Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yes Serikali ya CCM imeshindwa kushawishi umma uwe upande wao zaidi wamefanya ukosoaji kama ni matusi. Rejea Spika Ndugai alipotoa maoni wakati mbunge Lema akichangia kwenye mswada wa kumiliki...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Natamani Sana kukuona bungeni 2020-2025 Fatma Karume a.k.a shangazi hoja zako zenye mashiko mitandaoni ndio zimenifanya nitamani kukuona pale mjengoni ukichangia hoja kwa serikali yetu...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Habarini wadau... Leo naomba nizungumze ukweli juu ya hiki kinachoendelea, eti watu wa upinzani kuandika barua na kuomba nafasi za kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT october 2020...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Binafsi naamini wapinzani, wakiwemo CHADEMA, wanaelewa vizuri sana kuwa kwa wao kutangazwa washindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu haitokuwa jambo jepesi na litakuwa ni jambo gumu kuliko...
13 Reactions
25 Replies
2K Views
Dah Kuna Mambo mtu yanaweza kukufanya ucheke mpaka Basi Yale Mambo ya maskini kutumia kidonda ndio haya. Habari zilizo mezani mpaka sasa hivi ndugu YETU Tundu Lisu anakuja Tanzania kugombea kwa...
5 Reactions
106 Replies
9K Views
Habari za wakati huu, Kwanza nianze kwa kuwapa pole wale ambao katika kipindi hiki cha COVID wamejikuta katika wakati mgumu kwa sababu moja ama nyingine katika biashara zao na maisha kwa ujumla...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania. Mbatia...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Ukweli bado Ni mchungu, Chadema bado tishio uchaguzi mkuu. Kuna dalili kuu nyingi kwamba CCM wanaingiwa hofu kwa jina la Chadema. Viongozi wa Chadema hawaruhusiwi kuongea na wakiongea utawasikia...
10 Reactions
41 Replies
3K Views
Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais. Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais. Moja; Yuko hysterical na...
8 Reactions
92 Replies
6K Views
Wakati wowote kuanzia sasa aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CCM na baadae kujiuzulu na kuhamia Chadema Mh. Lazaro Nyalandu atachukua fomu za kugombea urais. Taarifa za chini ya kapeti zinasema...
5 Reactions
116 Replies
11K Views
Kama uwanja utakuwa fair na wapinzani hasa Chadema hawatatumia ujanja ujanja wakati wa kupiga kura basi CCM itashinda viti vyote vitatu yaani Rais, mbunge na diwani saa 4 asubuhi. Ikumbukwe 2015...
2 Reactions
62 Replies
4K Views
Mpango wa kumg’oa mkiti wa halmashauri ya Siha waiva,sasa kung’olewa rasmi kesho . - Vita vya ubunge vyatajwa kama sababu ya kung’olewa Mwandishi wetu, Siha Mkakati wa kumvua madaraka...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Tetesi kitaa zinasema, wale maswahiba wakubwa wa JK enzi zake, Abdulrahman Kinana a.k.a. Mzee wa Tembo, na Bernard Membe a.k.a Jasusi, wanaungana nguvu kuchapisha tiketi yao ya kupeperusha bendera...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Naona Tanzania na Africa mashariki inavyokwenda kuandika historia mpya. Chadema msitishike kabisa mnaenda kushinda mchana kweupe na ikitokea mnaletewa figisu ndio itakuwa mwisho wa CCM katika uso...
27 Reactions
101 Replies
7K Views
To be honesty, CHADEMA 2015 mlikula bata Sana katika uchaguzi ukilinganisha na CCM, pamoja na kwambaMzee Lowassa hakuwa na hoja na nguvu ya kushawishi watu,lakini bado watu tulikuwa tumefall in...
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Amani iwe kwenu ! Natumai wote mu wazima na mnaendelea vizuri na majukumu yangu. Kama kawaida yangu kazi yangu ni kuangalia na kuonya ivyo Leo napenda niseme kwa macho yangu naona CCM anapambana...
11 Reactions
68 Replies
5K Views
Maamuzi ya nani awe Rais Zanzibar 2020-25 yanatokana na kikao cha hawa wazee hapa. Aliye karibu na Mangula msalimie.
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimeona mchakato wa kuwapata wagombea ubunge ndani ya CCM kwa mwaka huu itakuwa tofauti, ambapo kamati kuu itateua wagombea watatu (03)ambao watapigiwa kura wajumbe wa jimbo husika. Inakuaje...
21 Reactions
105 Replies
11K Views
Mimi ni mwanaccm asili, sijajiunga Jana au juzi kwa mihemko bali niko hapa kabla hata ya muundo wa vyama vingi. Ni vizuri kusema ukweli tukielekea uchaguzi mkuu 2020, ile habari ya kutegemea...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
CHADEMA wamesahau walivyo visaliti vyama vingine wakati wa uchaguzi mkuu 2015 na sasa wanatubu na kuomba tena washirikiane !! Hii ni aibu kubwa Ipo hivi Kwenye taarifa ya habari ya UTV muda...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom