Uchaguzi 2020 2015 ilikuwa zamu ya CHADEMA, 2020 ni zamu ya CCM

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,772
2,032
To be honesty, CHADEMA 2015 mlikula bata Sana katika uchaguzi ukilinganisha na CCM, pamoja na kwambaMzee Lowassa hakuwa na hoja na nguvu ya kushawishi watu,lakini bado watu tulikuwa tumefall in love to CHADEMA without any reason behind.

Kwanini? Kuna sababu kama mbili za msingi.

1. Kuchoshwa na CCM sababu ya rushwa na ufisadi
2. Kuiamini CHADEMA hasa kwa Sera nzuri na umakini kwa wakati huo

What happened, kumbe CHADEMA was doing unseen commercial business with mamvi.

Mkubali au msikubali kosa la kukaribisha watu toka CCM 2015 halisahishiki litagharimu si chini miongo miwili au mitatu hivi.

CCM uchaguzi 2020 itakuwa na kazi ndogo sana kwanza sioni hata umuhimu wa kukurupushana na wapinzani ,achaneni nao wameshajimaliza wenyewe 2015.
 
CDM tunaweza kupuuza tunavyoweza kupuuza ila mkuu umeongea point, ukweli ni mchungu na inabidi tuvumilie.

Unakumbuka CDM kumleta Lowassa 2015 humuhumu ndani kuna mtu alianzisha Thread kuwa wana CDM wote ambao hawaungi mkono hiki kitendo wakutane ktk ile nyuzi?

Ile nyuzi naitafuta bila mafanikio lakini kifupi ni kuwa YOTE YALIYOTABIRIWA MULE YANAKUJA KUTENDEKA.

2016 aliyekuwa mwanachadema na MwanaJf pia, anaitwa TumainiEL alisema kuwa 2020 CDM itakuwa vibaya kuliko tufikiriavyo, tukampuuzia, leo hii sote twashuhudia CDM inavyoenda.

Sidhani kama kuna mwaka CDM itapata pigo la kupoteza viti vingi Bungeni kama 2020.

Ile misingi ya Chama juu ya wizi wa CCM haipo tena, haipo teeena. Miaka ya nyuma CAG alionesha kupotea kwa 1.5Trilion, je nani alinyoosha mkono na kuzungumza hili jambo? Hakuna, kwanini? Sababu ile power tulokuwa nayo haipo tena.

Tumebomoa msingi wetu ulio imara, sasa jengo juu linatikisika na soon litaanguka, mtu kama Lissu ndo alikuwa mwenye guts za kuendeleza mapambano, leo hii Lissu amekaa chini na chama kizima kimekaa chini.

2020 hii subiri tuone.
 
watakuelewa baada ya uchaguzi.
Kabisa mkuu, wacha wampuuze ila upepo huu wa CDM subiri uone 2020.

Jiulize mwaka 2015 mpaka sasa ndani ya Chama kulikuwa kuna upepo mzuri juu ya ugombea Urais, tazama mpaka sasa 2020 nini kinaendelea?

Taratibu ndo naanza kuelewa kwanini Dr Slaa na Mashinji waliamua wasepe, kama walinunuliwa wakapokea fedha yao nzuri binafsi nawaunga mkono.
 
To be honesty, cdm 2015 mlikula bata Sana katika uchaguzi ukilinganisha na ccm, pamoja na kwamba mamvi hakuwa na hoja na nguvu ya kushawishi watu,lakini bado watu tulikuwa tumefall in love to cdm without any reason behind. Kwanini?
Kuna sababu kama mbili za msingi.
1.Kuchoshwa na ccm sababu ya rushwa na ufisadi
2.Kuiamini cdm hasa kwa Sera nzuri na umakini kwa wakati huo

What happened, kumbe cdm was doing unseen commercial business with mamvi.
Mkubali au msikubali kosa la kukaribisha watu toka ccm 2015 halisahishiki litagharimu si chini miongo miwili au mitatu hivi.
Ccm uchaguzi 2020 itakuwa na kazi ndogo sana kwanza sioni hata umuhimu wa kukurupushana na wapinzani ,achaneni nao wameshajimaliza wenyewe 2015

CHADEMA walikuwa wanakuja vizuri kabisa ila kilichowagharimu ni Usanii na Tamaa ya Pesa ya Mtu Mmoja wao ambaye ashakiharibu Chama rasmi.
 
Hata kama kuna baadhi ya viongozi wananunuliwa ila ukweli utabaki jinsi ulivyo move ya kumtoa Dr.Slaa nakumuingiza mamvi ilikua move mbovu kuliko zote CDM imewahi kufanya. Chama ni kama kimepoteza misingi hatuna hoja ya kusimamia
 
Natamani wanacdm wote wangekuwa na akili kama hizi, ile movie mpaka leo bado imetugharimu.
 
Hata kama kuna baadhi ya viongozi wananunuliwa ila ukweli utabaki jinsi ulivyo move ya kumtoa Dr.Slaa nakumuingiza mamvi ilikua move mbovu kuliko zote CDM imewahi kufanya. Chama ni kama kimepoteza misingi hatuna hoja ya kusimamia
hakika, mimi mpaka leo naamini hakuna nguvu yyt iliyoletwa na lowasa. kinyume chake lowasa ndiye alipandia nguvu aliyoikuta chadema. bila huyo chama leo hii kingebaki na mshikamano na katika nafasi ya kufanya vizuri zaidi mwaka huu.
 
Labda wale walioko makao makuu au kwenye payroll ya chama ndio wataweza kutetea hali ya sasa hivi ila sisi tuliokuwa tunatumia nguvu na rasilimali zetu hakika tuliumizwa sana na kuondoka kwa Dr. Slaa Kwa sababu tunafahamu nguvu na ushawishi uliotumika kuisimika chama hasa maeneo ya vijijini ambako kwa miaka mingi ndio palikua ngome ya CCM ila kwa sasa hakuna hoja twaweza simamia ni kama waliopo wanaanza upya. roho yangu inauma siwezi kuwa ccm wala siwezi kuitetea chadema nimeona bora nibaki na jiwe kuu la pembeni rais ambaye kwa hakika ametuheshimisha kama taifa JPM
 
Weweeeeee,acha kujifariji
Chama kilikuwa hakijawahi kugawa pikipiki ngazi ya tawi, mzee wa watu alitoa pesa za kununua usafiri kila tawi halafu wewe unasema hakuwa na impacts.
Kiujumla tamaa ya pesa imekiponza cdm,
Hata sasa mbowe anatumia umaarufu wa 2015 ambao mzee lowasa aliwapromote
 
Watu wameumizwa sana. Nikimkumbuka ndugu yangu Mikael Aweda naumia sana moyoni kwa aliyopitia.
 
Weweeeeee,acha kujifariji
Chama kilikuwa hakijawahi kugawa pikipiki ngazi ya tawi, mzee wa watu alitoa pesa za kununua usafiri kila tawi halafu wewe unasema hakuwa na impacts.
Kiujumla tamaa ya pesa imekiponza cdm,
Hata sasa mbowe anatumia umaarufu wa 2015 ambao mzee lowasa aliwapromote
Lowasa ni hasara ya karne chama ilijipalia kwanza alivunjavunja misingi ya chama pili akavurugavuruga misingi ya umoja na mshikamano kwa makamanda waliokuwa wanapiginia usawa na democrasia. Chadema ya leo ni kama manuari ilikosa dira inapinga hata mambo tuliokuwa tunapigania sasa sio upuuzi huo.
 
Back
Top Bottom