Uchaguzi 2020 Kampeni za mwaka huu CHADEMA itakuwa vituko. Eti ajenda yao Tundu Lissu kapigwa risasi

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Dah Kuna Mambo mtu yanaweza kukufanya ucheke mpaka Basi

Yale Mambo ya maskini kutumia kidonda ndio haya. Habari zilizo mezani mpaka sasa hivi ndugu YETU Tundu Lisu anakuja Tanzania kugombea kwa ticket ya chadema kwenye nafasi ya Urais

Wakat Rais John Pombe Magufuli anaonyesha Miradi mikubwa mikubwa ndani ya nchi na kuonesha watanzania ni jinsi gani chadema wao wamepanga kuja kuwaonyesha watanzania Miguu ya Tundu Lisu kwamba watakua wanazunguka nchi mzima kuonyesha watu Makovu ya risasi alizo pigwa huku lawama wakiitupia serikali

Baadh ya ajenda za CHADEMA mwaka huu wa kampeni
Tundu Lisu kapigwa risasi

Akwelina kufa
Na tume huru

Embu tujiulize hivi chadema Mpaka leo Wana uthibitisho kua Tundu Lisu alipigwa risasi na serikali pia CHADEMA wanatakiwa wajue kua lazima Tundu Lissu ahojiwe na aziweke wazi shutuma zake alizo kua anampelekea Rais moja kwa moja. Na aonyeshe ushahidi. Bila hivyo atataka apande watu kichwani

Swala la tume huru CHADEMA kulilia leo ni sawa na kujiaibisha kama Spika anashtakiwa kwa kuivunja katiba Basi hata chadema nao washtakiwe sababu kuikataa tume iliopo ni sawa na kutaka kuvunja katiba
 
Bora ungekaa kimya na kama umetumwa kuna kupima upepo basi wambie hivi hivi hakuna mwaka mwepesi kunadi sera za upinzani jukwanii kama mwaka huu 2020, yani agenda zipo nyingi mpaka basi

Ukianza kwa wasaka tonge uko usiseme
Ukija kwa mabwanyenye ndio balaa
Ukija kwa wasomi tena hapo ndio patamu hususani wanufaika wa elimu ya huu ndio balaa kuwapandishia makato kutoka asilimia 7% kwenda 15% alafu wakienda bodi ya mkopo wasettle deni mnawambia kuna retisheni fee million mbili hapo ndio mmewavuruga kabisa

Haya watumishi wa umma sijui mnalipi la kujitetea miaka mitano hamjaongeza hata shilingi mia

Msisahau sakata la watumishi hewa na vyeti feki watu bado wanasumu

Bomu la wahitimu elimu ya juu, vyuo vya ufundi nk watu wapo mitaani hawajui hatma yao hakuna ajira mpo kwenye usomji tu

Kwaiyo tulieni agenda ni nyingi nyingi

Nyie si mmeomba mungu corona iishe na mnajinadi mungu kawasaidia coroana imeisha basi na siye tutamuonga mungu atuondolee hili balaa hili kwakua mungu ni wetu sote hata mfanyeje atajibu maombi
 
Kwaio vyet fake ni ajenda mtayo iongelea huon kua huo ni baadh ya ujinga nilio sahau kuwaonyesha?
Bora ungekaa kimya na kama umetumwa kuna kupima upepo basi wambie hivi hivi hakuna mwaka mwepesi kunadi sera za upinzani jukwanii kama mwaka huu 2020, yani agenda zipo nyingi mpaka basi

Ukianza kwa was aka tongue uko usiseme
Ukija kwa mabwanyenye ndio balaa
Ukija kwa wasomi tena hapo ndio patamu hususani wanufaika wa elimu ya huu ndio balaa kuwapandishia makato kutoka asilimia 7% kwenda 15% alafu wakienda bodies wasettle deni mnawambia kuna retisheni fee million mbili hapo ndio mmewavuruga kabisa

Haya watumishi wa umma sijui mnalipi la kujitetea miaka mitano hamjaongeza hata shilingi mia

Msisahau sakata la watumishi hewa na vyeti feki watu bado wanasumu

Bomu la wahitimu elimu ya juu, vyuo vya ufundi nk watu wapi mitaani hawajui hatma yao hakuna ajira mpo kwenye usomji tu

Kwaiyo tulieni agenda ni nyingi nyingip

Hamjiulizi kipindi mafuta ya patrol na diesel bei juu watu walinunua magari balaa leo hii mafuta yanashuka bei watu wanauza magari balaa
 
Dah Kuna Mambo mtu yanaweza kukufanya ucheke Mpaka Basi

Yale Mambo ya maskin kutumia kidonda ndio haya. Habari zilizo mezan mpaka sasaiv ndugu YETU tundulisu anakuja Tanzania kugombea kwa ticket ya chadema kwenye nafasi ya Urais

Wakat Rais John Pombe Magufuli anaonyesha Mirad kikubwa mikubwa ndani ya nchi na kuonesha watanzania ni jinsi gani chadema wao wamepanga kuja kuwaonyesha watanzania Miguu ya tundulisu kwamba watakua wanazunguka nchi mzima kuonyesha watu Makovu ya risas alizo pigwa uku lawama wakiitupia serekal

Baadh ya ajenda za CHADEMA mwaka huu wa kampen
Tundulisu kapigwa risas
Akwelina kufa
Na tume huru

Embu tujiulize ivi chadema Mpaka leo Wana uthibitisho kua tundulisu alipigwa risas na serekal pia CHADEMA wanatakiwa wajue kua lazima tundulisu ahojiwe na aziweke wazi shutma zake alizo kua anampelekea Rais moja kwa moja. Na aonyeshe ushaid. Bila ivyo atataka apande watu kichwan

Swala la tume huru chadema kulilia leo ni sawa na kujiaibisha Kama spika anashtakiwa kwa kuivunja katiba Basi hata chadema nao washtakiwe sababu kuikataa tume iliopo ni sawa na kutaka kuvunja katiba
Haya nenda soli ya pili kailambe vizuri.
 
Kwaio vyet fake ni ajenda mtayo iongelea huon kua huo ni baadh ya ujinga nilio sahau kuwaonyesha?
Nenda face book uko JF si level zako mtu mwenyewe joined march 2020 unataka tuletea habari chumbani hapa

hivi ujui kuna watu mliwambia wana vyeti fake mkafungia mishahara yao kumbe si kweli wakasota zaidi ya mwaka wakaja rudishwa kwenye mfumo wa malipo mpaka leo hii hamjawalipa stahiki zao mpo kuwandikisha barua za madai unadhani wanawaonaje si somji tu nyie
 
Vip NYIE mlio watimua mnafikir Wana wachukuliaje?

Jenga hoja acha kuruka ruka nani alitimuliwa

Hivi unajua asilimia ngapi ya watanzania wamepoteza ajira kutoka na kudorola kwa uchumi kutoka na na sera mbovu za utawala wa awamu ya tano, au na wewe akili zaki ni ndege, daraja😁😁😁
 
Mimi na ndugu zangu wote tumeajiriwa WAKAT huu wa serekal ya magufuli Mimi nimenunua kiwanja wakat huu wa magufuli pia nipo najenga wakat huu wa magufuli tatizo wewe upo ufipa Apo asubui Mpaka jion unapiga porojo kwenye mitandao alafu unataka uajiriwe shame on you
Jenga hoja acha kuruka ruka nani alitimuliwa

Hivi unajua asilimia ngapi ya watanzania wamepoteza ajira kutoka na kudorola kwa uchumi kutoka na na sera mbovu za utawala wa awamu ya tano, au na wewe akili zaki ni ndege, daraja
 
Mimi na ndugu zangu wote tumeajiriwa WAKAT huu wa serekal ya magufuli Mimi nimenunua kiwanja wakat huu wa magufuli pia nipo najenga wakat huu wa magufuli tatizo wewe upo ufipa Apo asubui Mpaka jion unapiga porojo kwenye mitandao alafu unataka uajiriwe shame on you
Umeona sasa miye nipo kujadili mustakabali wa taifa wewe unaleta habari za ufipa ndio wapi, jenga hoja wewe una kiwanja umeanza ujenzi, jiulize wangapi mliopata ajira na mnaviwanja na mmeanza ujenzi usiseme Mimi kama ulikuwa masomoni mlihitimu wangapi na hizi ajira mmepata wangapi

Utawala awamu ya nne kama wahitimu kozi ya afya wapo mia tano basi ajira zikitoka wote kwenye sifa wanapata ajira kama mia tano wote

Sects ya mifugo hivyo hivyo elimu hivyo hivyo je awamu hii kipi kimefanya hayo yasifanyike

Ebu tuambie kwanini umeajiliwa wewe tu wenzako wapi mtaani
 
Kwa tume hii jpm ndo mshindi hata kabla ya uchaguzi.Lissu atasaidia kunogesha kampeni za uchaguzi.
 
Dah Kuna Mambo mtu yanaweza kukufanya ucheke Mpaka Basi

Yale Mambo ya maskini kutumia kidonda ndio haya. Habari zilizo mezani mpaka sasa hivi ndugu YETU Tundu Lisu anakuja Tanzania kugombea kwa ticket ya chadema kwenye nafasi ya Urais

Wakat Rais John Pombe Magufuli anaonyesha Miradi mikubwa mikubwa ndani ya nchi na kuonesha watanzania ni jinsi gani chadema wao wamepanga kuja kuwaonyesha watanzania Miguu ya Tundu Lisu kwamba watakua wanazunguka nchi mzima kuonyesha watu Makovu ya risasi alizo pigwa huku lawama wakiitupia serikali

Baadh ya ajenda za CHADEMA mwaka huu wa kampeni
Tundu Lisu kapigwa risasi
Akwelina kufa
Na tume huru

Embu tujiulize hivi chadema Mpaka leo Wana uthibitisho kua Tundu Lisu alipigwa risasi na serikali pia CHADEMA wanatakiwa wajue kua lazima Tundu Lisu ahojiwe na aziweke wazi shutuma zake alizo kua anampelekea Rais moja kwa moja. Na aonyeshe ushahidi. Bila hivyo atataka apande watu kichwani

Swala la tume huru chadema kulilia leo ni sawa na kujiaibisha Kama spika anashtakiwa kwa kuivunja katiba Basi hata chadema nao washtakiwe sababu kuikataa tume iliopo ni sawa na kutaka kuvunja katiba
Kwa nini serikali ilikataa vyombo vya nje kufanya uchunguzi...ficheni upumbavu wenu hata wageni wanasoma hizi nyunzi
 
Dah Kuna Mambo mtu yanaweza kukufanya ucheke Mpaka Basi

Yale Mambo ya maskini kutumia kidonda ndio haya. Habari zilizo mezani mpaka sasa hivi ndugu YETU Tundu Lisu anakuja Tanzania kugombea kwa ticket ya chadema kwenye nafasi ya Urais

Wakat Rais John Pombe Magufuli anaonyesha Miradi mikubwa mikubwa ndani ya nchi na kuonesha watanzania ni jinsi gani chadema wao wamepanga kuja kuwaonyesha watanzania Miguu ya Tundu Lisu kwamba watakua wanazunguka nchi mzima kuonyesha watu Makovu ya risasi alizo pigwa huku lawama wakiitupia serikali

Baadh ya ajenda za CHADEMA mwaka huu wa kampeni
Tundu Lisu kapigwa risasi
Akwelina kufa
Na tume huru

Embu tujiulize hivi chadema Mpaka leo Wana uthibitisho kua Tundu Lisu alipigwa risasi na serikali pia CHADEMA wanatakiwa wajue kua lazima Tundu Lisu ahojiwe na aziweke wazi shutuma zake alizo kua anampelekea Rais moja kwa moja. Na aonyeshe ushahidi. Bila hivyo atataka apande watu kichwani

Swala la tume huru chadema kulilia leo ni sawa na kujiaibisha Kama spika anashtakiwa kwa kuivunja katiba Basi hata chadema nao washtakiwe sababu kuikataa tume iliopo ni sawa na kutaka kuvunja katiba
MATAGA mna KONOKONO vichwani, tofautisha sera,ilani na agenda, tatizo Polepole kawashikilia medula
 
agenda za sisiem ni KUMPIGA RISASI NA KUMFANYA KILEMA?
 
Mnaanza kuogopa kivuli chenu?
 
Noma sana
 
mmepoteza dira ccm kama ndo mnaliwaza hilo,chadema wanaagenda za kutosha mpaka basi na jiwe analijua hilo ndo maana kawapiga pin miaka 5 sasa sikiliza saa ikifika
 
Back
Top Bottom