Uchaguzi 2020 Mnyika: Tunaviomba vyama vingine vije tushirikiane kuitoa CCM madarakani

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,894
22,657

CHADEMA wamesahau walivyo visaliti vyama vingine wakati wa uchaguzi mkuu 2015 na sasa wanatubu na kuomba tena washirikiane !! Hii ni aibu kubwa

Ipo hivi

Kwenye taarifa ya habari ya UTV muda mfupi uliopita katibu mkuu wa chadema anatoa wito kwa vyama vingine vya upinzani kujiunga nao hii ni aibu kwa chadema maana waliuwa ndoto za vyama vingine na kujivika ukiongozi wa ukawa mwaka 2015

CHADEMA ndio walimleta lowasa katika muungano wa ukawa na kuwashawishi wampokee ambapo lipumba na slaa walikuwa vinara wa muungano ule kuona wamesalitiwa na kuamua kuondoka wakimtuhumu mbowe na vingozi wa juu wa chadema kumleta lowasa waliomuita fisadi kwa miaka 8.

Mtakumbuka viongozi wengi wa chadema hasa wabunge wameshakiandikia chama hicho barua ya kukikimbia bunge likifungwa hii inamaana chadema wanataka kuwamiliki viongozi hawa chini ya mwavuli wa kushirikiana.

Ombi la mnyika ni sawa na kuwapigia magoti vyama vingine kuelekea uchaguzi katika kipindi huki kinachotajwa kuwa ndio mwisho wa chadema.

My take :vyama vingine wakatalieni kabisa maana ukishirikiana na anayeanguka mtaanguka wote

Ninyi watanzania ni vigumu sana kuendelea kwa mawazo yenu hafifu ya kusapoti ccm kwa miaka 60.
 
Daah pole Sana chief wa wasukuma....

Najua unapitia wakati mgumu Sana Ila nachositikika Hakuna namna unaeza fanya CDM isikufie mikononi mwako tofauti na kukimbia mapema kabla ya mwezi October
 
TLP na NCCR wao tayari mgombea wao ni wa CCM.

Ama kweli rafiki yako wa dhati kabisa utamjua tu wakati wa njaa....
 
CHADEMA wamesahau walivyo visaliti vyama vingine wakati wa uchaguzi mkuu 2015 na sasa wanatubu na kuomba tena washirikiane !! Hii ni aibu kubwa

Ipo hivi

Kwenye taarifa ya habari ya UTV muda mfupi uliopita katibu mkuu wa chadema anatoa wito kwa vyama vingine vya upinzani kujiunga nao hii ni aibu kwa chadema maana waliuwa ndoto za vyama vingine na kujivika ukiongozi wa ukawa mwaka 2015

CHADEMA ndio walimleta lowasa katika muungano wa ukawa na kuwashawishi wampokee ambapo lipumba na slaa walikuwa vinara wa muungano ule kuona wamesalitiwa na kuamua kuondoka wakimtuhumu mbowe na vingozi wa juu wa chadema kumleta lowasa waliomuita fisadi kwa miaka 8.

Mtakumbuka viongozi wengi wa chadema hasa wabunge wameshakiandikia chama hicho barua ya kukikimbia bunge likifungwa hii inamaana chadema wanataka kuwamiliki viongozi hawa chini ya mwavuli wa kushirikiana.

Ombi la mnyika ni sawa na kuwapigia magoti vyama vingine kuelekea uchaguzi katika kipindi huki kinachotajwa kuwa ndio mwisho wa chadema.

My take :vyama vingine wakatalieni kabisa maana ukishirikiana na anayeanguka mtaanguka wote

USSR
Yaani walivyowatapeli Cuf,Nccr mageuzi na Tadea wanataka nani aungane nao?
 
Kila siku mnapiga kelele Chadema imekufa lakini kila dakika mnaitengenezea uzi mpya, sasa kwanini mnahangaika na maiti?!

Nyie vichaa kweli.
Mliwatapeli Cuf,Nccr mageuzi na Tadea. Mkaunda ukawa sasa mtampata nani na utapeli wenu?
 
Hiyo maana yake ni hofu unadhani cdm itaungana na nani ikiwa nccr na cuf tayari mmeisha ungana nayo? Vyama vilivyo baki kasoro act peke yake havina rasilmali watu cha muhimu tuliza akili mliishasema cdm imekufa unahofu gani na chama kilicchokufa? Isitoshe wabunge wengi mmeisha chukua tulia dawa ipenye
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwamba njoeni Vyama vingine tuungane tuitoe CCM?

Huu nao ni utopolo haswaa, mwaka huu Mzee Nkapa sijui atawaita Jina gani?

Na nyinyi mwaka huu mjipeleke kwenda kuungwa yaani muombe kwenda Kufanya ushirika sio hivyo Vyama mviombe ninyi kuja Kufanya ushirika, Kwa Chama gani mlichonacho, Kwa nguvu ipi mliyonayo, punguzeni ujinga Kwanza wa kutimua watu wasio na kosa

Mwaka huu mnalo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwamba njoeni Vyama vingine tuungane tuitoe CCM?

Huu nao ni utopolo haswaa, mwaka huu Mzee Nkapa sijui atawaita Jina gani?

Na nyinyi mwaka huu mjipeleke kwenda kuungwa yaani muombe kwenda Kufanya ushirika sio hivyo Vyama viwaombe ninyi kuja Kufanya ushirika, Kwa Chama gani mlichonacho, Kwa nguvu ipi mliyonayo, punguzeni ujinga Kwanza wa kutimua watu wasio na kosa

Mwaka huu mnalo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Chama gani kitawakubali? Wameshajua wameshindwa kwa kila namna.
 
CHADEMA wamesahau walivyo visaliti vyama vingine wakati wa uchaguzi mkuu 2015 na sasa wanatubu na kuomba tena washirikiane !! Hii ni aibu kubwa

Ipo hivi

Kwenye taarifa ya habari ya UTV muda mfupi uliopita katibu mkuu wa chadema anatoa wito kwa vyama vingine vya upinzani kujiunga nao hii ni aibu kwa chadema maana waliuwa ndoto za vyama vingine na kujivika ukiongozi wa ukawa mwaka 2015

CHADEMA ndio walimleta lowasa katika muungano wa ukawa na kuwashawishi wampokee ambapo lipumba na slaa walikuwa vinara wa muungano ule kuona wamesalitiwa na kuamua kuondoka wakimtuhumu mbowe na vingozi wa juu wa chadema kumleta lowasa waliomuita fisadi kwa miaka 8.

Mtakumbuka viongozi wengi wa chadema hasa wabunge wameshakiandikia chama hicho barua ya kukikimbia bunge likifungwa hii inamaana chadema wanataka kuwamiliki viongozi hawa chini ya mwavuli wa kushirikiana.

Ombi la mnyika ni sawa na kuwapigia magoti vyama vingine kuelekea uchaguzi katika kipindi huki kinachotajwa kuwa ndio mwisho wa chadema.

My take :vyama vingine wakatalieni kabisa maana ukishirikiana na anayeanguka mtaanguka wote

USSR
Hata Ccm , Lowassa alipokuwa Cdm walimtukana fisadi, Je leo bado wanamtuhumu kuwa FISADI ?!.

Achana na propaganda za vyama uende kwenye realities
 
CCM, NCCR na TLP mgombea wao Ni Dr. John Joseph Magufuli, huyu ngosha labda anawaita TADEA, JAHAZI n.k waungane
 
Bahati mbaya Chadema wanadhani Mnyika ni upande wao

You're fvckd from all angles , Mnyika atakuja kuwaacha katika kilele chenyewe!
 
Back
Top Bottom