Afrika Kusini hivi sasa kunavurugu dhidi ya raia wa kigeni, nchi zinazothamini raia wake huwatahadharisha na kuwashauri nini cha kufanya huku ikifuatilia kwa karibu usalama wao. Jambo linalotia...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekanusha madai ya CCM kuwa imefanya vikao vya siri na wanaharakati wanaoishi nje ya nchi ili kupanga kufanya vurugu nchini kupitia maandamano.
Madai...
Hakuna wanachokihofia wala hawajali tena wanafanya nini kibaya Kwa watanzania.
Leo hii wanajiuliza ni jambo gani baya hawajawahi kufanya. Kama kila aina ya uovu wamefanya na Bado watanzania wapo...
Na GULATONE MASIGA
Katika zama za teknolojia na mawasiliano ya kidijitali, mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Kupitia majukwaa mbalimbali, wananchi wanapata...
Taarifa ya sasa inaonyesha kwamba Boniface Jackob ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani ameitwa n.a. Polisi kwa Lengo la kuhojiwa kwa mambo yasiyofahamika
Ameitwa tarehe 16/6/2026
Bali...
Kaeni na wataalamu wa mambo ya usalama hata kama kuwatafuta nje ya nchi, wawape namna mtu akiitwa na polisi afanye nini kabla ya kwenda polisi.
Nimesoma Mwenyekiti wa Vijana Kanda serengeti...
Sheikh anatoa nasaaha nzito akitaka kuwepo kwa uwazi kabisa kuhusu mambo ya Muungano ili kuondoa migogoro na migawanyiko kati ya wananchi wa Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar. Anatoa wito wa...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Suma Ikenda Fyandomo amesema kuwa Askari Polisi Wilaya ya Kyera wanaishi kwenye bwalo ambalo walilijenga kwa nguvu zao wenyewe, lakini pia wanaishi pamoja na...
Wanabodi,
Nimeisikiliza Press Conference ya Mwenezi wa Chadema, Brenda Rupia. Amemuita Mwenezi wa CCM, Kenan Kikaragosi badala ya Kenan Kihongosi, nikaona kauli hiyo inatakiwa kufanyiwa PNA...
Wabunge wa CCM wanajua kuperemba kweli. Tangu atunukiwe shahada za heshima za udaktari, sasa kila sentensi inaanza na kuishia kwa 'Daktari Mbobevu Samia'. Heshima ipo, lakini shobo nayo imezidi...
Kuna habari nimeona ya watu wa sinza wanalalamika hawapewi ushirikiano juu ya mradi wa maendeleo wa sinza uliopendekezwa wa kuboresha eneo la sinza binafsi umenifikirisha sana
Plus mwezi wa nne...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa na kile kilichokiita ni mipango ya siri inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yenye lengo la kuhamasisha vurugu nchini kupitia...
Tanganyika ndani ya Tanzania sasa imeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kila Mzanzibari anajifunza kunyoa Tanganyika, na hili ni kero inyoweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mustakabali wa Tanganyika...
Kero si kitu kizuri maishani.
Kero za kisiasa ndiyo mbaya zaidi.
Sasa hivi Awamu hii imechukulia Muungano kuwa poa maana kuna mengi yanatokea
1. Bandari ya DSM imekodishwa kwa DP World, Bandari...
Magari ya umeme ndio future ya usafiri ilipangwa kwa sasa; hata wanaozalisha magari wengi wao wanaweka 'hybrid systems' ili hayo magari yaweze kutumika hata pale magari yenye sumu ya moshi...
Miji ni michafu sana, biashara kila sehemu kila aina. Shagalabagala kila kona kasoro Ikulu tu. CCM wanadhani kwa kufanya hivi itaepuka lawama la wananchi kumbe ndio inabeba lawama.
Raia mwenye...