Sisi Wafanyakazi 160 tuliopo katika Mgodi mdogo ambao unapatikana Mkoani Mara, Wilaya ya Musoma, Kata ya Kigera, Kijiji cha Kwitope chini ya Kampuni ya IDERA au GDM tuna changamoto ambazo...
Mzee Nyerere na wenzake walimaliza zamu yao ya ukombozi wa Afrika.
Sisi tumebaki na zamu ya kupambana na maisha yetu, kulipa bili na kutafuta hela za kula bata kidogo.
Kujifanya mkombozi wa awamu...
Ndugu zangu Watanzania,
Nashindwa Niandike nini hapa ,Nashindwa nimuelezee Vipi Rais Samia , Nashindwa Nizungumze Nini Nanyi Maana Rais Samia Anaendelea kuonyesha kuwa ni chaguo la Mungu ...
Mjadala unaendelea!
Hakuna kiongozi asiyetaka kuacha Legacy na jina lake kukumbukwa katika Historia.
Nchi ya Tanganyika mpaka muda huu imeongozwa na Rais Mmoja tuu ambaye ni Hayati JK Nyerere...
Chagua jina litakalofaa pale taifa letu litakapokombolewa
NB: unaweza kutaja sababu
1. Tanganyika
2. Tanzania
Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 18.01.2026
Kama viongozi wa chadema kutwa wanakesha wanapitisha kapu la donation kuwatapeli watu nchini, Je! Wanauwezo wa kulipia land huko kwa mabeberu? Je wanauwezo wa kusomesha watoto huko kwa mabeberu...
Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Bele Ponera, amekosoa vikali hali ya maendeleo katika Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, akidai kuwa linakabiliwa na umaskini uliokithiri na ukosefu wa...
Tabia ya baadhi ya nchi za Afrika kubadili katiba ili kuongeza muda wa marais wanaokaribia kumaliza mihula yao imeendelea kujitokeza mara kwa mara. Je, hii ni ishara ya ukomavu wa kisiasa na...
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, anatarajiwa kuwasili nchini tarehe 19 Juni, 2026 kwa ziara ya kitaifa.
Ziara hiyo, ambayo ni ya pili kuifanya nchini Tanzania...
MKATABA WASAINIWA UJENZI CHANZO KIPYA CHA MAJI MWANZA
Katika kuhakikisha huduma ya maji inaendelea kuimarika katika Jiji la Mwanza na maeneo ya jirani Umoja wa Ulaya na Shirika la Maendeleo la...
Iwe ni Wauza Samaki au wamiliki wa maduka.
Kwa sababu wameanzisha ubaguzi wao wenyewe.
Kuanzia kesho kuwa na vuguvugu kubwa la kuwatimua na kugomea shughuli zote za WazanIbari. Na watimuliwe...
Kitu ambacho unapaswa kujua ni kwamba, Ndani ya Chadema haifahamiki yupi ni striker yupi ni beki
Hotuba aliyoitoa Maranja Masese huko Mlimba imetikisa kiasi cha wananchi kuuliza ikiwa Maranja ni...
Mbunge wa Kilombero, Asenga Abubakar, ameitaka serikali kuingilia kati na kukomesha tabia ya baadhi ya viongozi na watendaji wa serikali mikoani kuendekeza siasa za chuki na visasi baada ya...
Hii Serikali ambayo ilishinda kwa kishindo 98% inaogopa maandamano ya watu ambao ni wachache sana ?
Inaanza kunipa mashaka na ushindi wao 98% ni kama...
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, ameitaka Serikali kurasimisha sekta isiyo rasmi inayohusisha wamachinga, madereva wa bodaboda na bajaji kwa kuwa makundi hayo yana mchango...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza na Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa na Kata leo Juni 15, 2026 amesema; "Kwasababu mmeona pia hata kwenye mitandao, baadhi ya watu...
Mama yeye ajali anakula pesa za kodi na madili kama hana akili vile. Lakini taifa tunapigwa kila kona. Sababu kubwa ni tamaa zake binafsi ili aonekane kashinda kwa 97% kura fake. Hadi waangalizi...
Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya...
KADA WA CCM ANENA MAZITO ASEMA TUNDU LISSU AACHIWE HURU, KESI YAKE INACHAFUA NCHI:
https://youtu.be/A6CM2jGSguk?si=kiwpYFlmbNlVDG1N
msikilize kwa makini bila chuki yoyote .utajifunza kumbe bado...