinge mbilinge na udambwi dambwi haviishi hapa kwetu Tanzania. Msoto mwanzo mwisho. Tuje kwenye mada: "Hapa Kazi Tu" maana yake ni kufanya kazi kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
UCHAGUZI WA MWAKA 2020: Chama cha Wananchi CUF chataka mazingira mazuri Chama cha wananchi CUF kimetoa wito kwa Rais John Magufuli kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa ili kuweka mazingira...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwakuwa WATAWALA wetu wanapenda kutumia ubabe wa kidola na wanafanya hila nyingi kukaa madarakani na vyombo vya dola haviangalii haki na Sheria na bunge limewekwa mfukoni huku mahakama ikiwa Haina...
15 Reactions
55 Replies
4K Views
Uchaguzi mkuu wa 2020 utabebwa zaidi na kura za maoni kwa wagombea wa CCM ambao Kamati kuu ndio imeshika mpini. Jaribu kuangalia tafrani zilizoanza kujitokeza za wabunge kugawa pipi kwa wagonjwa...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Viongozi wa dini katika nchi yetu tunaelekea katika uchaguzi mkuu wa 2020. Wanasiasa wameshaanza kujipitisha pitisha kwenye nyumba za ibada na kujifanya ni watu wema Sana na kwamba huu ni wakati...
1 Reactions
3 Replies
884 Views
Katika kuhakikisha jimbo la Arusha linarudi CCM. Mhe. Zelote Steven (PhD) ameanza kupiga jaramba kuwania kiti hicho. Wanarusha tumuunge mkono
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally, akiwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Iringa, amewahakikishia wanachama, mashabiki na wakereketwa wa CCM kuwa Chama hakipo...
4 Reactions
52 Replies
6K Views
Ndugu wana jukwaa Kama ilivyoada nawasalimu. Kwa salamu ya wajamaa watanzania sisi.Uzi huu utakuwa maalumu kwa ajili ya kuwatambua watu ambao wameanza kupitapita majimboni mwetu kwa ajili ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Wapo ndugu zetu kati yetu ambao wanapomwangilia Magufuli na utendaji wa serikali yake wanamuona ni mshamba aliyeula. Kwa kejeli zisizo kikomo na dharau zilizopitiliza...
28 Reactions
130 Replies
16K Views
Tufikiri kidogo Magufuli ni nani? . Ni kiongozi ambaye mwenye kuumizwa na rushwa . Ni kiongozi ambaye anaumizwa na kuwakandamiza wanyonge . Ni kiongozi ambaye haogopi kusema ukweli wa mambo kama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni Mbowe huyuhuyu anayenyanyaswa na DC wa Hai? Ni Mbowe huyuhuyu aliyewekwa ndani zaidi ya miezi 3 bila dhamana? Ni Mbowe huyuhuyu aliyevunjiwa Bilcanas na kuharibiwa Mashamba? Ni Mbowe...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
TAARIFA YA UJIO WA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI DR BASHIRU ALLY KAKURWA MKOANI TABORA Ndugu zangu wanaCCM tarehe 7 na 8 Disemba 2019 tutakua na ugeni wa katibu mkuu wa CCM katika mkoa wetu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika hali ya siasa inayoendelea nchini, tunahitaji viongozi makini na walio tayari hata kufa kwajili ya chama, Leo sitaabdika mengi ila nitatoa mtazamo wangu katika ngazi za uongozi kitaifa...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Ikitokea mtu awe kiongozi au mwana-CHADEMA akamshauri Mbowe na wabunge wake wagomee uchaguzi mkuu 2020 ajiandae kufukuzwa au watagawana mbao na kukizika chama. Siasa ni ajira na...
19 Reactions
82 Replies
7K Views
Jana tarehe 27/11/2019 Taifa la Kenya limezindua riporti ya tume maalumu inayoitaka serikali ya Kenya kuleta maridhiano ya kitaifa. Kwa sikio langu nimemsikia Rais Uhuru Kenya akisema kuwa Yeye...
1 Reactions
2 Replies
837 Views
Haya ni maoni na mtazamo wangu kama vile wengine wanavyotoa maoni yao kupitia sehemu mbalimbali Uchaguzi mwakani naona ufanyike kwa Wabunge na Madiwani lakini kwenye Urais tusipoteze muda maana...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom